Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Haya sasa; siku ya tatu hii, huo mkutano bado haujafanyika hapo ufipa?Mhe. Tundu Lissu anatarajia kukutana na viongozi waandamizi wa ulaya siku tatu zijazo, viongozi hao ni Waziri Mkuu wa Ubelgiji, Katibu Mkuu wa umoja wa ulaya pamoja na Spika wa bunge la ulaya.. NTAENDELEA KUWAJUZA
unaugonjwa wa meningitisKwa kweli nilikuwa najiuliza kwa nini lissu apelekwe ubelgiji badala ya nchi nyingine mahiri kwa utabibu wa binadamu, kumbe ni mbinu nyingine ya kwenda jumuia ya ulaya kwa mgongo wa matibabu?
Hao wabelgiji si ndio walimuua Patrice Lumumba wa Congo kwa kumyeyusha na acid au?
Poor politics za cdm hadi mnatukera wapiga kura.
Huu ni uongo mchana kweupe. Watu wanaojua masuala ya global political economy na diplomacy wanaona wazi kuwa hii ni political spin (kamba).Mhe. Tundu Lissu anatarajia kukutana na viongozi waandamizi wa ulaya siku tatu zijazo, viongozi hao ni Waziri Mkuu wa Ubelgiji, Katibu Mkuu wa umoja wa ulaya pamoja na Spika wa bunge la ulaya.. NTAENDELEA KUWAJUZA
Issue ni marisasi yote 38 yatatuletea fedhehaKwa hiyo siasa za ndani zimewashinda mnategemea wazungu waiwekee vikwazo Tz na ninyi ndo mtokee hapo? Poor you..!Wazungu ni werevu na wana maslahi endelevu kwa nchi zao.Wale wanawasiliana na serikali kwa jambo lolote na usifikiri atakachotapila Lissu ndiyo kitakuwa final..thubutu..fanyeni kazi za kujiletea maendeleo na si kama fisi kusubiri mkono wa binadamu udondoke..
Mhe. Tundu Lissu anatarajia kukutana na viongozi waandamizi wa ulaya siku tatu zijazo, viongozi hao ni Waziri Mkuu wa Ubelgiji, Katibu Mkuu wa umoja wa ulaya pamoja na Spika wa bunge la ulaya.. NTAENDELEA KUWAJUZA
Then wewe utafaidika nn na huo uamuzi?, watu mnashabikia nchi yenu kuadhibiwa!!. This happens in Tanzania onlyAtahakikisha jumuiya ya kimataifa inaitenga na kuisusa Tanzania
Bila shaka itakuwa kesho hiyo mkuu .Mhe. Tundu Lissu anatarajia kukutana na viongozi waandamizi wa ulaya siku tatu zijazo, viongozi hao ni Waziri Mkuu wa Ubelgiji, Katibu Mkuu wa umoja wa ulaya pamoja na Spika wa bunge la ulaya.. NTAENDELEA KUWAJUZA
Halafu itakuwa jumamosi ijayo. Siku zako tatu si zimeshapita?Jumamosi Lissu uso kwa uso na wenye dunia.... ntawapa taarifa kamili ,
Pombe mbaya sanaAdui wa nne ni Tundu
Hizo ni taarifa mbaya sana kwa musiba na kivuruge.Jumamosi Lissu uso kwa uso na wenye dunia.... ntawapa taarifa kamili ,
Niogope, mimi? Unajidanganya.Usiogope! najua unahamu ya kujua kinachoendelea, usijari ntakujuza kadiri ntakavyoruhusiwa
UBORA WA KUROPA TU! NA AENDE TU SI TUNAMSUBILI!UCHUNGUZI HURU UMEBAINI KWAMBA MH TUNDU LISSU NDIYE MWANASHERIA BORA KABISA KUWAHI KUWEPO KWENYE ENEO LA MAZIWA MAKUU TANGU KUUMBWA KWA MBINGU NA ARDHI
Wewe kwa uelewa wako ulaya kiongozi wa kisiasa anapigwa risasi na inakuwa business as usual, hakamatwi mtu, katiba inavunjwa hakuna kitu, uhuru wa kujieleza wala kufanya siasa unaminywa hakuna kitu, ndio kulivyo ulaya?Tatzo hamuelewi. Mnaongelea mambo ya kupigwa risasi kwa lissu wakat hukohuko ulaya ndio vinala Wa kupiga risasi..
Wameuwawa watu wazito na mashuhuri kwa risasi Leo hii mnafikir watashtuka ya lissu?
Jaribuni kujua siasa za kimataifa