Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 2,639
- 2,384
Wapigwe vikaliIla wasubiri kupigwa risasi kwenye UCHAFUZI MKUU, sivyo?
Wapigwe vikaliIla wasubiri kupigwa risasi kwenye UCHAFUZI MKUU, sivyo?
Kwani nani kasema reform zotawapeleka Ikulu? Sisi tunachotaka viongozi wapatokane Kwa kura halali! Haijalishi watatoka Chama gani, viongozi wa Sasa wanafanya mambo mengi ya hovyo kwa sababu wanajua uchaguzi Kila unapofanyika wanashinda kwa nguvu. Ifike mahali wapiga kura waheshimiwe!Ni bahati mbaya tu kwamba wananchi wengi hawana uwezo wa kudadavua mambo kujua chimbuko hasa la shida zao. Wananchi wa Libya kwamfano, walifikiri chimbuko la shida zao ni Gadafi, wakamuondoa lakini kumbe walikosea; kule Kenya walidhani chanzo cha neema zao atakuwa Ruto, looh! wamekosea, kule Nigeria walidhani Tinubu atakuwa mwarobaini wa Boko haram na umaskini wao lakini kumbe sivyo, kule DRC walidhani kama Mobutu akiondoka maisha yatakuwa tambarare, Zimbabwe walidhani Mugabe ndio kikwazo chao lakini kumbe sio. malawi, zambia, uganda, nk hivyo hivyo, lakini hali zao zimezidi ama kubaki vilevile au zimedidimia kabisa. Lazima Tanzania tujifunze kutokana na makosa ya wengine badala ya kusubiri kujifunza kurokana na makosa yetu tutakayofanya.; it will be to late to......
Hebu fikiria nchi ina Rais anaeitwa Tundu Lissu na Makamu wa Rais John Heche na waziri Mkuu Godbless Lema na waziri wa Mambo ya nje Maria Sarungi na Katinu Mkuu wa chama John Mnyika; mbali ya kuwa wote ni wa dini moja lakini fikiria watafanya kitu gani ambacho ni tofauti na anachofanya Samia. Watafanya nini kwenye masoko, elimu, kilimo, afya, uvuvi, ufugaji, na biashara tofauti na sasa. Je, Tanzania itabaki ileile, utulivu utabaki uleule?. Je, ni nani wako nyuma ya akina Lissu kwenda Ikulu, na Je Wafadhali wao wanataka nini baada ya Lissu kukamata dola? Haya ni maswali ambayo majibu yake ni lazima uwe nayo kabla ya ku accept any change/reform.
Nguvu ya umma haijawahi shindwa popote pale duniani.Yaani Rais akubali tuandike Katiba mpya harakahara kabla ya Octoba?, yaani Rais awapige marufuku wakurugenzi wasisimamie uchaguzi? Yaani Rais aruhusu matokeo ya Urais yapelekwe mahakamani? wewe unaota tu.
Umemkosoa mwenzako hapo juu kuhusu uandishi wake.Wewe ni gretthinkers?😃😀 Hata kuandika hujui
Andika vizuri ni Great thinker
Badala usome unawaza maandamano,lema anasomesha watoto wake canada,wewe unakunjishwa ngumi huku 😀
Eti komaa kamanda
Vilaza mmetelekeza magari mmekimbia mnamuacha kiongozi peke yake,badala mpambane mnakimbilia kukashfu huku jfUmemkosoa mwenzako hapo juu kuhusu uandishi wake.
Hebu tuambie, mtu aliyesoma anawezaje kuandika jina la mtu na nchi kwa kuanza na herufi ndogo!!?
"lema" ni kitu gani!!??
"canada" ni nini!!?
Pole sana kwa kufanywa zwazwa na CCM ewe kilaza.
Mimi nilisema kuwa watanzania hawako tayari bado kuweka rehani utulivu walionao kwaajili ya demokrasia inayowapeleka watu wengine Ikulu kuwabadili waliyoko sasa. Watanzania bado wanavyo vingi vya kupoteza kama vurugu ikitokea, ndio maana Lissu amekamatwa lakini watanzania wengi wanaendelea na mishemishe zao za kujitafutia riziki mitaani, as if nothing happened. Wantanzania wengi wanafanyakazi zao wenyewe ambazo wanaweza kuziacha wakati wowote ikiwalazimu waziache, hivyo usidanganyike na watu wanaokuja kwenye mikutano ya Lissu ukadhani kuwa wako tayari sana kwa lolote.Ila wasubiri kupigwa risasi kwenye UCHAFUZI MKUU, sivyo?
Katiba hii ni tamu sana kwa walioko madarakani, hata chadema wakiingia Ikulu kwa katiba hii hawatadhubutu kuibadilisha hata inyeshe mvua ya mawe siku 8 mfululizo.Umekatazwa na wewe watoto wako kula Baga. Je ni sahihi Omary Ramadhani Mapuri kuwa Mjumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi?
Nakuunga mkono sana, lakini hata leo Marekani bado wanalalamikiana kuwa kura zinaibwa wakati wa uchaguzi pamoja na kuianza demokrasia zaidi ya miaka 200. Kule Ufaransa Rais Macron amemtia ndani mpinzani wake mkuu yule mama Le Pen (Lissu wa Ufaransa) ili asigombee mwaka 2027 pamoja na kwamba Ufaransa ilianza mchako wa demokrasia takribani miaka 300 iliyopita. Lissu hawezi kuchukua mkondo wa short-cut bila kupata misukosuko miiiingi sana na pengine hata hiyo demokrasia inayoitaka itokee overnight isitusaidie kama taifa kutoka hapa tulipo kiuchumi na kijamii.Kwani nani kasema reform zotawapeleka Ikulu? Sisi tunachotaka viongozi wapatokane Kwa kura halali! Haijalishi watatoka Chama gani, viongozi wa Sasa wanafanya mambo mengi ya hovyo kwa sababu wanajua uchaguzi Kila unapofanyika wanashinda kwa nguvu. Ifike mahali wapiga kura waheshimiwe!
masikini unawaza kula tu na kwenda chooniYaani watoto wao wanakula pizza huko Marekani na Kanada, wanataka wa kwetu wadhurike?
Kwaakweli!! Lema na Lissu warejeshe familia zao huku ili tuanze wote kwa pamoja kudai reforms, waache janjajanja zao za kuwataka watoto wetu wawatumie kwenda Ikulu kwa jasho na damu huko wakwao wasikutane na hata mbu.masikini unawaza kula tu na kwenda chooni
Amekamatwa sasa, nguvu ya umma imejificha wapi? Kama kweli uchaguzi ingekuwa ni hoja ya wananchi sasa hivi mitaani kusingetosha kudai asionewe. Bro!! it needs a lot of sacrifices; Tanzanians are not ready for such sacrifices yet. They are still having so many fishes to fry.Nguvu ya umma haijawahi shindwa popote pale duniani.
Samahani, nina hakika hata maana ya nguvu ya umma huijui, tafadhali rudi kaungane na sinza yetu.