Kama wanayosema ni kweli inatoshaKwa muda sasa tumeendelea kushuhudia wimbi la watu wanaojitambulisha kama wapigania haki za Watanzania, lakini maisha yao halisi yako mbali na uhalisia wa mwananchi wa kawaida.
Wana uraia wa mataifa mengine, wanaishi kwenye nchi za ulimwengu wa kwanza, huku wakitumia majukwaa ya mitandao na mashirika ya kimataifa kujiita mashujaa wa demokrasia.
Je, kweli hawa ni wapambanaji wa haki au wanajitengenezea jina kwa ajili ya nafasi kubwa huko nje?
Hebu tuwachambue mmoja baada ya mwingine:
1. Tundu Lissu: Yupo Tanzania lakini moyo na uraia wake vipo Ubelgiji
Tundu Lissu amerudi nchini na anaendelea kushiriki siasa, lakini yeye na familia yake ni raia wa Ubelgiji.
Hii ni nchi yenye historia mbaya barani Afrika, hasa ikikumbukwa kwa mauaji ya shujaa Patrice Lumumba.
Licha ya kujifanya mtetezi wa haki, Lissu bado ana uhusiano wa karibu na mashirika na serikali za nje ambazo mara nyingi hujihusisha na ajenda zisizoendana na maslahi ya taifa letu.
Maswali ya kujiuliza:
Je, mtu mwenye uraia wa kigeni anaweza kusimama kwa dhati kuilinda Tanzania?
Kama ana uchungu na nchi hii, kwa nini asikane uraia wa Ubelgiji na kubaki na Watanzania hadi mwisho?
Je, si hatari kuwa na kiongozi anayehifadhiwa na mataifa ambayo hayajawahi kuitakia mema Afrika?
2. Mange Kimambi: Anayeishi Marekani na kujitenga na utu wa Kiafrika
Mange pamona na watoto wake ni raia wa Marekani. Anaishi maisha ya anasa huko nje, akiwa amejitenga na familia yake ya asili huku akijinasibu kuwa mtetezi wa haki kwa Watanzania.
Kupitia mitandao ya kijamii, husambaza kejeli, chuki na propaganda zinazolenga kuvuruga jamii kwa sauti na maandiko kutoka kwenye maisha ya kifahari huko Los Angeles.
Maswali ya kujiuliza:
Huyu anayeishi kwenye viyoyozi vya Marekani anaelewa nini kuhusu shida za mama wa Tandahimba au kijana wa Kazulamimba Kigoma?
Kama ameshindwa kuishi kwa amani na familia yake, anawezaje kuelewa maisha ya familia ya Mtanzania wa kawaida?
Je, sauti yake ni ya huruma au biashara ya umaarufu wa mtandaoni?
3. Godbless Lema: Amerudi Tanzania lakini familia iko salama Canada
Lema amerudi nchini baada ya Rais Samia kumfungulia milango aliyofungiwa na Hayati JPM hivyo anaendelea na harakati zake, lakini familia yake bado iko salama nchini Canada.
Katika nyakati za sintofahamu alihakikisha kuwa familia yake ipo mbali na hatari, jambo linalowafanya baadhi kujiuliza kama kweli ana imani na kile anachokipigania akiwa hapa nyumbani.
Maswali ya kujiuliza:
Kama Tanzania ni mahala salama kwa harakati za uasi na kupindua serikali, kwa nini familia yake haijarejea naye?
Je, si unafiki kumhimiza kijana wa Kibaha kushika bango mitaani huku mtoto wake akisoma Canada?
Ni kiongozi gani anayewataka wengine wateseke ilhali wake wako kwenye ulinzi wa dola za kigeni?
4. Wakenya: Leo wanatufundisha uhuru walioukataa zamani?
Tanzania ilikuwa kiini cha ukombozi barani Afrika. Ilipokuwa inawapa hifadhi wapigania uhuru kutoka Msumbiji, Zimbabwe na Afrika Kusini, Kenya ilikuwa bado inaendelea kumtii mkoloni.
