Uchaguzi 2020 Lissu kuisimamisha Dar (Agosti 28, 2020). Kampeni rasmi Mbagala Zakhiem

Uchaguzi 2020 Lissu kuisimamisha Dar (Agosti 28, 2020). Kampeni rasmi Mbagala Zakhiem

Daaaah yani mwaka huu mwamko sifuri kabisa.. Kama vile hakuna uchaguzi yani..

CDM mkutano sijui umewadodea sioni nyomi kabisa
Zile chaguzi ndogo mfululizo zilizojitokeza baada ya watu kuunga mkono juhudi zimechangia sana watu kukosa mwamko wa kushiriki siasa za uchaguzi.
 
Mtu anaweza niambia babu Dunu yuko wapi?
Amu, Babu Duni alikua Chadema kwa mkopo na alirudi CUF kabda kumsusia chama Lipumba na kuhamia ACT Wazalendo akiwa na swahiba wake wa siku nyingi Maalim Seif Sharif Hamad na wengineo
 
Mnahuzunisha, tuliwaonya APA uko mtaani hamkubaliki mkaanza kelele sjui tumeshawaishi wana vyuo na wafanya kazi wa umma Mara sjui blabla gan ona aibu mliotia mbagala
Hadi utalizidishia boxer lako mzigo safari hii
Screenshot_20200828-185743.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Badilisheni hiyo rangi ya tangazo. Waachieni Simba hiyo rangi. Kwanini background isiwe bendera ya Chadema? Mnapoteza wafuasi kwa mambo ya kitoto.
Hili lina mantiki sana, kwakuwa wanaita eti ni rangi ya ushindi, hapo wanayanga wengi sana hawataifurahia na kuunga mkono rangi hii.
 
Back
Top Bottom