Yaani watoto wao wanakula pizza huko Marekani na Kanada, wanataka wa kwetu wadhurike?
Mtaongea propaganda zote mwaka huu dadeki.Wanzania wa leo hawazai watoto wengi kama zamani; hasa mijini wanazaa watoto kigogo sana kati ya 2 hadi 4 tu. Hivyo, kuruhusu mtoto wao mmoja kujeruhiwa au kufa ni jambo ambalo hawataki kulisikia kabisa kwao.
Lissu, Lema, na Maria Sarungi nao pia wana watoto wachache sana kila mmoja, na wangependa asipotee hata mmoja kizembe au kwa bahati mbaya. Hii imewafanya watoto wao kuwaondoa hapa Tanzania ile wawe na uhakika wa 100% ya usalama wao na maisha yao. Watoto wa Lissu wako marekani na watoto wa Lema wako Canada na wale wa Maria nadhani wako Kenya.
Kuzuia uchaguzi usifanyike sio jambo la kawaida sio tu Tanzania, bali hata Afrika, Ulaya, Asia, marekani na duniani kote; na kama likitokea tukio kama hilo nadhani haliwezi kusababishwa na mtu mmoja, kikundi au taasisi moja tu bila kusababisha vurugu za kufa mtu kati ya dola na mtu/kikundi au taasisi hiyo. Tuwaombe akina Lissu, Lema na Maria wazirejeshe familia zao Tz siku ya uchaguzi waje wapige kura au wazuie uchaguzi pamoja na watoto wa wanachadema wenzao.
Nijuavyo mimi watanzania wengi na dola hawawezi kushindanisha amani na utulivu na Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi; Kwao amani na utulivu ni zaidi ya katiba mpya na tume huru; maana Kenya, Marekani, Ulaya, Ukraine, Urusi wana katiba nzuri na tume huru za uchaguzi lakini nao wanalalamika kura kuibiwa, watu kupotea, na wagombea kuhujumiwa pia. Ni tatizo la dunia linalohitaji mbinu na mjadala wa kitaifa, kikanda na kidunia badala ya Lisu, Lema na Maria kushawishi watoto wa watu wengine wazuie uchaguzi. Bila shaka ni mkakati ambao utazalisha majeruhi wengi sana wasiokuwa na idadi kamili itakayojulikana.
Wote tunajuwa kuwa Katiba yetu, Tume ya uchaguzi na chaguzi zetu bado sio za viwango vikubwa, lakini pia lazima tukubali pia hata vyama vyetu vya siasa bado havitoshi kwenda Ikulu kwa sasa; bado sanaaa. Tuendelee kujadiliana kama taifa kuwa na katiba mpya, tume huru na chaguzi huru kwa njia jumuishi na sio kiharakati zai kufungua njia, milango na madirisha ya watu kwenda Ikulu bila vikwazo.
Wanzania wa leo hawazai watoto wengi kama zamani; hasa mijini wanazaa watoto kigogo sana kati ya 2 hadi 4 tu. Hivyo, kuruhusu mtoto wao mmoja kujeruhiwa au kufa ni jambo ambalo hawataki kulisikia kabisa kwao.
Lissu, Lema, na Maria Sarungi nao pia wana watoto wachache sana kila mmoja, na wangependa asipotee hata mmoja kizembe au kwa bahati mbaya. Hii imewafanya watoto wao kuwaondoa hapa Tanzania ile wawe na uhakika wa 100% ya usalama wao na maisha yao. Watoto wa Lissu wako marekani na watoto wa Lema wako Canada na wale wa Maria nadhani wako Kenya.
Kuzuia uchaguzi usifanyike sio jambo la kawaida sio tu Tanzania, bali hata Afrika, Ulaya, Asia, marekani na duniani kote; na kama likitokea tukio kama hilo nadhani haliwezi kusababishwa na mtu mmoja, kikundi au taasisi moja tu bila kusababisha vurugu za kufa mtu kati ya dola na mtu/kikundi au taasisi hiyo. Tuwaombe akina Lissu, Lema na Maria wazirejeshe familia zao Tz siku ya uchaguzi waje wapige kura au wazuie uchaguzi pamoja na watoto wa wanachadema wenzao.