Leo hii, baadhi ya raia wa Kenya wamekuwa wakijitokeza kutoa miongozo kwa Watanzania kuhusu demokrasia, haki na siasa kupitia mashirika na majukwaa ya kimataifa.
Maswali ya kujiuliza:
Nchi iliyojenga siasa kwa msingi wa ukabila ina maadili gani ya kuifundisha Tanzania kuhusu mshikamano?
Je, hawa waliosubiri mkoloni awaambie waamke, wana haki ya kutuelekeza tunakoenda?
Kwa nini wanajitosa kwenye mijadala yetu badala ya kushughulikia migogoro yao ya uchaguzi?
Ni wazi kuwa si kila anayepaza sauti nje ya nchi anamaanisha mema kwa Watanzania.
Wapo wanaotumia matatizo ya nchi yetu kama daraja la kujijenga kimataifa.
Tunapaswa kuwa makini na kupima kwa kina nani ni wapigania haki wa kweli na nani ni mawakala wa ajenda za nje.
Tuhitimishe kwa kujiuliza! Je, mtu mwenye uraia wa nje, familia salama nje ya nchi, na maisha ya anasa anaweza kweli kuwa mtetezi wa haki za Watanzania masikini?
Mke wa Lissu acha fujo basiNO REFORM NO ELECTION
Umepoteza muda wakoKwa muda sasa tumeendelea kushuhudia wimbi la watu wanaojitambulisha kama wapigania haki za Watanzania, lakini maisha yao halisi yako mbali na uhalisia wa mwananchi wa kawaida.

Kivipi?Umepoteza muda wako
Kumbe kuna uraia pacha nchini? Kwahiyo Lisu ni raia wa nchi mbili??Kwa muda sasa tumeendelea kushuhudia wimbi la watu wanaojitambulisha kama wapigania haki za Watanzania, lakini maisha yao halisi yako mbali na uhalisia wa mwananchi wa kawaida.

WAJINGA WAKIGOMA, WAJANJA TUNATIKINO REFORM NO ELECTION
Kivipi ?Kivipi?
Mfano tuu! Serikali ya samia ingekuwa haina wahuni inao watuma kuteka,kubaka na kuua hao wana harakati wangetoa wapi hoja?Kwa muda sasa tumeendelea kushuhudia wimbi la watu wanaojitambulisha kama wapigania haki za Watanzania, lakini maisha yao halisi yako mbali na uhalisia wa mwananchi wa kawaida.
Wana uraia wa mataifa mengine, wanaishi kwenye nchi za ulimwengu wa kwanza, huku wakitumia majukwaa ya mitandao na mashirika ya kimataifa kujiita mashujaa wa demokrasia.
Je, kweli hawa ni wapambanaji wa haki au wanajitengenezea jina kwa ajili ya nafasi kubwa huko nje?
Hebu tuwachambue mmoja baada ya mwingine:
1. Tundu Lissu: Yupo Tanzania lakini moyo na uraia wake vipo Ubelgiji
Tundu Lissu amerudi nchini na anaendelea kushiriki siasa, lakini yeye na familia yake ni raia wa Ubelgiji.
Hii ni nchi yenye historia mbaya barani Afrika, hasa ikikumbukwa kwa mauaji ya shujaa Patrice Lumumba.
Licha ya kujifanya mtetezi wa haki, Lissu bado ana uhusiano wa karibu na mashirika na serikali za nje ambazo mara nyingi hujihusisha na ajenda zisizoendana na maslahi ya taifa letu.
Maswali ya kujiuliza:
Je, mtu mwenye uraia wa kigeni anaweza kusimama kwa dhati kuilinda Tanzania?
Kama ana uchungu na nchi hii, kwa nini asikane uraia wa Ubelgiji na kubaki na Watanzania hadi mwisho?
Je, si hatari kuwa na kiongozi anayehifadhiwa na mataifa ambayo hayajawahi kuitakia mema Afrika?
