Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna jambo silielewi kuhusu kulipiwa matibabu kamanda Lissu.
Hivi mbunge akiumwa anajipeleka tu kienyeji hospitali yeyote duniani na kuliagiza bunge limlipie?
Nauliza hivi kwa sababu kote huko alikoenda kajiamulia mwenyewe na Mbowe.
Lengo la kesi hapo sio kulipwa, lengo ni kuweka rekodi sawa kwaajili ya rejea ya vizaz vijavyo, mahakama ikimpa ushindi tu wa kesi inatoshaha ha, mahakama ikiamuru mtu alipwe analipwa hapo hapo!!'unachekesha sana
kuhidhinisha malipo ikulu inahusika,na serikali inaweza ikasema haina hela!!
Mkuu huko kwenye RUZUKU usituingilie kabisaaa!tunaomba asilimia 10 ya ruzuku ya chama awekewe ulinzi kamanda Tundu Lissu ili aendelee kuinyoosha serikali ya bwana maguvu pasipo akili.
Which school teaches that kamanda?Go back to school Dude
You don't know nothing about politics in Tanzania
Kacheze forex na LAKI SI PESA .
SWISSME
Watakataa pia kulipa, kumbuka kuna kesi waliamriwa na mahakama kulipa wakakataa.Wakati bunge lingelipa dola 20000 (mfano) sasa wakiambiwa na korti walipe dola 100000 itakuwa wamefanya nini sasa? Wamemneemesha Lisu. Wataonekana ni matope tu!
Ndio hapo sasa mkuu ila kwa vile tumeamua kila jambo kulifanyia siasa. Ngoja tuone maana tukielezea kiuhalisia wafuasi wa Lissu watatuona wachawi na kuitwa majina ya kifedhea.Kuna jambo silielewi kuhusu kulipiwa matibabu kamanda Lissu.
Hivi mbunge akiumwa anajipeleka tu kienyeji hospitali yeyote duniani na kuliagiza bunge limlipie?
Nauliza hivi kwa sababu kote huko alikoenda kajiamulia mwenyewe na Mbowe.
You might be opsonizing him unknowingly...Habari zimenifikia. Kweli jasiri haachi asili. Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA) Tundu Lissu amejipanga na kupangika kufungua kesi ya madai dhidi ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuhusu maslahi yake ya kibunge akiwa mgonjwa.
Lissu ambaye yuko nchini Ubelgiji akiendelea na matibabu ya kutibu majeraha ya karaha ya risasi alizoshambuliwa nyumbani kwake Dodoma, tayari ameshakusanya nyaraka mbalimbali zinazoonesha kuwa anatengwa na maslahi hayo ya kibunge huku wengine wakiyapata bila tabu wala aibu.
Taarifa nilizonazo ni kuwa Lissu tayari ameshaanza kuandaa nyaraka za kimahakama za kudai maslahi yake hayo mara tu atakaporejea nchini siku za karibuni. Lissu ameapa kujiwakilisha na kujieleza (kwa maana ya kuendesha kesi yake) mwenyewe ili auanike ukweli kwa umma.
Nabii Tito!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Atakaeshitakiwa ni Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sio mzee roho mbaya, hata akikomaa asilipe hadi atoke madarakani watakao fuata watalipa na riba kibao.Hata akishinda kesi hawatamlipa; tumshukuru tu Mungu wetu wa rehema kwa kumwinua tena mja wake. Mungu anatupenda, Mungu anampenda Lisu. Hana sababu ya kulipwa labda tu apende kufanya kesi ili kudhihirishia umma uwezo wake.
Duh! kwani hukumu tayari kamanda?Atakaeshitakiwa ni Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sio mzee roho mbaya, hata akikomaa asilipe hadi atoke madarakani watakao fuata watalipa na riba kibao.
Sishangai kuona ya Bombardier yanajirudia kwa Lisu
Unaniacha hoi sana kwenye hiyo aka ya nabii TitoHabari zimenifikia. Kweli jasiri haachi asili. Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA) Tundu Lissu amejipanga na kupangika kufungua kesi ya madai dhidi ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuhusu maslahi yake ya kibunge akiwa mgonjwa.
Lissu ambaye yuko nchini Ubelgiji akiendelea na matibabu ya kutibu majeraha ya karaha ya risasi alizoshambuliwa nyumbani kwake Dodoma, tayari ameshakusanya nyaraka mbalimbali zinazoonesha kuwa anatengwa na maslahi hayo ya kibunge huku wengine wakiyapata bila tabu wala aibu.
Taarifa nilizonazo ni kuwa Lissu tayari ameshaanza kuandaa nyaraka za kimahakama za kudai maslahi yake hayo mara tu atakaporejea nchini siku za karibuni. Lissu ameapa kujiwakilisha na kujieleza (kwa maana ya kuendesha kesi yake) mwenyewe ili auanike ukweli kwa umma.
Nabii Tito!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Wasisahau :Bulletproof vests upgrade with GPS,impact sensors to alert teamtunaomba asilimia 10 ya ruzuku ya chama awekewe ulinzi kamanda Tundu Lissu ili aendelee kuinyoosha serikali ya bwana maguvu pasipo akili.
Lissu ameshatangazia dunia harudi tena Tz kwanini unampandikizia mambo yaliyopo nje ya mipango yake?Habari zimenifikia. Kweli jasiri haachi asili. Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA) Tundu Lissu amejipanga na kupangika kufungua kesi ya madai dhidi ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuhusu maslahi yake ya kibunge akiwa mgonjwa.
Lissu ambaye yuko nchini Ubelgiji akiendelea na matibabu ya kutibu majeraha ya karaha ya risasi alizoshambuliwa nyumbani kwake Dodoma, tayari ameshakusanya nyaraka mbalimbali zinazoonesha kuwa anatengwa na maslahi hayo ya kibunge huku wengine wakiyapata bila tabu wala aibu.
Taarifa nilizonazo ni kuwa Lissu tayari ameshaanza kuandaa nyaraka za kimahakama za kudai maslahi yake hayo mara tu atakaporejea nchini siku za karibuni. Lissu ameapa kujiwakilisha na kujieleza (kwa maana ya kuendesha kesi yake) mwenyewe ili auanike ukweli kwa umma.
Nabii Tito!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Kajinyima mwenyewe.Afungue tuu maana yule mzee ndumbayi naskia yupi india anakula pesa zetu tu ila lissu kanyimwa,
Ndio maana kasema harudi tena Tz, namshangaa huyo anayemdalalia lissu kurudi bongo.Sikumbuki kama waliomshambulia wameshakamatwa, kama bado ni nani atakaemhakikishia usalama wake atakaporudi kuendesha hiyo kesi?
Aombewe mtu asiyetaka kurudi bongo?Nadhani cha msingi Kwanza ingekuwa kumuombea afike / awasili salama nchini na hayo mengine ndiyo yatafuata kwani ya Mungu mengi na Shetani nae ana mipango yake vile vile chini ya jua hili.
Ndo ushabiki wetu umetufikisha hpo mkuu, mtu anaongelea kma vile hukumu imeshatokaDuh! kwani hukumu tayari kamanda?