Nijuavyo mimi watanzania wengi na dola hawawezi kushindanisha amani na utulivu na Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi; Kwao amani na utulivu ni zaidi ya katiba mpya na tume huru; maana Kenya, Marekani, Ulaya, Ukraine, Urusi wana katiba nzuri na tume huru za uchaguzi lakini nao wanalalamika kura kuibiwa, watu kupotea, na wagombea kuhujumiwa pia. Ni tatizo la dunia linalohitaji mbinu na mjadala wa kitaifa, kikanda na kidunia badala ya Lisu, Lema na Maria kushawishi watoto wa watu wengine wazuie uchaguzi. Bila shaka ni mkakati ambao utazalisha majeruhi wengi sana wasiokuwa na idadi kamili itakayojulikana.
Wote tunajuwa kuwa Katiba yetu, Tume ya uchaguzi na chaguzi zetu bado sio za viwango vikubwa, lakini pia lazima tukubali pia hata vyama vyetu vya siasa bado havitoshi kwenda Ikulu kwa sasa; bado sanaaa. Tuendelee kujadiliana kama taifa kuwa na katiba mpya, tume huru na chaguzi huru kwa njia jumuishi na sio kiharakati zai kufungua njia, milango na madirisha ya watu kwenda Ikulu bila vikwazo.
Wewe jikite kwenye Simba na Yanga tu ndiyo size yakoWanzania wa leo hawazai watoto wengi kama zamani; hasa mijini wanazaa watoto kigogo sana kati ya 2 hadi 4 tu. Hivyo, kuruhusu mtoto wao mmoja kujeruhiwa au kufa ni jambo ambalo hawataki kulisikia kabisa kwao.
Lissu, Lema, na Maria Sarungi nao pia wana watoto wachache sana kila mmoja, na wangependa asipotee hata mmoja kizembe au kwa bahati mbaya. Hii imewafanya watoto wao kuwaondoa hapa Tanzania ile wawe na uhakika wa 100% ya usalama wao na maisha yao. Watoto wa Lissu wako marekani na watoto wa Lema wako Canada na wale wa Maria nadhani wako Kenya.
Kuzuia uchaguzi usifanyike sio jambo la kawaida sio tu Tanzania, bali hata Afrika, Ulaya, Asia, marekani na duniani kote; na kama likitokea tukio kama hilo nadhani haliwezi kusababishwa na mtu mmoja, kikundi au taasisi moja tu bila kusababisha vurugu za kufa mtu kati ya dola na mtu/kikundi au taasisi hiyo. Tuwaombe akina Lissu, Lema na Maria wazirejeshe familia zao Tz siku ya uchaguzi waje wapige kura au wazuie uchaguzi pamoja na watoto wa wanachadema wenzao.
Nijuavyo mimi watanzania wengi na dola hawawezi kushindanisha amani na utulivu na Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi; Kwao amani na utulivu ni zaidi ya katiba mpya na tume huru; maana Kenya, Marekani, Ulaya, Ukraine, Urusi wana katiba nzuri na tume huru za uchaguzi lakini nao wanalalamika kura kuibiwa, watu kupotea, na wagombea kuhujumiwa pia. Ni tatizo la dunia linalohitaji mbinu na mjadala wa kitaifa, kikanda na kidunia badala ya Lisu, Lema na Maria kushawishi watoto wa watu wengine wazuie uchaguzi. Bila shaka ni mkakati ambao utazalisha majeruhi wengi sana wasiokuwa na idadi kamili itakayojulikana.
Wote tunajuwa kuwa Katiba yetu, Tume ya uchaguzi na chaguzi zetu bado sio za viwango vikubwa, lakini pia lazima tukubali pia hata vyama vyetu vya siasa bado havitoshi kwenda Ikulu kwa sasa; bado sanaaa. Tuendelee kujadiliana kama taifa kuwa na katiba mpya, tume huru na chaguzi huru kwa njia jumuishi na sio kiharakati zai kufungua njia, milango na madirisha ya watu kwenda Ikulu bila vikwazo.
Kama wafuasi hawakuandamana wakati kiongozi kapigwa risasi 17 wataandamana kwenye no reform no election? watajitokeza wavuta bhangi tu ambao ni rahisi kuwadhibiti. Hebu wajitokeze siku hiyo ili waafrika wapate somo kutoka kwao. Siku hiyo msiache kusikiliza matangazo ya BBC na DW.Mtaongea propaganda zote mwaka huu dadeki.
Hivi unadhani watanzania watazubaishwa na hizo propaganda zenu wakati jemedari anayeongoza No Reform No Election mlimpiga risasi 17 ila Mungu akamponya na leo wanamuona hadi kapata ulemavu wa kudumu???
