Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lissu alisema Slaa ndie aliyemleta Lowassa.Kama Mbowe aliweza kumleta mwizi Lowassa na sumaye ije kuwa nongwa kwa Dr Slaa kusapotiwa na Lissu
Mbowe alipewa Nini na sumaye na lowassa?
Kama Mbowe aliweza kumleta mwizi Lowassa na sumaye ije kuwa nongwa kwa Dr Slaa kusapotiwa na Lissu
Mbowe alipewa Nini na sumaye na lowassa?
Unakumbuka kauli hii ya Slaa alipokuwa mpambe wa Magufuli?
- Dkt. Slaa: Tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na watu ‘wasiojulikana’ ni jambo la kawaida
View: https://www.youtube.com/watch?v=ajFGQ0wQdOk