Tetesi: Lissu kukutana na viongozi waandamizi wa Ulaya

Sijasema Mimi nitakua hai, Mimi na wewe tutakufa , Tanzania itabaki. Huyu mpuuzi anaidhalilisha Tz nje ya mipaka yake, aondolewe tu
Usijifanye mzalendo kuliko wengine !!
Ilitakiwa ujue kuwa maamuzi ya Lumumba kupitia mwenyekiti wake yanawakera WaTz wengine. Uzalendo ni pamoja na kuwa mkweli na mhaki kwa kila mTz
 
Kwa hiyo unaifananisha Tanzania na SA ya makaburu ww? Unajua kilichokuwa kimafanywa na makaburu kwa weusi aisee..labda na ww nikuulize ulikuwa na umri gani maana unashindwa kukumbuka namna wale jamaa walivyokuwa wanawateketeza wenzetu. Ule ulikuwa ni ubaguzi wa rangi uliozidi kipimo. Hapa ni tofauti..huo utesaji mnaoshikia bango ni wa kifikirika zaidi..
 
Kaongea tayar au bado mbona unampangia mambo ya kuongea wewe subir azungumze kwanza ndio utokwe mapovu
 
Niwakufikirika kwa maana kiwa si halisi?Kwa maana hiyo Lissu hakupigwa Lisasi?.
 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Nchi huru...hili ni somo gumu sana kwa makarai
Muungano wa TANGANYIKA na ZANZIBAR.
Muungano wa Tanzania na nani?[emoji83] [emoji196]
 
Sijasema Mimi nitakua hai, Mimi na wewe tutakufa , Tanzania itabaki. Huyu mpuuzi anaidhalilisha Tz nje ya mipaka yake, aondolewe tu
Hata akiondolewa wataibuka wengine mkuu,unadhani lissu atakuwa mtu Wa kwanza kuondolewa?akili Yangu ndogo inaniambia badala kuhangaika na Lissu tungetulia tu huku tunajiuliza why haya yanatutokea na nini tufanye haya yasitutokee tena full stop
 
Let me watch this game of throne! [emoji2] simchezo asee naiona tz ileee
 
Snitch kapata pa kuwasemea mtakoma
 

Waliompiga risasi walifanya kwa faida ya nani?
Wanao ua demokrasia wanafanya hivyo kwa faida ya nani?
Walimpoteza Saanane walifanya hivyo kwa faida ya nani?
Ambaye hataki kukosolewa anafanya hivyo kwa faida ya nani?

Hakuna mtu aliyemwaga damu ya binadamu mwenzake akabaki salama milele, hata ukiwa na jeshi kubwa na kuomba wengine kutoka rwanda. Dawa ni kuacha uovu na kutoa haki sawa kwa wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…