Jumuiya ya kimataifa INA maslahi mapana makubwa na Tanzania kuliko kichwa cha Lisu.Jumuiya ya kimataifa ichukue hatua Kisa kuna individuals watatu wanne wamepigwa nondo au risasi kwenye makalio na vibaka???!!!!!!Atahakikisha jumuiya ya kimataifa inaitenga na kuisusa Tanzania
Kwa hiyo siasa za ndani zimewashinda mnategemea wazungu waiwekee vikwazo Tz na ninyi ndo mtokee hapo? Poor you..!Wazungu ni werevu na wana maslahi endelevu kwa nchi zao.Wale wanawasiliana na serikali kwa jambo lolote na usifikiri atakachotapila Lissu ndiyo kitakuwa final..thubutu..fanyeni kazi za kujiletea maendeleo na si kama fisi kusubiri mkono wa binadamu udondoke..
Kuna muda mtu mjinga kama Lissu unaamua ukufuru mungu kwa kumuombea mabaya tu. Huwezi kukaa unaidhalilisha tu nchi yako. Halafu kila siku unaituhumu serikali inahusika na kukushambulia then unataka serikali hiyo iwe jirani na wewe,serikali hiyo itakuwa ya mazezeta. Lissu aachwe apambane mwenyewe,huwezi kubishana na serikali.Sijasema Mimi nitakua hai, Mimi na wewe tutakufa , Tanzania itabaki. Huyu mpuuzi anaidhalilisha Tz nje ya mipaka yake, aondolewe tu
Haya mahaba sio bure, ngoja mkewe halali wa ndoa akusikie!UCHUNGUZI HURU UMEBAINI KWAMBA MH TUNDU LISSU NDIYE MWANASHERIA BORA KABISA KUWAHI KUWEPO KWENYE ENEO LA MAZIWA MAKUU TANGU KUUMBWA KWA MBINGU NA ARDHI
Na wewe usifuatilie ya Lissu hayakuhusu mtu wa Lumumba street.Kwa hiyo siasa za ndani zimewashinda mnategemea wazungu waiwekee vikwazo Tz na ninyi ndo mtokee hapo? Poor you..!Wazungu ni werevu na wana maslahi endelevu kwa nchi zao.Wale wanawasiliana na serikali kwa jambo lolote na usifikiri atakachotapila Lissu ndiyo kitakuwa final..thubutu..fanyeni kazi za kujiletea maendeleo na si kama fisi kusubiri mkono wa binadamu udondoke..
Mbona mmepanic sana.Uwongo mkubwa. Kwani Lissu ni nani? Waziri Mkuu wa ubeligiji, Mkuu wa umoja wa Ulaya na speaker wa bunge, watu hawa wana kazi za maana za kudumisha umoja wa nchi za Ulaya ambao una hatari ya kutengana kwa Uingereza kujitowa. Zaidi ya hapo wana kazi ya kufuata shida za duniani ambazo zinaletwa na Rais wa Marekani kuvunja mkataba wa Irani wa nyukilia. Lissu ni nani? Lissu ni wakili uchwara ambaye anasikilizwa na watu wachache Tanzania wasioelewa siasa za dunia. Lissu amekwisha kisiasa, kizungu Kingi nani anamusikiliza. Nchi zote hizi zinawakiliswa na mabalozi wao, habari zote na sifa za Lissu wanazijuwa. Sifa za chama cha Chadema na kiongozi wa chama hicho wanazijuwa. Lissu angeongelea kodi ya nyumba ya mabilioni anayodaiwa Mbowe,. Ni kitu kidogo, lakini dosari kama hizo kinafanya chama kisiheshimiwe. Lissu hana lolote la kuitisha serikali ya Magufuli anapoteza Wakati wake na kujenga chuki., dunia Sasa ina mambo mengi ya maana kuliko ya Lissu aliyeshambuliwa na watu wasiojulikana.
Hili povu si bureHakuna haja ya kumuondowa, Hakuna anayemusiliza anaonekana mjinga na kiingereza uchwala. Huu ndiyo mwisho wa siasa zake za kijinga za kubwaka
Kabla hajaondolewa utaondolewa wewe kwanza.Sijasema Mimi nitakua hai, Mimi na wewe tutakufa , Tanzania itabaki. Huyu mpuuzi anaidhalilisha Tz nje ya mipaka yake, aondolewe tu
Utakufa wewe kibudu Lissu utamuachaKuna muda mtu mjinga kama Lissu unaamua ukufuru mungu kwa kumuombea mabaya tu. Huwezi kukaa unaidhalilisha tu nchi yako. Halafu kila siku unaituhumu serikali inahusika na kukushambulia then unataka serikali hiyo iwe jirani na wewe,serikali hiyo itakuwa ya mazezeta. Lissu aachwe apambane mwenyewe,huwezi kubishana na serikali.
Ukiona hivyo ujue hakuna aliyetaka kumuua huyo. Watu wangetaka isingeshindikana.Utakufa wewe kibudu Lissu utamuacha
Jiulize risasi 38,ontearget 16 ila hakufa.
Mungu ana mpango na Lissu.
Korea kaskazini, Iran nazo ni nchi huru kabisa kabisa.Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Nchi huru...hili ni somo gumu sana kwa makarai
Waulize watu wa nyamongo kule Tarime.Anakomboa nini? mtarukwa na kichaa
Satanic commentUkiona hivyo ujue hakuna aliyetaka kumuua huyo. Watu wangetaka isingeshindikana.
UkweliSatanic comment