Tetesi: Lissu kuongoza jopo la mawakili 29 kumtetea Bi. Fatuma Karume

Unajua maana ya mtuhumiwa au unajiandikia tuu??
 
Huyo askari anatamani akafanye Plastic Surgery asijulikane.... Maana ni bonge la msiba
 
Abuse of proffession....Hivi polisi wakiamua kuwakamata ile kisawasawa watakuwa wazima kweli?

This is an abuse of Power not abuse of Poffession my friend!!
Polisi kwa kupewa kibri na Utawala hasa huu wa A5 wanatumia madaraka yao vibaya. Yaani Jeshi la Polisi wanafikiri kwa vile Magufuli wao yuko juu ya sheria basi na wao wanaweza kuwa juu ya sheria!!!Sasa ngoja ashikishwe adabu na itakuwa somo kwa Mapolisi wote wajingawajinga wanaofanya kazi zao bila kutumia weledi.
 
Abuse of proffession....Hivi polisi wakiamua kuwakamata ile kisawasawa watakuwa wazima kweli?
Kwani polisi wanaruhusuwa kuwakamata kwa nguvu? Amri toka juu ndizo huwafanya polisi kujiona wapo juu ya sheria, hii kesi itasaidia watanzania kutambua haki zao.
 
hao mawakili wapigane hii kesi irushwe live na sie ma bush lawyer tupate vi techniques vya kutambia mjini

maana tusha nyanyaswa sana, ni muda wa kutamba na sie
 
nimeipenda sana hii

kula uliwe"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa hiyo mna imani na mahakama?

Mahakama kama Mahakama nina imani nazo kwa mujibu wa Sheria ila SINA IMANI NA BAADHI YA MAJAJI NA MAHAKIMU wanaoendesha kesi kwa MAELEKEZO TOKA JUU(IKULU YA MAGOGONI YA JPM) ili kukandamiza haki za Watz.
 
aiseee.. hii haijawahi kutokea Tanzania, sasa wanaomtetea huyo mtesi ni wangapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…