Lissu: Mabadiliko hayatatokana na Steven Wasira, Wasira ni debe tupu.

atakwenda sio kwa maridhiano bali kutaka utekelezaji wa yanayopaswa kufanywa na serikali!
Ebu let us define your terms:
1. Kutaka unamaanisha nini? anakwenda na kusema nataka katiba, nataka tume huru, nataka bensaanane apatikane...... sasa hivvi toa usipotoa......huko ndiko kutaka 😀 😀 😀
 
fine, basi asiende Ikulu maana ukienda Ikulu ni majadiliano/maridhiano
 
Babu wasira badala akalee wajukuu ameng’ang’ania uongozi ili apige pesa Tenda za vifaa vya uchaguzi mwaka huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…