2. Mange Kimambi: Anayeishi Marekani na kujitenga na utu wa Kiafrika
Mange pamona na watoto wake ni raia wa Marekani. Anaishi maisha ya anasa huko nje, akiwa amejitenga na familia yake ya asili huku akijinasibu kuwa mtetezi wa haki kwa Watanzania.
Kupitia mitandao ya kijamii, husambaza kejeli, chuki na propaganda zinazolenga kuvuruga jamii kwa sauti na maandiko kutoka kwenye maisha ya kifahari huko Los Angeles.
Maswali ya kujiuliza:
Huyu anayeishi kwenye viyoyozi vya Marekani anaelewa nini kuhusu shida za mama wa Tandahimba au kijana wa Kazulamimba Kigoma?
Kama ameshindwa kuishi kwa amani na familia yake, anawezaje kuelewa maisha ya familia ya Mtanzania wa kawaida?
Je, sauti yake ni ya huruma au biashara ya umaarufu wa mtandaoni?
3. Godbless Lema: Amerudi Tanzania lakini familia iko salama Canada
Lema amerudi nchini baada ya Rais Samia kumfungulia milango aliyofungiwa na Hayati JPM hivyo anaendelea na harakati zake, lakini familia yake bado iko salama nchini Canada.
Katika nyakati za sintofahamu alihakikisha kuwa familia yake ipo mbali na hatari, jambo linalowafanya baadhi kujiuliza kama kweli ana imani na kile anachokipigania akiwa hapa nyumbani.
Maswali ya kujiuliza:
Kama Tanzania ni mahala salama kwa harakati za uasi na kupindua serikali, kwa nini familia yake haijarejea naye?
Je, si unafiki kumhimiza kijana wa Kibaha kushika bango mitaani huku mtoto wake akisoma Canada?
Ni kiongozi gani anayewataka wengine wateseke ilhali wake wako kwenye ulinzi wa dola za kigeni?
4. Wakenya: Leo wanatufundisha uhuru walioukataa zamani?
Tanzania ilikuwa kiini cha ukombozi barani Afrika. Ilipokuwa inawapa hifadhi wapigania uhuru kutoka Msumbiji, Zimbabwe na Afrika Kusini, Kenya ilikuwa bado inaendelea kumtii mkoloni.
Leo hii, baadhi ya raia wa Kenya wamekuwa wakijitokeza kutoa miongozo kwa Watanzania kuhusu demokrasia, haki na siasa kupitia mashirika na majukwaa ya kimataifa.
Maswali ya kujiuliza:
Nchi iliyojenga siasa kwa msingi wa ukabila ina maadili gani ya kuifundisha Tanzania kuhusu mshikamano?
Je, hawa waliosubiri mkoloni awaambie waamke, wana haki ya kutuelekeza tunakoenda?
Kwa nini wanajitosa kwenye mijadala yetu badala ya kushughulikia migogoro yao ya uchaguzi?
Ni wazi kuwa si kila anayepaza sauti nje ya nchi anamaanisha mema kwa Watanzania.
Wapo wanaotumia matatizo ya nchi yetu kama daraja la kujijenga kimataifa.
Tunapaswa kuwa makini na kupima kwa kina nani ni wapigania haki wa kweli na nani ni mawakala wa ajenda za nje.
Tuhitimishe kwa kujiuliza! Je, mtu mwenye uraia wa nje, familia salama nje ya nchi, na maisha ya anasa anaweza kweli kuwa mtetezi wa haki za Watanzania masikini?
Wakati Matukio hayo yameshamiri kipindi cha Mzee Baba, hawa wanaharakati walikuwa katika matimbo ya Mama zao kwamba hawakuwa duniani au?Mfano tuu! Serikali ya samia ingekuwa haina wahuni inao watuma kuteka,kubaka na kuua hao wana harakati wangetoa wapi hoja?
Mwanzo walikua na uraia was hapa TZ nanhatakati zao za upinzani tuliziona wakiwa hapa huyo Lema na Lisu!!Kwa muda sasa tumeendelea kushuhudia wimbi la watu wanaojitambulisha kama wapigania haki za Watanzania, lakini maisha yao halisi yako mbali na uhalisia wa mwananchi wa kawaida.
