Anakumbuka sanaa.....subiri atakujibu.Unakumbuka kauli hii ya Slaa alipokuwa mpambe wa Magufuli?
Mkuu siasa haigandi, haina urafiki wala uadui wa kudumu isipokuwa maslahi ya kudumu!Unakumbuka kauli hii ya Slaa alipokuwa mpambe wa Magufuli?
Dkt. Slaa: Tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na watu ‘wasiojulikana’ ni jambo la kawaida
Balozi Mteule na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Wilbroad Slaa amesema tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na watu ‘wasiojulikana’ ni jambo la kawaida na ameitaka jamii kuliacha Jeshi la Polisi kukamilisha upelelezi na kutoa majibu. Dkt. Slaa...www.jamiiforums.com
View: https://www.youtube.com/watch?v=ajFGQ0wQdOk
Inamaana hadi keo hujaweza kuungananusha nukta kuhusu tukio hilo, (like), swali dogo kwanini walinzi waliondolewa area D, na ni nani aliwapangia zamu Kwa siku hiyoUnakumbuka kauli hii ya Slaa alipokuwa mpambe wa Magufuli?
- Dkt. Slaa: Tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na watu ‘wasiojulikana’ ni jambo la kawaida
View: https://www.youtube.com/watch?v=ajFGQ0wQdOk
Huyu kaona mbali, anaogopa tu hao watu wawili wakiungana wataliamsha dude kweli kweli.Umeanza lini kumuombea heri Lissu?
Na walimpa ubalozi ili asiwakereKwenye siasa hakunaga beef za kudumu shehe,Slaa aliwaitamaccm mafisadi ila wakampa ubalozi
OUT OF CONTEXT. NASEMA LISU AMESAHAU KUWA SLAA ALIMBEZA KUWA KUPIGWA RISASI IS NO ISSUE...to Slaa that was OK..kufa asife it was OK for him!Inamaana hadi keo hujaweza kuungananusha nukta kuhusu tukio hilo, (like), swali dogo kwanini walinzi waliondolewa area D, na ni nani aliwapangia zamu Kwa siku hiyo
We can not be brainwashed at all times
Hapana! hapana! Kama uliona kufa kwangu is no issue to you...msamaha hapana. namshangaa Lisu.....Samehe saba mara sabini
Nyie watu wa Pwani mnakuwaga na Visasi sana!!Unakumbuka kauli hii ya Slaa alipokuwa mpambe wa Magufuli?
- Dkt. Slaa: Tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na watu ‘wasiojulikana’ ni jambo la kawaida
View: https://www.youtube.com/watch?v=ajFGQ0wQdOk
Unampigia Mbuzi gitaa. Haya mafundisho hayamhusu huyuBinafsi naamini mambo huwa yanaisha, wala tusiwe na nongwa, tena wakristu huamini kuna baraka kupatana na mbaya wako. Maisha yaendelee