Uchaguzi 2020 Lissu kuisimamisha Dar (Agosti 28, 2020). Kampeni rasmi Mbagala Zakhiem

Wahaya wenzako wapo busy na kupalilia mashamba yao ili wapande maharagwe wewe unakesha kuwaramba miguu wanaume wenzako
Njoo hapa Kumalija Hotel Nyegezi unywe bia dogo. Huko Jimbo la Nkenge kwetu tunasubiri tu kumwapisha mgombea wetu Mh. Frolent Kyombo!
 
Naona ushalewa balimi, hapa Tanzania hakuna kitu linaitwa Jumbo la Nkenge
 
Ushampata mtu wa kumpiga mzinga wa kukupatia vibia viwili
 
Kimbungaaaaaaaaa kilianzia Kanda ya Pwani

Kesho ndio kesho kimbungaaaa kitatibuka Jimbo la Mbagala Zakheim

Ni Uzinduzi wa kampeni ya Rais Mhe Tundu Lissu na makamu wa Rais Mhe Salum Mwalimu, kuanzia saa tano asubuhi

Bawacha, Bavicha, Bazecha, mwanachama na mwananchi tukutane Mbagala Zakheim

Rangi ya kampeni zetu ni Nyekundu

Karibuni sana wana mageuzi wote kwa ujumla wetu tuianze safari ya mafanikio,

Umoja wetu ndiyo ushindi wetu wa kuiondosha CCM madarakani. View attachment 1549850View attachment 1549851
Rangi yenu nyekundu huwa ina beba ujumbe upi ?

Rangi nyekundu kwenye bendera mara nyingi inahusishwa na umwagaji damu
 
Naona ushalewa balimi, hapa Tanzania hakuna kitu linaitwa Jumbo la Nkenge
Vitu trivia size yako na Chadema wenzako. Kuongoza nchi ni kazi ya CCM. Ahahahahahah! By the way, mi nakunywa K Vant sio Balimi.
 
Kimbungaaaaaaaaa kilianzia Kanda ya Pwani

Kesho ndio kesho kimbungaaaa kitatibuka Jimbo la Mbagala Zakheim

Ni Uzinduzi wa kampeni ya Rais Mhe Tundu Lissu na makamu wa Rais Mhe Salum Mwalimu, kuanzia saa tano asubuhi

Bawacha, Bavicha, Bazecha, mwanachama na mwananchi tukutane Mbagala Zakheim

Rangi ya kampeni zetu ni Nyekundu

Karibuni sana wana mageuzi wote kwa ujumla wetu tuianze safari ya mafanikio,

Umoja wetu ndiyo ushindi wetu wa kuiondosha CCM madarakani. View attachment 1549850View attachment 1549851
Tutafika kwa wingi wetu,kupata kujua Sera na matarajio yetu wote kwa pamoja wanachama na wasio wanachama tufike kwani huu no mustakabali was taifa letu na vizazi vijavyo tafadhali jaribu kujufunza kwa wagombea wote ,ili uweze kufanya uamuzi wenye manufaa kwa taifa letu.
 
Vitu trivia size yako na Chadema wenzako. Kuongoza nchi ni kazi ya CCM. Ahahahahahah! By the way, mi nakunywa K Vant sio Balimi.
Kumbe na ulevi nayo ni sifa? Kweli lumumba mmelaanika
 
Tutafika kwa wingi wetu,kupata kujua Sera na matarajio yetu wote kwa pamoja wanachama na wasio wanachama tufike kwani huu no mustakabali was taifa letu na vizazi vijavyo tafadhali jaribu kujufunza kwa wagombea wote ,ili uweze kufanya uamuzi wenye manufaa kwa taifa letu.
Karibuni sana waungwana
 
Makamu wa Rais ana sura ya Urais kabisa

Lissu sura yake imekaa kimakamu makamu tu

hapo mngefanya change kota,lissu makamu salumu Rais

nawahakikishia kampeni ya mwaka huu ingekua tamu na konki

ila kumweka lissu Urais hilo n sawa na mpishi kupika biriani kwa mchele wa ifakara.
 
Back
Top Bottom