Lissu, Lema na Maria Sarungi wana agenda nyingine?

Uliwahi kuhisi Rais wa Jamhuri anaweza kufa?

Anything can happen any time mzee

Haya mambo ya siasa sio mambo ya kuamini sanaaaaa

Siasa ni mchemzo mchafu mno

Ulitegemea wakina mdee wangemaliza miaka mitano bungeni?
makamanda mnapenda sana kuombea viongozi vifo,mna matatizo gani vichwani mwenu?
 
ETI vyama vya upinzani Bado havitoshi kwenda Ikulu! Hao waliyopo Ikulu Wana Nini ambacho wapinzani hawana? Kwanini msiweke usawa kwenye chaguzi ili wananchi tuamue nani ni nani? Zama za ccm kutuchagulia viongozi zinakaribia kufika mwisho.
Yani cdm hii inayotukanana mitandaoni ndio iende ikulu?yani huko twitter ni kutukanana tu,huyu wa Mbowe,huyu wa lisu,mnatia huruma sana

Hamuaminiki,Mara elfu zimwi likujualo kuliko ninyi

Mbowe sasa anatukanwa huko twitter utadhani vichaa
 
Hapa ni gretthinkers sio kila mtu ana chama
Wewe ni gretthinkers?😃😀 Hata kuandika hujui

Andika vizuri ni Great thinker

Badala usome unawaza maandamano,lema anasomesha watoto wake canada,wewe unakunjishwa ngumi huku 😀

Eti komaa kamanda
 
Mimi nasema hivi, kama Lissu, Lema na Maria Sarungi wenye watoto nje ya nchi na wao wana uwezo wa kuishi nje ya nchi wanawashawishi wajinga wa Mwakaleli, Namtumbk, Kama humu na Bweri kuandamana na kupata kipondo kilichoandaliwa kwao, mimi nasema WAACHE WAPIGWE RU!
 
Wewe ni gretthinkers?😃😀 Hata kuandika hujui

Andika vizuri ni Great thinker

Badala usome unawaza maandamano,lema anasomesha watoto wake canada,wewe unakunjishwa ngumi huku 😀

Eti komaa kamanda

Vijana wa CCM mnapata ela zenu kwa shida sana, akili yenu ni kila mtu ambae anapinga ni chadema,

Let me tell you, hapa tunajadili siasa, hili ni jukwaa la siasa, sio kila mtu yuko chadema

Lissu anachofanya sasa alikiongea kwenye kampen zake, na akachaguliwa na wanachadema sasa shida yako ni nini?

Unataka kila mtu asikilize mama mama mama mama mama?
 
Unataka kila mtu asikilize lisu lisu lisu lisu?
 
Unataka kila mtu asikilize lisu lisu lisu lisu?

Jiulize wewe ambae unahisi kila mtu yuko after maandamano

Tulia relax lissu afanye mambo yake, kama uwez kuungana nae then makala kesho anaanza ziara kusini unaweza kusikiliza sera zake

Ila sasa usiwe mshauri wa vyama vingine
 
Lisu,lema na maria sarungi waandamane wao sisi pamoja na wewe tutakua tuna koment tu hapa kufuatilia nani katoka kupambana na virungu vya polisi huko nje

Tutaandamania hapa jf
 
Lisu,lema na maria sarungi waandamane wao sisi pamoja na wewe tutakua tuna koment tu hapa kufuatilia nani katoka kupambana na virungu vya polisi huko nje

Tutaandamania hapa jf

Haha 😄
 
propaganda ya mpox imedoda sasa mebaki kutapatapa tu
 
No reform no election!

Shikilia hilo
 
ETI vyama vya upinzani Bado havitoshi kwenda Ikulu! Hao waliyopo Ikulu Wana Nini ambacho wapinzani hawana? Kwanini msiweke usawa kwenye chaguzi ili wananchi tuamue nani ni nani? Zama za ccm kutuchagulia viongozi zinakaribia kufika mwisho.
Ni bahati mbaya tu kwamba wananchi wengi hawana uwezo wa kudadavua mambo kujua chimbuko hasa la shida zao. Wananchi wa Libya kwamfano, walifikiri chimbuko la shida zao ni Gadafi, wakamuondoa lakini kumbe walikosea; kule Kenya walidhani chanzo cha neema zao atakuwa Ruto, looh! wamekosea, kule Nigeria walidhani Tinubu atakuwa mwarobaini wa Boko haram na umaskini wao lakini kumbe sivyo, kule DRC walidhani kama Mobutu akiondoka maisha yatakuwa tambarare, Zimbabwe walidhani Mugabe ndio kikwazo chao lakini kumbe sio. malawi, zambia, uganda, nk hivyo hivyo, lakini hali zao zimezidi ama kubaki vilevile au zimedidimia kabisa. Lazima Tanzania tujifunze kutokana na makosa ya wengine badala ya kusubiri kujifunza kurokana na makosa yetu tutakayofanya.; it will be to late to......

Hebu fikiria nchi ina Rais anaeitwa Tundu Lissu na Makamu wa Rais John Heche na waziri Mkuu Godbless Lema na waziri wa Mambo ya nje Maria Sarungi na Katinu Mkuu wa chama John Mnyika; mbali ya kuwa wote ni wa dini moja lakini fikiria watafanya kitu gani ambacho ni tofauti na anachofanya Samia. Watafanya nini kwenye masoko, elimu, kilimo, afya, uvuvi, ufugaji, na biashara tofauti na sasa. Je, Tanzania itabaki ileile, utulivu utabaki uleule?. Je, ni nani wako nyuma ya akina Lissu kwenda Ikulu, na Je Wafadhali wao wanataka nini baada ya Lissu kukamata dola? Haya ni maswali ambayo majibu yake ni lazima uwe nayo kabla ya ku accept any change/reform.
 
Makamanda hua mnajazba sana na bado mtanyooka tu,pambaneni na G-55 kwanza kabla ya kuja kupambana na uchaguzi
Lissu anasahau kuwa mwanzilishi wa cdm ni Mtei; aliyekuwa Gavana wa Benk kuu na Bob Makani aliyekuwa Naibu Gavana wa BoT. Hivi kwaakili zake watu ambao walishika nyadhifa kama hizo wanaweza kuanzisha chama ambacho kinaweza kuzuia uchaguzi usifanyike at all?.

Alipaswa kusajili chama chake chenye mrengo wa kuria-kati from the begining. Chadema ni chama cha kuipasha moto CCM isigande; malengo hasahasa ya chadema tangu kinaanzishwa ni kuingiza wabunge wengi bungeni ambao watakwenda kuipasha joto serikali hasa baada ya Nyerere kuondoka madarakani anatakapokuwa hayupo kabisa duniani. Ndiyo maana hata Mwl. Nyerere alishawahi kuisifia chadema kuwa ina sera nzuri, na alitaka upinzani mkubwa uwe bungeni badala ya Ikulu hadi hapo chadema itakapokuwa na uwezo wa kupokezana na CCM kwenda Ikulu kama ilivyo kwa Republican na Democrat, Labor na Conservative.
Kosa la CCM baada ya Nyerere kutoweka ni kuviua vyama vyooooooote vya siasa vya upinzani wabaki wenyewe tu bila kukosolewa nje na ndani ya bunge; hiyo hata mimi siiungi mkono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…