Lissu, Lema, Mange na Wanaharakati wa Kenya: Wanapigania haki au wanajenga CV kwa Wazungu?

Lissu, Lema, Mange na Wanaharakati wa Kenya: Wanapigania haki au wanajenga CV kwa Wazungu?

1001172625.png
 
Mamlaka za Mbinguni Zafunga Jalada la Utumishi Nabii Aondolewa Kabla ya Oktoba kwa Amri ya Bwana wa Majeshi baada ya Kuumaliza Mwendo

Dar es Salaam, baada ya kazi nzito ya kumtumikia Bwana, nabii mmoja alijilaza kupumzika na kusombwa na usingizi mzito usio wa kawaida. Katika usingizi huo, alipewa maono ya ajabu yaliyoambatana na ujumbe mzito wa mbinguni.

Katika maono hayo, alionyeshwa sura ya Askofu maarufu anayeitwa na wengi Mpakwa Mafuta, kiongozi wa huduma ya Ufufuo na Uzima. Alionekana amelala kwa utulivu wa kipekee, uso wake uking’aa kana kwamba alikuwa ameitwa si na mwanadamu, bali na Mkuu wa majeshi ya mbinguni.

Kwa mujibu wa tafsiri ya maono hayo, hatma ya kifo chake si kwa mkono wa mwanadamu, bali ni kwa sababu Mungu mwenyewe atamtwaa. Ndiyo maana katika ndoto ile alionekana akifariki usingizini kwa amani, bila maumivu, kama mtu anayechukuliwa kiroho kwa ajili ya mapumziko ya milele.

Vyanzo vya maono vinanong’ona kuwa hafiki Oktoba, kwa kuwa amri ya juu imeshatolewa. Mpakwa Mafuta atarejeshwa nyumbani kwa Bwana kabla ya mwezi huo kufika.

Wenye macho waone, wenye sikio wasikie. Kuna mambo hutanguliwa na ishara kabla ya kutokea. Usiku umesema na ndoto imeshuhudia.

“Maana mavumbi tu sisi; nawe wauangalia ukumbusho wetu. Mwanadamu ni kama upepo, siku zake ni kama kivuli cha kupita. Hakika kila mtu hufa, na roho hurudi kwa Mungu aliyeitoa.”
Mhubiri 12:7

Askari wa Bwana amemaliza vita na sasa amerudi kwa Jemadari wa Maaskari wa Mbinguni"
 
Wee Jamaa acha upumbavu.Unaropoka tu bila kuzingatia magumu waliyopitia.
 
Back
Top Bottom