CCM kweli mazezeta😅
Yaani Rais akubali tuandike Katiba mpya harakahara kabla ya Octoba?, yaani Rais awapige marufuku wakurugenzi wasisimamie uchaguzi? Yaani Rais aruhusu matokeo ya Urais yapelekwe mahakamani? wewe unaota tu.Msimalize maneno
Miezi bado ni mingi sana, uwez kujua what will happen
Ikitokea Rais akakubali anachokisema lissu mtaficha wapi sura zenu?
Nina watoto watatu nimewaambia msiingie kwenye mkenge huu wa maandamano LABDA watoto wa Lissu,Lema ,Heche wawe mstari wa mbeleWanzania wa leo hawazai watoto wengi kama zamani; hasa mijini wanazaa watoto kigogo sana kati ya 2 hadi 4 tu. Hivyo, kuruhusu mtoto wao mmoja kujeruhiwa au kufa ni jambo ambalo hawataki kulisikia kabisa kwao.
Lissu, Lema, na Maria Sarungi nao pia wana watoto wachache sana kila mmoja, na wangependa asipotee hata mmoja kizembe au kwa bahati mbaya. Hii imewafanya watoto wao kuwaondoa hapa Tanzania ile wawe na uhakika wa 100% ya usalama wao na maisha yao. Watoto wa Lissu wako marekani na watoto wa Lema wako Canada na wale wa Maria nadhani wako Kenya.
Kuzuia uchaguzi usifanyike sio jambo la kawaida sio tu Tanzania, bali hata Afrika, Ulaya, Asia, marekani na duniani kote; na kama likitokea tukio kama hilo nadhani haliwezi kusababishwa na mtu mmoja, kikundi au taasisi moja tu bila kusababisha vurugu za kufa mtu kati ya dola na mtu/kikundi au taasisi hiyo. Tuwaombe akina Lissu, Lema na Maria wazirejeshe familia zao Tz siku ya uchaguzi waje wapige kura au wazuie uchaguzi pamoja na watoto wa wanachadema wenzao.
Nijuavyo mimi watanzania wengi na dola hawawezi kushindanisha amani na utulivu na Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi; Kwao amani na utulivu ni zaidi ya katiba mpya na tume huru; maana Kenya, Marekani, Ulaya, Ukraine, Urusi wana katiba nzuri na tume huru za uchaguzi lakini nao wanalalamika kura kuibiwa, watu kupotea, na wagombea kuhujumiwa pia. Ni tatizo la dunia linalohitaji mbinu na mjadala wa kitaifa, kikanda na kidunia badala ya Lisu, Lema na Maria kushawishi watoto wa watu wengine wazuie uchaguzi. Bila shaka ni mkakati ambao utazalisha majeruhi wengi sana wasiokuwa na idadi kamili itakayojulikana.
Wote tunajuwa kuwa Katiba yetu, Tume ya uchaguzi na chaguzi zetu bado sio za viwango vikubwa, lakini pia lazima tukubali pia hata vyama vyetu vya siasa bado havitoshi kwenda Ikulu kwa sasa; bado sanaaa. Tuendelee kujadiliana kama taifa kuwa na katiba mpya, tume huru na chaguzi huru kwa njia jumuishi na sio kiharakati zai kufungua njia, milango na madirisha ya watu kwenda Ikulu bila vikwazo.
Tunachotaka sisi ni ile tume ambayo iliwatangaza Lissu, Lema, Heche, Sugu. Prof. J, Mdee na wengine kushinda ubunge. Kwasasa tunahitaji wabunge wengi sana bungeni kuliko Rais kutoka upinzani. Tume kama ile ilienda wapi?Nina watoto watatu nimewaambia msiingie kwenye mkenge huu wa maandamano LABDA watoto wa Lissu,Lema ,Heche wawe mstari wa mbele
Yaani Rais akubali tuandike Katiba mpya harakahara kabla ya Octoba?, yaani Rais awapige marufuku wakurugenzi wasisimamie uchaguzi? Yaani Rais aruhusu matokeo ya Urais yapelekwe mahakamani? wewe unaota tu.
ETI vyama vya upinzani Bado havitoshi kwenda Ikulu! Hao waliyopo Ikulu Wana Nini ambacho wapinzani hawana? Kwanini msiweke usawa kwenye chaguzi ili wananchi tuamue nani ni nani? Zama za ccm kutuchagulia viongozi zinakaribia kufika mwisho.Wanzania wa leo hawazai watoto wengi kama zamani; hasa mijini wanazaa watoto kigogo sana kati ya 2 hadi 4 tu. Hivyo, kuruhusu mtoto wao mmoja kujeruhiwa au kufa ni jambo ambalo hawataki kulisikia kabisa kwao.