Vipi umebarehe juzi kwenye siasa nini??Hizi IDs zenu za Lumumba zinapata tabu sana kipindi hiki, mtakufa na msongo wa mawazo, Lissu hazuiliki, mnakazana kumtetea mtu asiyekubalika na watanzania, Lissu ndiye chaguo sahihi la watanzania, anapendwa, halazimishi watu wamsifie kama Magu