Uchaguzi 2020 Lissu kuisimamisha Dar (Agosti 28, 2020). Kampeni rasmi Mbagala Zakhiem

Uchaguzi 2020 Lissu kuisimamisha Dar (Agosti 28, 2020). Kampeni rasmi Mbagala Zakhiem

Utamwambia nini mwananchi aliyefikiwa na huduma zote za Jamii zilizoboreshwa kwa kipindi kifupi namna hii? Ongea kuhusu maji, umeme, afya, miundombinu, utawala bora, usalama nk

Hakuna mtanzania unaweza kumtapeli kwa propaganda nyepesi
Unaumwa kichwa meza headex! Unapata shida sana mkuu relax.
 
Ukweli umeanza kudhihirika, Ni wasioelewa wanataka nini ndiyo ambao wanaweza kumbeza Magufuli
 
Hadi huruma huo mkutano, malizeni kelele zenu mpishe chama kingine kiwe kikuu cha upinzani, yaani ata spunda amewashinda
 
Naona walitabiri atasmamisha shuhuli za Dar maaana wamepita mpaka posa kwa huruma sana
 
1598624052840.png


mm nmepost tu staki ubaya na mtu
 
Halafu?? Haya Makonda kafungiwa nyie msiofungiwa kwa hili nyomi lenu la leo Kitundu Lisusu anazama ikulu kwa msaada wa Pompeo anaewahusudu sana
Makonda kakataliwa na wana dsm, poleni sana wapambe maana tayari mbuzi kesha kula mkeka sijui mtaishi vipi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani bila TBC kuonyesha tusingejua kama kuna mtu anaanza kampeni leo.........watu wanaendelea na shughuli zao hawajui lolote la huko zakiem kko full speed hapa kazi tu
 
Back
Top Bottom