Uchaguzi 2020 Lissu kuisimamisha Dar (Agosti 28, 2020). Kampeni rasmi Mbagala Zakhiem

Uchaguzi 2020 Lissu kuisimamisha Dar (Agosti 28, 2020). Kampeni rasmi Mbagala Zakhiem

Haisaidii wana mbagala wamewanyoosha! Na kesho huku Kawe tunawanyoosha tena. Angalia ufunguzi wa Chama Dume Dodoma kesho uone nyomi ya kweli.
Yani pale watu walivyo washamba wanaenda kuwashangaa wakina dai na wenzao zungukeni na T.o.T yenu muone mtakavyobaki na wajumbe wa nyumba kumi
 
Hembu acha mambo ya kikuda kama huna cha kusema ule uwanja wa mbagala umejaza mpaka pomoni ukiwa mnafiki ujanani uzeeni utakuwa mchawi

huna ata aibu na unachoongea, nmefuatilia toka msafara umeanza pale ufipa mpaka mmepita posta nlikua around mpaka mnafika mbagala hola juu ya hola ata shamrashamra hakuna watu wamekuja tu kuchungulia
 
Back
Top Bottom