Tumbo Tambarare
JF-Expert Member
- May 10, 2017
- 210
- 146
Kumbe ndio anachotafuta!!!!!!Atahakikisha jumuiya ya kimataifa inaitenga na kuisusa Tanzania
Kwa hiyo siasa za ndani zimewashinda mnategemea wazungu waiwekee vikwazo Tz na ninyi ndo mtokee hapo? Poor you..!Wazungu ni werevu na wana maslahi endelevu kwa nchi zao.Wale wanawasiliana na serikali kwa jambo lolote na usifikiri atakachotapila Lissu ndiyo kitakuwa final..thubutu..fanyeni kazi za kujiletea maendeleo na si kama fisi kusubiri mkono wa binadamu udondoke..
Kwa hiyo siasa za ndani zimewashinda mnategemea wazungu waiwekee vikwazo Tz na ninyi ndo mtokee hapo? Poor you..!Wazungu ni werevu na wana maslahi endelevu kwa nchi zao.Wale wanawasiliana na serikali kwa jambo lolote na usifikiri atakachotapila Lissu ndiyo kitakuwa final..thubutu..fanyeni kazi za kujiletea maendeleo na si kama fisi kusubiri mkono wa binadamu udondoke..
Use your brainNow mepata jibu y libya yalitokea yalotokea.
Sasa kama wapinzani mmenunuliwa kuhujumu nchi na uchumi wake ulitaka afanyeje..ungekuwa wewe ni Rais na wapinzani wako kutwa kucha wanahamasisha watu kwa hila waandamane badala ya kujenga uchumi wa nchi kwa kuchapa kazi ww ungefanyaje..?
Mkuu nimedokezwa kwamba BBC watakuwa Live , je ni kweli ?Mhe. Tundu Lissu anatarajia kukutana na viongozi waandamizi wa ulaya siku tatu zijazo, viongozi hao ni Waziri Mkuu wa Ubelgiji, Katibu Mkuu wa umoja wa ulaya pamoja na Spika wa bunge la ulaya.. NTAENDELEA KUWAJUZA
Jifunze kuandika basi dogo. Masirahi/Morah ndo vidude gani hivyo?Km ni lazima mtu mmoja afe kw masirahi ya taifa,!!hakuna shida.hata kwenye kulitangaza kanisa kuna watu ilibidi wafe kw masirahi ya kanisa,hata mtume mohamed,kuna wakati alitumia nguvu ktk kueneza neno la morah
Wewe uko wapi?Mhe. Tundu Lissu anatarajia kukutana na viongozi waandamizi wa ulaya siku tatu zijazo, viongozi hao ni Waziri Mkuu wa Ubelgiji, Katibu Mkuu wa umoja wa ulaya pamoja na Spika wa bunge la ulaya.. NTAENDELEA KUWAJUZA
Lissu ni puppet wa mapebari na kwa sasa ni enemy No.1 wa Watanzania.Kama atapata muda wa kusoma JF nampa ushauri wa bure,aachane na vita hii mbaya aliyoamua kupigana dhidi ya Watanzania akishirikiana na mabepari na badala yake atafute shuhuli mbadala za kufanya ambazo zitakuwa za manufaa zaidi kwake, familia yake na jamaa zake.Namhakikishia kwamba kama ataamua kuendelea na vita hii mbaya,he will not win,he will loose miserably.We ordinary Tanzanians are firmly united behind our president.Atahakikisha jumuiya ya kimataifa inaitenga na kuisusa Tanzania
Mhhh sina ubishi na hili la Lisu kuwa gwiji ila swali langu kina mzee Mwalusanya unamjua vizuri ?UCHUNGUZI HURU UMEBAINI KWAMBA MH TUNDU LISSU NDIYE MWANASHERIA BORA KABISA KUWAHI KUWEPO KWENYE ENEO LA MAZIWA MAKUU TANGU KUUMBWA KWA MBINGU NA ARDHI
Hivi tukitengwa itakuwaje wakuu?Atahakikisha jumuiya ya kimataifa inaitenga na kuisusa Tanzania
Vidikteta uchwara vyote dunia nzima hutumia visingizio kibao ohh uchochezi ooh hujuma ooh mawakala wa nje! Lakini havijawahi kufanikiwa wakiwemo Guadaf, Mobutu, Nguema, Idd amin, Sadam, na juzi babu yenu hapa kusini RG mugabe. Wote ni visingizio tuuuuu! Halafu wananchi wanawajua siku hizi kwa sababu ni wagonjwa wa akili.Sasa kama wapinzani mmenunuliwa kuhujumu nchi na uchumi wake ulitaka afanyeje..ungekuwa wewe ni Rais na wapinzani wako kutwa kucha wanahamasisha watu kwa hila waandamane badala ya kujenga uchumi wa nchi kwa kuchapa kazi ww ungefanyaje..?
Hiyo hospital ya kawaida inaitwaje ?Huyo Lisu akutane na viongozi waandamizi wa ulaya kama nani yeye?? Acheni kuwadanganya watu yeye yupo pale kama mgonjwa wa kawaida tu na hospitali aliopo ni ya kawaida wala sio first class.wadanganyeni huko huko bongo watu wanaosoma magazeti ya udaku.
Vipi nyie mnaoenda The Hague ?Mnadanganyana sana bavicha kujipa moyo.