Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kumbe siku hizi Mzee Mtei anaishi Arusha?
Aisee Mataga Lissu amewabananisha kwenye kona ya kitanda mmeanza kulia-lia.
Ahahahaaaa [emoji3][emoji23][emoji1787]. Yehodaya . DaahhLisu kwenda Arusha halafu akashindwa kwenda kumsalimia mwasisi wa Chadema Mzee Mtei alipoenda ni ukosefu wa adabu
Anagombea uraisi bila kupata baraka ya mwasisi wa Chadema atashindwa uchaguzi vibaya mno mapema asubuhi
Alikwenda sana Moshi kwa wahenga angalia hapa akihiji kwenye kaburi la Philemon Ndesamburo huko Moshi. https://encrypted-tbn0.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcRFKyY3YhB6Q_OzIQMDlJ7I4yHyS-0u8Rrmxg&usqp=CAULisu kwenda Arusha halafu akashindwa kwenda kumsalimia mwasisi wa Chadema Mzee Mtei alipoenda ni ukosefu wa adabu
Anagombea uraisi bila kupata baraka ya mwasisi wa Chadema atashindwa uchaguzi vibaya mno mapema asubuhi
Ulitaka iwe live?Lisu kwenda Arusha halafu akashindwa kwenda kumsalimia mwasisi wa Chadema Mzee Mtei alipoenda ni ukosefu wa adabu
Anagombea uraisi bila kupata baraka ya mwasisi wa Chadema atashindwa uchaguzi vibaya mno mapema asubuhi
Hiyo nayo ni sera ya Lumumba. Magu jana kaenda kumsakimia Mwalimu pale Butiama?Lisu kwenda Arusha halafu akashindwa kwenda kumsalimia mwasisi wa Chadema Mzee Mtei alipoenda ni ukosefu wa adabu
Anagombea uraisi bila kupata baraka ya mwasisi wa Chadema atashindwa uchaguzi vibaya mno mapema asubuhi
Naongelea Mtei Mwanzilishi wa Chadema sio NdesamburoAlikwenda sana Moshi kwa wahenga angalia hapa akihiji kwenye kaburi la Philemon Ndesamburo huko Moshi. https://encrypted-tbn0.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcRFKyY3YhB6Q_OzIQMDlJ7I4yHyS-0u8Rrmxg&usqp=CAU
Lisu kwenda Arusha halafu akashindwa kwenda kumsalimia mwasisi wa Chadema Mzee Mtei alipoenda ni ukosefu wa adabu
Anagombea uraisi bila kupata baraka ya mwasisi wa Chadema atashindwa uchaguzi vibaya mno mapema asubuhi
Hivi kumbe siku hizi Mzee Mtei anaishi Arusha?
Aisee Mataga Lissu amewabananisha kwenye kona ya kitanda mmeanza kulia-lia.
Magu huyu aliyetupitisha watz wenzie kipindi cha giza kwa miaka mitano anahangaika tu.Hiyo nayo ni sera ya Lumumba. Magu jana kaenda kumsakimia Mwalimu pale Butiama?
Chuki yako kwa Tundu lisu ndiyo ilikukoseshu ubunge Kigamboni maana wewe Bashite kila ukikaa unawaza mada za kumchokonoa Lisu, mzee Mtei wanawasiliana vizuri na alikuwepo kwenye vikao kabla ya mkutano kama ulikuwa hujui chochote sasa utambue hilo.Lisu kwenda Arusha halafu akashindwa kwenda kumsalimia mwasisi wa Chadema Mzee Mtei alipoenda ni ukosefu wa adabu
Anagombea uraisi bila kupata baraka ya mwasisi wa Chadema atashindwa uchaguzi vibaya mno mapema asubuhi