commonmwananchi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 3,377
- 1,956
Kwa kweli nilikuwa najiuliza kwa nini lissu apelekwe ubelgiji badala ya nchi nyingine mahiri kwa utabibu wa binadamu, kumbe ni mbinu nyingine ya kwenda jumuia ya ulaya kwa mgongo wa matibabu?Mhe. Tundu Lissu anatarajia kukutana na viongozi waandamizi wa ulaya siku tatu zijazo, viongozi hao ni Waziri Mkuu wa Ubelgiji, Katibu Mkuu wa umoja wa ulaya pamoja na Spika wa bunge la ulaya.. NTAENDELEA KUWAJUZA
lodilofa alivyowaita watu malofa na wapumbavu mlifurahi sana, kwa hii nampongeza trumpMtazamo na mawazo ya kitumwa!
Vipi ungelikuwa ni wewe umemiminiwa risasi zile,alafu ukawa unaishuku serikali kama alivyoeleza,alafu ukakutana na viongozi tunaoelezwa hapa kuwa atakutana nao,ungewaeleza nini?ungeliwambia Tanzania ni nchi safi kabisa?.Tanzania sio salama kuishi ukilinganisha na nchi gani? Mwanzo nilijisikia vibaya kwa uhuni alio fanyiwa na attempt ya kumuua iliyo shindwa, lakini huku anapo elekea siko. Huwezi kuwa unawaza kuisema nchi tena ugenini. Huko Ulaya au nchi zingine si kwamba hakuna madhaifu, lakini wakienda nje wanaeleza mazuri, madhaifu wanabanana humo kuyashughulikia. Hakuna nchi inaongoza kupigwa watu risasi hovyo kama US , lakini hutasikia CNN au vyombo vyao vingine vikitangaza hayo!!!! Tundu lissu ni janga, kama vipi aishie huko huko ahamie, huu ni uhaini, akirudi hapa atubu au amalizwe!!! Shabaash
Kwa hiyo siasa za ndani zimewashinda mnategemea wazungu waiwekee vikwazo Tz na ninyi ndo mtokee hapo? Poor you..!Wazungu ni werevu na wana maslahi endelevu kwa nchi zao.Wale wanawasiliana na serikali kwa jambo lolote na usifikiri atakachotapila Lissu ndiyo kitakuwa final..thubutu..fanyeni kazi za kujiletea maendeleo na si kama fisi kusubiri mkono wa binadamu udondoke..
Nadhani yeye anahubiri alichotendewa.Alianza kuisema Tanzania akiwa Kenya. Anaona hajatosheka anatutangazishia ubaya mpaka huko alipo. Lengo lake liko kwenye jumuia ya kimataifa itutenge. Mwisho wa siku yy ndiye atakayeonekana mchawi
Kwa hiyo mlipotaka kumtoa uhai mlidhani si binadamu kama nyinyi. Aliwasema mjirekebishe akiwa ndani mkaona mmtoe huai lakini Mungu akamlinda sasa mnaona aibu gani kusemwa nje kama ndani mmerekebishwa mkashindikana. Acha kutoa uahi wa watu jengeni nchi kwa mashirikiano siyo kujitenga na kila mkikosorewa mnatumia mtutu au mnapoteza watu au kama si hivyo mnaua na kutupa bahari kwenye mifuko. Tafuteni suruhu watu wote tukae na kujenga nchi, siyo badala ya kujenga viwanda mmekalia kununua wabunge na madiwani. Tangulizeni uzalendo acha kuwewesekaSijasema Mimi nitakua hai, Mimi na wewe tutakufa , Tanzania itabaki. Huyu mpuuzi anaidhalilisha Tz nje ya mipaka yake, aondolewe tu
Kwa hiyo mlipotaka kumtoa uhai mlidhani si binadamu kama nyinyi. Aliwasema mjirekebishe akiwa ndani mkaona mmtoe huai lakini Mungu akamlinda sasa mnaona aibu gani kusemwa nje kama ndani mmerekebishwa mkashindikana. Acha kutoa uahi wa watu jengeni nchi kwa mashirikiano siyo kujitenga na kila mkikosorewa mnatumia mtutu au mnapoteza watu au kama si hivyo mnaua na kutupa bahari kwenye mifuko. Tafuteni suruhu watu wote tukae na kujenga nchi, siyo badala ya kujenga viwanda mmekalia kununua wabunge na madiwani. Tangulizeni uzalendo acha kuwewesekaAlianza kuisema Tanzania akiwa Kenya. Anaona hajatosheka anatutangazishia ubaya mpaka huko alipo. Lengo lake liko kwenye jumuia ya kimataifa itutenge. Mwisho wa siku yy ndiye atakayeonekana mchawi
Wazungu wanakusikiliza mwishowe wanakudhalauAtahakikisha jumuiya ya kimataifa inaitenga na kuisusa Tanzania
Wapigakura wapi?hawa waliogoma kujitokeza kupiga kura katika uchaguzi wa marudio baada ya CHADEMA kujitoa?.Kwa kweli nilikuwa najiuliza kwa nini lissu apelekwe ubelgiji badala ya nchi nyingine mahiri kwa utabibu wa binadamu, kumbe ni mbinu nyingine ya kwenda jumuia ya ulaya kwa mgongo wa matibabu?
Hao wabelgiji si ndio walimuua Patrice Lumumba wa Congo kwa kumyeyusha na acid au?
Poor politics za cdm hadi mnatukera wapiga kura.
Basi hakuna haja ya kupiga kelele acha akaseme tuone wanavyodharauWazungu wanakusikiliza mwishowe wanakudhalau
Kama alishindwa wakati yupo mzima alipopiga kambi bunge la ulaya kwa wiki mbili,kwa sasa ni kama wanaenda kumuona mgonjwa na kumpa pole tuMhe. Tundu Lissu anatarajia kukutana na viongozi waandamizi wa ulaya siku tatu zijazo, viongozi hao ni Waziri Mkuu wa Ubelgiji, Katibu Mkuu wa umoja wa ulaya pamoja na Spika wa bunge la ulaya.. NTAENDELEA KUWAJUZA