Uchaguzi 2020 Lissu kuisimamisha Dar (Agosti 28, 2020). Kampeni rasmi Mbagala Zakhiem

Uchaguzi 2020 Lissu kuisimamisha Dar (Agosti 28, 2020). Kampeni rasmi Mbagala Zakhiem

Sawa wewe si jike , hivyo unaona ajabu wanaume kukuna nazi?? Ndio
Maana unajitekenye kwa ushindi ambao haupo au unajifaraghua kwa ushindi wa kwenye internet
Kama mluzoea vya kunyonga siku zoote basi safari hii itabidi muijue kibra ipo wapi maaana mziki wa mh Lissu siyo wa mchezo mchezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaambiwa saa tatu asubuhi tayari uwanja ulikuwa umefurika watu na viongozi wa juu wa chama walishakuwa
jukwaani.
2500254_Screenshot_20200828-184339.jpg
 
Kama mluzoea vya kunyonga siku zoote basi safari hii itabidi muijue kibra ipo wapi maaana mziki wa mh Lissu siyo wa mchezo mchezo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sababu unaye muongelea ni binadamu mwenzangu kuna vitu vingine nitachukua tahadhari kuvisema, Lakini ki ujweli hana lolote wameisha feli
 
Kwa sababu unaye muongelea ni binadamu mwenzangu kuna vitu vingine nitachukua tahadhari kuvisema, Lakini ki ujweli hana lolote wameisha feli
Sasa kama unajua na unaamini kuwa wameisha feli yanini kujihangaisha kwa walio feli?

Ningekuwa mimi ningeisha agiza kahawa na kashata na karanga pembeni nikawa najipongeza kwa ushindi wa kihistoria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama unajua na unaamini kuwa wameisha feli yanini kujihangaisha kwa walio feli?

Ningekuwa mimi ningeisha agiza kahawa na kashata na karanga pembeni nikawa najipongeza kwa ushindi wa kihistoria.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunawaeleza kama binadamu wenzetu msije kufa kwa kihoro
 
Kama Dar es Salaam ilivyokombolewa na kuwa huru naamini na Tanza giza itakombolewa na kuwa huru sasa
 
Mbagala hata wauza dawa za nguvu za kiume na watu wa mazingaombwe Hua Wana jaza pia lisu kachagua mbagala ili aonekane Ana jaza [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Cha ajabu mambo yakawa tofauti sana.
JamiiForums78426357.jpg
 
Hii picha ni kweli au ni photoshop? Hayo ndiyo yaliyokuwa mahudhurio pamoja na basi lile pale nyuma?
Ni kweli mkuu, TBC walikuwa live kabla Lissu hajasimama na hizo ndo zilikuwa picha LIVE, angalia hata vivuli utaona jua likielekea kuzama.
 
Back
Top Bottom