Japhet gombe
JF-Expert Member
- May 9, 2016
- 556
- 623
Unakumbuka kauli hii ya Slaa alipokuwa mpambe wa Magufuli?
- Dkt. Slaa: Tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na watu ‘wasiojulikana’ ni jambo la kawaida
View: https://www.youtube.com/watch?v=ajFGQ0wQdOk
Kuna wanasiasa wazuri nchi hii lakini sijui kwanini mimi siwaamini hata chembe nao ni Dr. Slaa na ZZK. Na hawa watu asee nilikuwa nawapenda sana ila, vimbanga vyao nimekosa imani nao hata kidogo, Hivi sasa Kwa mbali naanza kumuongeza na Mwamba. Imani inaanza kunitoka sababu ya action zake zakutowapenda wakweli wakati ni yeye mwenyewe aliwatengeneza na kuwafunza siasa za ukweli lakini kwa sasa mkweli yoyote ni adui kwake na anaweza akamfanyia chochote. Ukichezea mwamba kwa sasa anaweza hata kukutoa Roho.