Uchaguzi 2020 Lissu kulitikisa jiji la Arusha Ijumaa, shughuli mbalimbali zitasimama kwa muda

Hizi IDs zenu za Lumumba zinapata tabu sana kipindi hiki, mtakufa na msongo wa mawazo, Lissu hazuiliki, mnakazana kumtetea mtu asiyekubalika na watanzania, Lissu ndiye chaguo sahihi la watanzania, anapendwa, halazimishi watu wamsifie kama Magu
Vipi umebarehe juzi kwenye siasa nini??
 
Ijumaa mchana kishindo kikubwa kinatua Arusha. Ni Tundu Lissu "The chosen" atasambaratisha shughuli nyingi kwa muda wa masaa matatu. Pale atakapotafuta wadhamini kwa ajili ya kupeleke uelekeo mpya nchini na kuufuta udikteta unaotaka kuchipua!

Tukutane Kimandolu hadi Moshi mjini!
Watanzania saa imefika Sasa ya kuambiana ukweli,wananchi wamefilisikia 100% na hawajui hata kesho wakiamka watakula Nini Wala hawajui kinachoendelea kimaisha.watu wamezuiliwa mikutano miaka 5 hawaongei,hawakutani, Sasa wamepata sehemu ya kukutania na kuongelea.wafanyabiadhara wanalia,watumishi wa umma wanalia,waliomaliza vyuo wanalia,wakulima wanalia,vyetu hewa wanalia,wastaafu wanalia,wanafunzi wanalia,wafungaji wanalia,private sectors zinalia,wanaoteuliwa wanalia,wanaotumbuliwa wanalia, Bora wakamsililize TL.
 
Ijumaa mchana kishindo kikubwa kinatua Arusha. Ni Tundu Lissu "The chosen" atasambaratisha shughuli nyingi kwa muda wa masaa matatu. Pale atakapotafuta wadhamini kwa ajili ya kupeleke uelekeo mpya nchini na kuufuta udikteta unaotaka kuchipua!

Tukutane Kimandolu hadi Moshi mjini!
Aisee, kumbe ataitikisa Arusha??
 
Vipi na barabara watadeki?
Sisi tunawabeba na malori
tapatalk_1597239287596.jpeg
 
Ijumaa mchana kishindo kikubwa kinatua Arusha. Ni Tundu Lissu "The chosen" atasambaratisha shughuli nyingi kwa muda wa masaa matatu. Pale atakapotafuta wadhamini kwa ajili ya kupeleke uelekeo mpya nchini na kuufuta udikteta unaotaka kuchipua!

Tukutane Kimandolu hadi Moshi mjini!
Unafanya kazi nzuri sana ya updates
Kama utakuwa unatoa clips fupi fupi kwa ajili ya watsapp itakuwa nzuri zaidi
 
Ijumaa mchana kishindo kikubwa kinatua Arusha. Ni Tundu Lissu "The chosen" atasambaratisha shughuli nyingi kwa muda wa masaa matatu. Pale atakapotafuta wadhamini kwa ajili ya kupeleke uelekeo mpya nchini na kuufuta udikteta unaotaka kuchipua!

Tukutane Kimandolu hadi Moshi mjini!
Utaratibu wa kumdhamini ukoje mkuu?
Ninahitaji kumdhamini
 
Ijumaa mchana kishindo kikubwa kinatua Arusha. Ni Tundu Lissu "The chosen" atasambaratisha shughuli nyingi kwa muda wa masaa matatu. Pale atakapotafuta wadhamini kwa ajili ya kupeleke uelekeo mpya nchini na kuufuta udikteta unaotaka kuchipua!

Tukutane Kimandolu hadi Moshi mjini!

dodoma ilizizima sasa arusha wakijaa watu njoo tena kwenye hii comment yangu, nnavowajua watu wa arusha mchungeni sana! mm nmetabiri tu msichukulie neno langu sheria
 
Ijumaa mchana kishindo kikubwa kinatua Arusha. Ni Tundu Lissu "The chosen" atasambaratisha shughuli nyingi kwa muda wa masaa matatu. Pale atakapotafuta wadhamini kwa ajili ya kupeleke uelekeo mpya nchini na kuufuta udikteta unaotaka kuchipua!

Tukutane Kimandolu hadi Moshi mjini!
Mkuu tupe ratiba ya barabara atakazopita Maelfu ya wanaArusha wanataka kujitokeza kumlaki MKOMBOZI ..ikibidi uzi special
 
Back
Top Bottom