Tetesi: Lissu kutua nchini na kesi nzito dhidi ya Bunge na Mwanasheria Mkuu wa Serikali

Wazima watakufa Lissu atabaki ili Mungu adhihirike kuwa yeye HAJARIBIWI wala HAPANGIWI nani wa kumchukua.
 
Nabii tito amefanyaje..?
Lissu atawanyoosha, ni chuma kilichovishwa nyama!
Malaika wanaomlinda ni kutoka mbingu za kifalme zenye mamlaka kamili na hii duniani na mbinguni milele yote!
Walipiga risasi wamemnyoosha kwelikweli
 
Wakati bunge lingelipa dola 20000 (mfano) sasa wakiambiwa na korti walipe dola 100000 itakuwa wamefanya nini sasa? Wamemneemesha Lisu. Wataonekana ni matope tu!
Mahakama gani hiyo ya kuhukumu hilo? Za Tanzania hizi..sidhani.
 


Ahsante kwa taarifa
 
Nadhani cha msingi Kwanza ingekuwa kumuombea afike / awasili salama nchini na hayo mengine ndiyo yatafuata kwani ya Mungu mengi na Shetani nae ana mipango yake vile vile chini ya jua hili.
Tuacheni porojo, jambo la msingi ni kujadili kwa kina namna Lisu atakavyoendelea kuwa salama hapa nchini hasa baada ya wabaya wake kutojulikana sura wala malengo yao.
 
Rais wa watu afahimishe umma mapema lini anarejea ili tumpokea kwa kishindo cha kutikisa nchi.
 
Who's been assassinated?
 
Kuna kila dalili ya Ndugai kufungwa .
 
Nabii tito amefanyaje..?
Lissu atawanyoosha, ni chuma kilichovishwa nyama!
Malaika wanaomlinda ni kutoka mbingu za kifalme zenye mamlaka kamili na hii duniani na mbinguni milele yote!
Ngoja tuone mwisho ila mtunze kumbukumbu, maana huwa hamchelewi kubadilika.
 
Ndio hapo sasa mkuu ila kwa vile tumeamua kila jambo kulifanyia siasa. Ngoja tuone maana tukielezea kiuhalisia wafuasi wa Lissu watatuona wachawi na kuitwa majina ya kifedhea.

All in all lissu akufuata utaratibu kwenye matibabu yake.


Tena koma kuita wafuasi wa Lissu kabisa hakuna ufuasi zaidi ya hayo maizi yenye kolera (Cholera) wa Lumumba
 
Nani kakudanganya..??
Unaijua sheria vizuri wewe...???

Mahakama ikiamuru kulipwa atalipwa mara moja na sio gharama za matibabu tuu..,hata gharama za kuendesha hiyo kesi pia zitalipwa.
Nawapenda tu mnavyoweza kujifariji.Big up.
 
Hofu ni utekelezaji (enforcement) wa hukumu kama ikitoka kwa kumpa haki yake je Serikali itaitekeleza km mahakama itakavyo amru??.

Maana USA kuna Rais alishawahi kuimbia mahakama "Let them enforce their own Judgment"
 
Hofu ni utekelezaji (enforcement) wa hukumu kama ikitoka kwa kumpa haki yake je Serikali itaitekeleza km mahakama itakavyo amru??.

Maana USA kuna Rais alishawahi kuimbia mahakama "Let them enforce their own Judgment"
The Cherokees sued. And eventually the Supreme Court, in Worcester v. Georgia, held in favor of the Cherokees. Georgia then refused to obey the Court. On May 19, 2003 President Andrew Jackson said,

"John Marshall has made his decision; now let him enforce it."

[emoji666] NOTE:
John Mashall was a Supreme court LJ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…