Lissu kupata uenyekiti wa chadema kumemshinda na itakua ni ndoto za kimweri kuupata, nadhani kupata urais wa Tanzania itakua ni ndoto za alinacha

Namchukia sana Lissu
Ulisikia anatafuta mpenzi shoga? Watu wapo busy na mustakabali wa nchi na maisha ya watu milioni 60 we unaongelea mapenzi hapa? Ukapimwe uzito wa ubongo wewe. Ukimchukia wewe anapungukiwa na nini? We nani nchi hii kwamba ukichukia mtu basi watu wazungumze? We ni njia kwamba watashindwa kupita? Usijipe umuhimu kwenye maisha ya watu wewe kijana huna lolote la maana hata kodi hulipi achana na watu wanaoshughulika na maisha ya wananchi huko!
 
Hahaah kweli mkuu ya kibobevu, mtag na mwashamba aje kuongeza ubobevu!
show nyepesi kama za kuwaelezea vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi hazihitaji usaidizi kabisa gentleman,

kwa wakati muafaka wajumbe wa mkutano mkuu Taifa wa chadema wanawajibika kumrejesha kwa mabwenyenye kwa aibu 🐒
 
Ni wazi kwenye nafasi ya uenyekiti wa chama Taifa anayogombea, anapingwa vikali sana kwenye chama chake, na kwahiyo tunaweza kuhitimisha kwamba hataweze kupewa ridhaa hiyo na wajumbe wa mkutano mkuu Taifa wa chadema.

Ni dhahiri,
hekima, busara na mdomo wa huyo muungwana is completely not presidential material. May be alistahili zaidi kua afisa propaganda wa chadema kuliko nafasi alonayo mpaka sasa.

Ni mgomvi na mwenye uhasama karibu na kila kiongozi muandamizi wa ngazi za juu wa chadema, huku akiwapa viongozi wenzake tabasamu la kinafiki wakikutana pamoja kwenye press conference n.k

Kupingwa na kukataliwa kwake na ndani ya chadema karibu yote ni uthibitisho kwamba muungwana hakubaliki nje ya chadema pia.

Hiyo ikimaanisha kwamba,
kushindwa kwake uenyekiti wa chadema Taifa, ni kushindwa kwake vibaya zaidi nje ya chadema. Kwa kifupi muungwana ni fungu la kukosa.🐒

Mungu Ibariki Tanzania and Mary Christmas to you all my friends, ladies and gentlemen 🎄
LISSU NI MPANGO WA MUNGU.
 
show nyepesi kama za kuwaelezea vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi hazihitaji usaidizi kabisa gentleman,

kwa wakati muafaka wajumbe wa mkutano mkuu Taifa wa chadema wanawajibika kumrejesha kwa mabwenyenye kwa aibu 🐒
Bahati mbaya sana hizi propaganda chafu hazijaleta matokeo hadi sasa! Tusubiri sanduku la kura liongee mambo yaishe! Lissu yupo level ingine kabisa na alisema hamna internet warrior anamshughulisha, yupo busy na mambo ya kitaifa kama kupinga rushwa toka ofisi kuu
 
Gentleman,
bahati mbaya sifahamu propaganda, naweza kuleza ukweli kisayansi zaidi pekee.

hata hivyo,
sitegemei matokeo mengine zaidi ya kipanga kumpiga mkoloni kwa aibu sana 🐒
 
actually,
muungwana ni mpango wa mabwenyenye ya magharibi kupenyeza ukoloni mambo leo Tanzania,

mengineyo ni upotoshaji wa kupuuzwa tu gentleman 🐒
Kwa sisi tulio kulia uswahilini kuna maisha flani ambyo mama zetu wanatulea mfano wa hayo malezi ni kuficha kopo la asali na huku ukiamini ndani kuna asali. Sasa basi huyohuyo mama akitaka wewe usicheze mbali asali uwa hafichi kwa maana anajua utakua unaenda kucheza na baadae unaenda kuiba asali kwa siri na kulamba,kwa mfano huo ndio maana huyu mama wa kiafrica ambaye Lucas Mwashambwa akimuona anabubujikwa na machozi ya furaha tele ndio amemfanyia Mbowe & co na hawachezi mbali maana asali ipo kwenye mezani ni mwendo wa kulamba kwa siri ili kamanda LISSU asiskie.
Chukia ujinga wako!
Chukia na huo ujinga ulionao kichwani
 
ni muhimu zaidi ukafunguka yote gentleman,

lakini dawa ya Kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi iko inachemka,
dawa yenyewe ni wajumbe wa mkutano mkuu Taifa wa chadema.

ukoloni mambo leo ni kitu mbaya sana hasa Kibaraka akiwa raia waTanzania 🐒
 
JF sasa imevamiwa na waganga wa kienyeji wa ramli chonganishi
nadhani waliogikia ukomo wao wa mwisho wa mawazo mapya na fikra mbadala mmejazana sana, vichwani mwenu yamesalia mambo mawili tu,

mihemko na makasiriko tu 🤣
 
Ni wazi kwenye nafasi ya uenyekiti wa chama Taifa anayogombea, anapingwa vikali sana kwenye chama chake, na kwahiyo tunaweza kuhitimisha kwamba hataweze kupewa ridhaa hiyo na wajumbe wa mkutano mkuu Taifa wa chadema.

