Tetesi: Lissu kutua nchini na kesi nzito dhidi ya Bunge na Mwanasheria Mkuu wa Serikali

mipango ikikamilika tujuzeni tujipigepige kuchangia ulinzi wake.hivi ni kweli nasikia kuna watu wameanza kuharisha,baada ya kusikia 'chuma cha pua' kitarejea siku si nyingi??!!
 
Kuna jambo silielewi kuhusu kulipiwa matibabu kamanda Lissu.
Hivi mbunge akiumwa anajipeleka tu kienyeji hospitali yeyote duniani na kuliagiza bunge limlipie?
Nauliza hivi kwa sababu kote huko alikoenda kajiamulia mwenyewe na Mbowe.

Go back to school Dude


You don't know nothing about politics in Tanzania

Kacheze forex na LAKI SI PESA .



SWISSME
 
ha ha, mahakama ikiamuru mtu alipwe analipwa hapo hapo!!'unachekesha sana

kuhidhinisha malipo ikulu inahusika,na serikali inaweza ikasema haina hela!!
Lengo la kesi hapo sio kulipwa, lengo ni kuweka rekodi sawa kwaajili ya rejea ya vizaz vijavyo, mahakama ikimpa ushindi tu wa kesi inatosha
 
tunaomba asilimia 10 ya ruzuku ya chama awekewe ulinzi kamanda Tundu Lissu ili aendelee kuinyoosha serikali ya bwana maguvu pasipo akili.
Mkuu huko kwenye RUZUKU usituingilie kabisaaa!
 
Historia inaonesha hajawah shinda jambo lolote la kisheria dhid ya naibu spika tulia
 
Wakati bunge lingelipa dola 20000 (mfano) sasa wakiambiwa na korti walipe dola 100000 itakuwa wamefanya nini sasa? Wamemneemesha Lisu. Wataonekana ni matope tu!
Watakataa pia kulipa, kumbuka kuna kesi waliamriwa na mahakama kulipa wakakataa.
 
Kuna jambo silielewi kuhusu kulipiwa matibabu kamanda Lissu.
Hivi mbunge akiumwa anajipeleka tu kienyeji hospitali yeyote duniani na kuliagiza bunge limlipie?
Nauliza hivi kwa sababu kote huko alikoenda kajiamulia mwenyewe na Mbowe.
Ndio hapo sasa mkuu ila kwa vile tumeamua kila jambo kulifanyia siasa. Ngoja tuone maana tukielezea kiuhalisia wafuasi wa Lissu watatuona wachawi na kuitwa majina ya kifedhea.

All in all lissu akufuata utaratibu kwenye matibabu yake.
 
You might be opsonizing him unknowingly...
...for yet another encounter!
 
Hata akishinda kesi hawatamlipa; tumshukuru tu Mungu wetu wa rehema kwa kumwinua tena mja wake. Mungu anatupenda, Mungu anampenda Lisu. Hana sababu ya kulipwa labda tu apende kufanya kesi ili kudhihirishia umma uwezo wake.
Atakaeshitakiwa ni Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sio mzee roho mbaya, hata akikomaa asilipe hadi atoke madarakani watakao fuata watalipa na riba kibao.
Sishangai kuona ya Bombardier yanajirudia kwa Lisu
 
Atakaeshitakiwa ni Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sio mzee roho mbaya, hata akikomaa asilipe hadi atoke madarakani watakao fuata watalipa na riba kibao.
Sishangai kuona ya Bombardier yanajirudia kwa Lisu
Duh! kwani hukumu tayari kamanda?
 
Unaniacha hoi sana kwenye hiyo aka ya nabii Tito
 
Mbona hashukuru waliomchangia.. anaishia kufikiria tumbo lake.. kwasababu hana deni la matibabu.. hizo pesa angekuwa anataka kudai aendeleze wananchi wake na kutenda mema jimboni kama shukurani kwao ingeeleweka..
Kweli pesa ni jambo lingine kwa viongozi kama yeye
 
Lissu ameshatangazia dunia harudi tena Tz kwanini unampandikizia mambo yaliyopo nje ya mipango yake?
 
Sikumbuki kama waliomshambulia wameshakamatwa, kama bado ni nani atakaemhakikishia usalama wake atakaporudi kuendesha hiyo kesi?
Ndio maana kasema harudi tena Tz, namshangaa huyo anayemdalalia lissu kurudi bongo.
 
Nadhani cha msingi Kwanza ingekuwa kumuombea afike / awasili salama nchini na hayo mengine ndiyo yatafuata kwani ya Mungu mengi na Shetani nae ana mipango yake vile vile chini ya jua hili.
Aombewe mtu asiyetaka kurudi bongo?
 
Hii Nchi Ukiwa Mpinzan Itaish Kwa Shida Sana

Zen Tunasema Tz Kuna Democracy Daaaahhh Life Is Not Fair
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…