kaburungu
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 3,706
- 6,901
Unazi unakusumbua, wamefili vipi sasa chiefWamefeli kabla ya kuanza, niliwaambia hapa siyo klm wakabisha.
Lisu ni tofauti na Lowassa.......yeye angefungulia kampeni zake Tarime, Iringa au Mbeya!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unazi unakusumbua, wamefili vipi sasa chiefWamefeli kabla ya kuanza, niliwaambia hapa siyo klm wakabisha.
Lisu ni tofauti na Lowassa.......yeye angefungulia kampeni zake Tarime, Iringa au Mbeya!
Siyo mikosi ameshindwa kusoma alama za nyakati!Nakumbuka campaign za Lowassa, watu walianza kujaza jamgwani siku 2 kabla ya siku ya campaign, watu usiku wapo viwanjani watu zaidi ya buku
Dah Lowassa alikua sumaku, huyu Lissu sijui ana mkosi gani, umma haumtaki kudadeq
CHADEMA ninayoijua hapa Jf pangekuwa hapatoshi mida hii.....lakini kimyaaaa!Unazi unakusumbua, wamefili vipi sasa chief
Saccos mbona mnapenda kuwa watabiri aka sheikh Yahyavbadala ya kuacha mambo yafuate mkondo wakeKimbungaa kilianzia Kanda ya Pwani
Kesho ndio kesho kimbunga kitatibuka Jimbo la Mbagala Zakheim
Ni Uzinduzi wa kampeni ya Rais Mhe Tundu Lissu na makamu wa Rais Mhe Salum Mwalimu, kuanzia saa tano asubuhi
BAWACHA, BAVICHA, BAZECHA Mwanachama na Mwananchi tukutane Mbagala Zakheim
Rangi ya kampeni zetu ni Nyekundu
Karibuni sana wana mageuzi wote kwa ujumla wetu tuianze safari ya mafanikio,
Umoja wetu ndiyo ushindi wetu wa kuiondosha CCM madarakani.
Unataka wakuonyeshe nini na watu hamna!
Lakini waliambiwa uchaguzi huu haki bin haki 10% hawatoboi, zile costar zilizosomba watu kila pembe ya nchi ile siku anakuja airport haikusaidia kubadili misimamo ya watu.Siyo mikosi ameshindwa kusoma alama za nyakati!
Hamna pa kuonesha hata hivi bado wanapambana kusitiri aibuTbc whawaonyesholi nyomi wanonyesha picha upande upande.
Hata mimi nimeona hii kitu, labda ndo walivyopanga au tusubiri.Tbc whawaonyesholi nyomi wanonyesha picha upande upande.
Sasa hapo kimekuwasha nini wewe uvccm?Saccos mbona mnapenda kuwa watabiri aka sheikh Yahyavbadala ya kuacha mambo yafuate mkondo wake
Tbc kamwe hawawezi kuonyesha uhalisia wa tukio jema linalo fanywa na wapinzani wa kweliHata mimi nimeona hii kitu, labda ndo walivyopanga au tusubiri.
Kinakuwasha nini wewe uvccm?Hamna pa kuonesha hata hivi bado wanapambana kusitiri aibu
Mambo yamechacha
Hii aibu haivumiliki kamanda, mabeberu hawatawaelewa.
Endelea kuwashwaHii aibu haivumiliki kamanda, mabeberu hawatawaelewa.
Nasikitika kwa kupoteza resource kwa kitu ambacho mnajua mtashindwa, hivyo kujipa moyo , mnajishindisha kwa kutumia jamii forums
Aya sawa nenda kakune nazi maana ndiyo kazi unayo iwezaNasikitika kwa kupoteza resource kwa kitu ambacho mnajua mtashindwa, hivyo kujipa moyo , mnajishindisha kwa kutumia jamii forums
Utamwambia nini mwananchi aliyefikiwa na huduma zote za Jamii zilizoboreshwa kwa kipindi kifupi namna hii? Ongea kuhusu maji, umeme, afya, miundombinu, utawala bora, usalama nk