Ni dhahiri,
hekima, busara na mdomo wa huyo muungwana is completely not presidential material. May be alistahili zaidi kua afisa propaganda wa chadema kuliko nafasi alonayo mpaka sasa.

Ni mgomvi na mwenye uhasama karibu na kila kiongozi muandamizi wa ngazi za juu wa chadema, huku akiwapa viongozi wenzake tabasamu la kinafiki wakikutana pamoja kwenye press conference n.k

Kupingwa na kukataliwa kwake na ndani ya chadema karibu yote ni uthibitisho kwamba muungwana hakubaliki nje ya chadema pia.

Hiyo ikimaanisha kwamba,
kushindwa kwake uenyekiti wa chadema Taifa, ni kushindwa kwake vibaya zaidi nje ya chadema. Kwa kifupi muungwana ni fungu la kukosa.🐒

Mungu Ibariki Tanzania and Mary Christmas to you all my friends, ladies and gentlemen 🎄
Lissu ameshajipambanua kwamba yeye ni mwana mageuzi na ni mpiganaji huru anaejielewa na kujitambua shida ipo kwa chadema ya sasa mwenyekiti akiwa mbowe atasomeka ni mpiga dili na wenje respectively,

mbowe kisiasa amekwisha ukubali ukatae, onja asali mara moja lakini uchungu wake utam cost maisha yake yote, Tundu lisu ni kiraka akiamua kubadilisha jukwaa ni mwendo wa dakika 5 tu anaondoka na watu wake
 
Ni wazi kwenye nafasi ya uenyekiti wa chama Taifa anayogombea, anapingwa vikali sana kwenye chama chake, na kwahiyo tunaweza kuhitimisha kwamba hataweze kupewa ridhaa hiyo na wajumbe wa mkutano mkuu Taifa wa chadema.

Ni dhahiri,
hekima, busara na mdomo wa huyo muungwana is completely not presidential material. May be alistahili zaidi kua afisa propaganda wa chadema kuliko nafasi alonayo mpaka sasa.

Ni mgomvi na mwenye uhasama karibu na kila kiongozi muandamizi wa ngazi za juu wa chadema, huku akiwapa viongozi wenzake tabasamu la kinafiki wakikutana pamoja kwenye press conference n.k

Kupingwa na kukataliwa kwake na ndani ya chadema karibu yote ni uthibitisho kwamba muungwana hakubaliki nje ya chadema pia.

Hiyo ikimaanisha kwamba,
kushindwa kwake uenyekiti wa chadema Taifa, ni kushindwa kwake vibaya zaidi nje ya chadema. Kwa kifupi muungwana ni fungu la kukosa.🐒

Mungu Ibariki Tanzania and Mary Christmas to you all my friends, ladies and gentlemen 🎄
Jinga wewe, ngoja tuweke mgombea binafsi alafu uje tuandike upuuzi wako
 
wajumbe wengi ni undercover wa tiss, wanamuunga mkono Mbowe. TAL hawezi kushinda.
 
Wenye akili tunataka TAKUKURU wamkamate Abdul wanfunuliebmashtaka ushahidi upo wazi

Alafu Wajinga mnaleta siasa kwenye jinai

We kwa akili yako ndogo unadhani unakipambania chama chako na mabwana zako, kumbe mnaliangamiza taifa na set precedence ya kutoheshimu utawala wa sheria
 
JF sasa imevamiwa na waganga wa kienyeji wa ramli chonganishi
Huyu siyo mganga ni mzee wa hovyo wa CCM kuwahi kutokea katika history anaitwa Yusuph Makamba.
CCM wajinga kama huyu mzee wa hovyo hawawezi kumpenda Lissu wanamtaka Mbowe ambaye wanamgeuza kama samaki katulia tuli na siku zinaenda.

Shangaa mzee wa hovyo wa CCM anampenda Mbowe na kumchukia Lissu kwa sababu gani.
 
sure,
wakijua tu kwamba wewe ni kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi wanakutenga kabisa yaan, aise dah?

wajumbe bana dah 🤣 🐒
Shangaa!! CCM wanampigia kampeni FAM awe mwenyekiti wa Cdm, Wanasiasa nch hii mnatuonaje sisi raia?
 
Atakuwa mwenyekiti na mitandaoni na mwenzie Maria Sarungi !
Muda utasema niko hapa !
 
Shangaa!! CCM wanampigia kampeni FAM awe mwenyekiti wa Cdm, Wanasiasa nch hii mnatuonaje sisi raia?
ukifuatilia chambuzi za kisiasa za kitaalamu zilizojaa ukweli na uhakika Lazima upate mawenge,

pole sana gentleman,

hata hivyo,
itakubidi uzoee tu gentleman,
maana hakuna namna nyingine sasa 🐒
 
Back
Top Bottom