kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 14,239 Reaction score 15,876 Jan 31, 2025 #41 Kwenye politics hakuna rafiki wakudumu na pia hakuna adui wa kudumu. KAZI ni kipimo cha UTU
F Fundi Mchundo Platinum Member Joined Nov 9, 2007 Posts 10,448 Reaction score 8,705 Jan 31, 2025 #42 technically said: Kama Mbowe aliweza kumleta mwizi Lowassa na sumaye ije kuwa nongwa kwa Dr Slaa kusapotiwa na Lissu Mbowe alipewa Nini na sumaye na lowassa? Click to expand... Lissu alisema Slaa ndie aliyemleta Lowassa. Amandla...
technically said: Kama Mbowe aliweza kumleta mwizi Lowassa na sumaye ije kuwa nongwa kwa Dr Slaa kusapotiwa na Lissu Mbowe alipewa Nini na sumaye na lowassa? Click to expand... Lissu alisema Slaa ndie aliyemleta Lowassa. Amandla...
Mpaji Mungu JF-Expert Member Joined Apr 24, 2023 Posts 13,544 Reaction score 43,537 Jan 31, 2025 #43 Mtoa mada maumivu ya Mbowe kupigwa KO bado hayajaisha
D dos.2020 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2009 Posts 11,880 Reaction score 10,372 Jan 31, 2025 #44 technically said: Kama Mbowe aliweza kumleta mwizi Lowassa na sumaye ije kuwa nongwa kwa Dr Slaa kusapotiwa na Lissu Mbowe alipewa Nini na sumaye na lowassa? Click to expand... chchote alichopewa Mbowe, Lissu nae alikula mgao. Mana ndie aletumia nguvu nyingi kuwasafisha
technically said: Kama Mbowe aliweza kumleta mwizi Lowassa na sumaye ije kuwa nongwa kwa Dr Slaa kusapotiwa na Lissu Mbowe alipewa Nini na sumaye na lowassa? Click to expand... chchote alichopewa Mbowe, Lissu nae alikula mgao. Mana ndie aletumia nguvu nyingi kuwasafisha
kipara kipya JF-Expert Member Joined May 2, 2016 Posts 18,833 Reaction score 23,276 Feb 1, 2025 #45 Retired said: Unakumbuka kauli hii ya Slaa alipokuwa mpambe wa Magufuli? - Dkt. Slaa: Tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na watu ‘wasiojulikana’ ni jambo la kawaida View: https://www.youtube.com/watch?v=ajFGQ0wQdOk Click to expand... Lissu anatengeneza ngome nje ya chama!
Retired said: Unakumbuka kauli hii ya Slaa alipokuwa mpambe wa Magufuli? - Dkt. Slaa: Tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na watu ‘wasiojulikana’ ni jambo la kawaida View: https://www.youtube.com/watch?v=ajFGQ0wQdOk Click to expand... Lissu anatengeneza ngome nje ya chama!