Wana uraia wa mataifa mengine, wanaishi kwenye nchi za ulimwengu wa kwanza, huku wakitumia majukwaa ya mitandao na mashirika ya kimataifa kujiita mashujaa wa demokrasia.
Je, kweli hawa ni wapambanaji wa haki au wanajitengenezea jina kwa ajili ya nafasi kubwa huko nje?
Hebu tuwachambue mmoja baada ya mwingine:
1. Tundu Lissu: Yupo Tanzania lakini moyo na uraia wake vipo Ubelgiji
Tundu Lissu amerudi nchini na anaendelea kushiriki siasa, lakini yeye na familia yake ni raia wa Ubelgiji.
Hii ni nchi yenye historia mbaya barani Afrika, hasa ikikumbukwa kwa mauaji ya shujaa Patrice Lumumba.
Licha ya kujifanya mtetezi wa haki, Lissu bado ana uhusiano wa karibu na mashirika na serikali za nje ambazo mara nyingi hujihusisha na ajenda zisizoendana na maslahi ya taifa letu.
Maswali ya kujiuliza:
Je, mtu mwenye uraia wa kigeni anaweza kusimama kwa dhati kuilinda Tanzania?
Kama ana uchungu na nchi hii, kwa nini asikane uraia wa Ubelgiji na kubaki na Watanzania hadi mwisho?
Je, si hatari kuwa na kiongozi anayehifadhiwa na mataifa ambayo hayajawahi kuitakia mema Afrika?
2. Mange Kimambi: Anayeishi Marekani na kujitenga na utu wa Kiafrika
Mange pamona na watoto wake ni raia wa Marekani. Anaishi maisha ya anasa huko nje, akiwa amejitenga na familia yake ya asili huku akijinasibu kuwa mtetezi wa haki kwa Watanzania.
Kupitia mitandao ya kijamii, husambaza kejeli, chuki na propaganda zinazolenga kuvuruga jamii kwa sauti na maandiko kutoka kwenye maisha ya kifahari huko Los Angeles.
Maswali ya kujiuliza:
Huyu anayeishi kwenye viyoyozi vya Marekani anaelewa nini kuhusu shida za mama wa Tandahimba au kijana wa Kazulamimba Kigoma?
Kama ameshindwa kuishi kwa amani na familia yake, anawezaje kuelewa maisha ya familia ya Mtanzania wa kawaida?
Je, sauti yake ni ya huruma au biashara ya umaarufu wa mtandaoni?
3. Godbless Lema: Amerudi Tanzania lakini familia iko salama Canada
Lema amerudi nchini baada ya Rais Samia kumfungulia milango aliyofungiwa na Hayati JPM hivyo anaendelea na harakati zake, lakini familia yake bado iko salama nchini Canada.
Katika nyakati za sintofahamu alihakikisha kuwa familia yake ipo mbali na hatari, jambo linalowafanya baadhi kujiuliza kama kweli ana imani na kile anachokipigania akiwa hapa nyumbani.
Maswali ya kujiuliza:
Kama Tanzania ni mahala salama kwa harakati za uasi na kupindua serikali, kwa nini familia yake haijarejea naye?
Je, si unafiki kumhimiza kijana wa Kibaha kushika bango mitaani huku mtoto wake akisoma Canada?
Ni kiongozi gani anayewataka wengine wateseke ilhali wake wako kwenye ulinzi wa dola za kigeni?
4. Wakenya: Leo wanatufundisha uhuru walioukataa zamani?
Tanzania ilikuwa kiini cha ukombozi barani Afrika. Ilipokuwa inawapa hifadhi wapigania uhuru kutoka Msumbiji, Zimbabwe na Afrika Kusini, Kenya ilikuwa bado inaendelea kumtii mkoloni.
Leo hii, baadhi ya raia wa Kenya wamekuwa wakijitokeza kutoa miongozo kwa Watanzania kuhusu demokrasia, haki na siasa kupitia mashirika na majukwaa ya kimataifa.
