Uchaguzi 2020 Lissu kwenda Arusha halafu akashindwa kwenda kumsalimia mwasisi wa Chadema Mzee Mtei alipoenda ni ukosefu wa adabu

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Lissu kwenda Arusha halafu akashindwa kwenda kumsalimia mwasisi wa CHADEMA Mzee Mtei alipoenda ni ukosefu wa adabu.

Anagombea urais bila kupata baraka ya mwasisi wa Chadema atashindwa uchaguzi vibaya mno mapema asubuhi.
 
Lisu kwenda Arusha halafu akashindwa kwenda kumsalimia mwasisi wa Chadema Mzee Mtei alipoenda ni ukosefu wa adabu

Anagombea uraisi bila kupata baraka ya mwasisi wa Chadema atashindwa uchaguzi vibaya mno mapema asubuhi
Ahahahaaaa [emoji3][emoji23][emoji1787]. Yehodaya . Daahh
Lissu , Lissu , Lissu .
Utawehuka ndugu !!.

Kwanza hapo nyuma mlidai kuwa Cdm imekufa. InakuwaJe sasa kila mwana Ccm ni Lissu Lissu Lissu ?!.
Hoja iko wapi !!
 
Mtasema yote mwaka huu na bado, huyo ndie Lissu.
 
Lisu kwenda Arusha halafu akashindwa kwenda kumsalimia mwasisi wa Chadema Mzee Mtei alipoenda ni ukosefu wa adabu

Anagombea uraisi bila kupata baraka ya mwasisi wa Chadema atashindwa uchaguzi vibaya mno mapema asubuhi
Ulitaka iwe live?
 
Hiyo nayo ni sera ya Lumumba. Magu jana kaenda kumsakimia Mwalimu pale Butiama?
 
Mama Maria amedai mnamlazimisha kwenda kwenye mikutano yeye wakati yeye hataki.
 
Kuna mambo hayapo sawa
Lisu kwenda Arusha halafu akashindwa kwenda kumsalimia mwasisi wa Chadema Mzee Mtei alipoenda ni ukosefu wa adabu

Anagombea uraisi bila kupata baraka ya mwasisi wa Chadema atashindwa uchaguzi vibaya mno mapema asubuhi
 
Hiyo nayo ni sera ya Lumumba. Magu jana kaenda kumsakimia Mwalimu pale Butiama?
Magu huyu aliyetupitisha watz wenzie kipindi cha giza kwa miaka mitano anahangaika tu.
Kamwe hawezi kuja kufanana na Mwalimu Nyerere kwa lolote. hata aende kugalagala kwenye kaburi lake, usiku mzima.
 
Lisu kwenda Arusha halafu akashindwa kwenda kumsalimia mwasisi wa Chadema Mzee Mtei alipoenda ni ukosefu wa adabu

Anagombea uraisi bila kupata baraka ya mwasisi wa Chadema atashindwa uchaguzi vibaya mno mapema asubuhi
Chuki yako kwa Tundu lisu ndiyo ilikukoseshu ubunge Kigamboni maana wewe Bashite kila ukikaa unawaza mada za kumchokonoa Lisu, mzee Mtei wanawasiliana vizuri na alikuwepo kwenye vikao kabla ya mkutano kama ulikuwa hujui chochote sasa utambue hilo.
 
Back
Top Bottom