Maswali ya kujiuliza:
Nchi iliyojenga siasa kwa msingi wa ukabila ina maadili gani ya kuifundisha Tanzania kuhusu mshikamano?
Je, hawa waliosubiri mkoloni awaambie waamke, wana haki ya kutuelekeza tunakoenda?
Kwa nini wanajitosa kwenye mijadala yetu badala ya kushughulikia migogoro yao ya uchaguzi?
Ni wazi kuwa si kila anayepaza sauti nje ya nchi anamaanisha mema kwa Watanzania.
Wapo wanaotumia matatizo ya nchi yetu kama daraja la kujijenga kimataifa.
Tunapaswa kuwa makini na kupima kwa kina nani ni wapigania haki wa kweli na nani ni mawakala wa ajenda za nje.
Tuhitimishe kwa kujiuliza! Je, mtu mwenye uraia wa nje, familia salama nje ya nchi, na maisha ya anasa anaweza kweli kuwa mtetezi wa haki za Watanzania masikini?
Umeandika utumbo mtupuMwanzo walikua na uraia was hapa TZ nanhatakati zao za upinzani tuliziona wakiwa hapa huyo Lema na Lisu!!
Baada ya nyie na mliowaweka madarakani kutishia uhai wait na kuuhatarisha kama Lisu na Lema ndio wakawa wakimbizi wa nje ya nchi na kuendeleza harakati wakiwa huko!Hilo sio geni!!
Hata wewe siku ukiwa upande wa wannyonge wanaouawa na wewe utatafutwa uuawe na utakinbia kunusuru maisha yako na kama huna fedha za kutosha za kukata permit za Kila mara huko ulipo utaomba uraia ili kuepuka adha na gharana za kila mara!!!
Hasta wanaharakati wa Africa kusini walipewa maeneo ya morogoro pale mazimbu Kwa miaka mingi wakichora ramani jinsi ya kupambana na makaburu na walikaa kwa miaka mingi kama raia wa Tanzania lakini ni waafrika kusini Hadi walipopata ukombozi ndio wakarudi makwao!inawezekana Kuna wengine walibaki hapa hapa!
Je tishio la kuuawa Kwa mtu halimfanyi kukimbilia mbali ili kujipanga tena!!?
Ni hivyo tu!!
No reforms No electionNO REFORM NO ELECTION
Wakiambiwa wanaunga mkono ushoga wanasema tunawatusi! Sasa No ERECTION ni nini kama sio us*nge?
Hatutakubali kuendelea kutawaliwa na serikali hii ya CCM, ambayo INATEKA NA KUFIRA Wananchi wake.Kwa muda sasa tumeendelea kushuhudia wimbi la watu wanaojitambulisha kama wapigania haki za Watanzania, lakini maisha yao halisi yako mbali na uhalisia wa mwananchi wa kawaida.
Wana uraia wa mataifa mengine, wanaishi kwenye nchi za ulimwengu wa kwanza, huku wakitumia majukwaa ya mitandao na mashirika ya kimataifa kujiita mashujaa wa demokrasia.
Je, kweli hawa ni wapambanaji wa haki au wanajitengenezea jina kwa ajili ya nafasi kubwa huko nje?
Hebu tuwachambue mmoja baada ya mwingine:
1. Tundu Lissu: Yupo Tanzania lakini moyo na uraia wake vipo Ubelgiji
Tundu Lissu amerudi nchini na anaendelea kushiriki siasa, lakini yeye na familia yake ni raia wa Ubelgiji.
Hii ni nchi yenye historia mbaya barani Afrika, hasa ikikumbukwa kwa mauaji ya shujaa Patrice Lumumba.
Licha ya kujifanya mtetezi wa haki, Lissu bado ana uhusiano wa karibu na mashirika na serikali za nje ambazo mara nyingi hujihusisha na ajenda zisizoendana na maslahi ya taifa letu.
Maswali ya kujiuliza:
Je, mtu mwenye uraia wa kigeni anaweza kusimama kwa dhati kuilinda Tanzania?
Kama ana uchungu na nchi hii, kwa nini asikane uraia wa Ubelgiji na kubaki na Watanzania hadi mwisho?
Je, si hatari kuwa na kiongozi anayehifadhiwa na mataifa ambayo hayajawahi kuitakia mema Afrika?
2. Mange Kimambi: Anayeishi Marekani na kujitenga na utu wa Kiafrika
Mange pamona na watoto wake ni raia wa Marekani. Anaishi maisha ya anasa huko nje, akiwa amejitenga na familia yake ya asili huku akijinasibu kuwa mtetezi wa haki kwa Watanzania.
Kupitia mitandao ya kijamii, husambaza kejeli, chuki na propaganda zinazolenga kuvuruga jamii kwa sauti na maandiko kutoka kwenye maisha ya kifahari huko Los Angeles.
Maswali ya kujiuliza:
Huyu anayeishi kwenye viyoyozi vya Marekani anaelewa nini kuhusu shida za mama wa Tandahimba au kijana wa Kazulamimba Kigoma?
Kama ameshindwa kuishi kwa amani na familia yake, anawezaje kuelewa maisha ya familia ya Mtanzania wa kawaida?
Je, sauti yake ni ya huruma au biashara ya umaarufu wa mtandaoni?
3. Godbless Lema: Amerudi Tanzania lakini familia iko salama Canada
Lema amerudi nchini baada ya Rais Samia kumfungulia milango aliyofungiwa na Hayati JPM hivyo anaendelea na harakati zake, lakini familia yake bado iko salama nchini Canada.
Katika nyakati za sintofahamu alihakikisha kuwa familia yake ipo mbali na hatari, jambo linalowafanya baadhi kujiuliza kama kweli ana imani na kile anachokipigania akiwa hapa nyumbani.
Maswali ya kujiuliza:
Kama Tanzania ni mahala salama kwa harakati za uasi na kupindua serikali, kwa nini familia yake haijarejea naye?
Je, si unafiki kumhimiza kijana wa Kibaha kushika bango mitaani huku mtoto wake akisoma Canada?
Ni kiongozi gani anayewataka wengine wateseke ilhali wake wako kwenye ulinzi wa dola za kigeni?
4. Wakenya: Leo wanatufundisha uhuru walioukataa zamani?
Tanzania ilikuwa kiini cha ukombozi barani Afrika. Ilipokuwa inawapa hifadhi wapigania uhuru kutoka Msumbiji, Zimbabwe na Afrika Kusini, Kenya ilikuwa bado inaendelea kumtii mkoloni.
Leo hii, baadhi ya raia wa Kenya wamekuwa wakijitokeza kutoa miongozo kwa Watanzania kuhusu demokrasia, haki na siasa kupitia mashirika na majukwaa ya kimataifa.
Maswali ya kujiuliza:
Nchi iliyojenga siasa kwa msingi wa ukabila ina maadili gani ya kuifundisha Tanzania kuhusu mshikamano?
Je, hawa waliosubiri mkoloni awaambie waamke, wana haki ya kutuelekeza tunakoenda?
Kwa nini wanajitosa kwenye mijadala yetu badala ya kushughulikia migogoro yao ya uchaguzi?
Ni wazi kuwa si kila anayepaza sauti nje ya nchi anamaanisha mema kwa Watanzania.
Wapo wanaotumia matatizo ya nchi yetu kama daraja la kujijenga kimataifa.
Tunapaswa kuwa makini na kupima kwa kina nani ni wapigania haki wa kweli na nani ni mawakala wa ajenda za nje.
Tuhitimishe kwa kujiuliza! Je, mtu mwenye uraia wa nje, familia salama nje ya nchi, na maisha ya anasa anaweza kweli kuwa mtetezi wa haki za Watanzania masikini?
Mwamasishaji wenu,mbona huko mboga mboga kuba mshg mbaishi baoWakiambiwa wanaunga mkono ushoga wanasema tunawatusi! Sasa No ERECTION ni nini kama sio us*nge?