Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebu let us define your terms:atakwenda sio kwa maridhiano bali kutaka utekelezaji wa yanayopaswa kufanywa na serikali!
fine, basi asiende Ikulu maana ukienda Ikulu ni majadiliano/maridhiano..Naamini kauli za Lissu ni reflection ya dissapointments za nafasi ya majadiliano kutokuchukuliwa kwa umuhimu wake.
..Kama majadiliano yangekuwa yametoa matokeo mazuri, wanaharakati kama Lissu, na siasa zao, wasingekuwa na nafasi katika siasa zetu.
..Tuweke maslahi ya nchi mbele.
Mzee wa Wasira nae ni sehemu ya serekali baada ya Mwenyekiti,mnaweza fanya nae mazungumzo hakuna shida ujumbe wenu utafika!!..mabadiliko yanafanywa na SERIKALI, kwanini waongee na Mzee Wassira?
Nyie watu mnajichanganya sasa kama alimdhihaki Mbowe kwenda Ikulu, yeye anatafuta nini Ikulu?
..mabadiliko yanafanywa na SERIKALI, kwanini waongee na Mzee Wassira?
Mzee wa Wasira nae ni sehemu ya serekali baada ya Mwenyekiti,mnaweza fanya nae mazungumzo hakuna shida ujumbe wenu utafika!!
Kikongwe wasira kapitwa na wakati..mabadiliko yanafanywa na SERIKALI, kwanini waongee na Mzee Wassira?
Mwenyeketi wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema wao kama chama kikuu cha upinzani hawamutegemea Steven Wasira kwa ajili ya mabadiliko bali watapambana na Rais na serikali.
Hakika CHADEMA ilichelewa sana kupata Mwenyeketi mwenye msimamo thabiti.
View: https://x.com/GillyBonnyTv/status/1882764134925619305?t=lvqkLxLhlohnxTnFLRpsFg&s=19
Babako ndiyo kapitwa na wakati, Wasira ni all weatherKikongwe wasira kapitwa na wakati
Katafute ht akili ya kuazimaHuyu sasa ndie mwenyekiti, maswala ya kulia lia na kulamba asali hayaleti mabadiliko
Wasira ndiyo kaanza chokochoko jana wewe chawa wake kamwambie aache kubeep chadema watampigia sanaHuyo kibaraka atulize makalio Wasira siyo kiongozi wao.
Kikongwe wasira kapitwa na wakati
Yule ni mwamba wa siasa za nchi hii, huyo kibaraka ni nyau mbele ya WasiraWasira ndiyo kaanza chokochoko jana wewe chawa wake kamwambie aache kubeep chadema watampigia sana
Wewe ni mnufaika wa uchawi wa kuwaengua pinda na makinda usikute Tenda zote za ccm utapewa wewe chawa wa wasiraBabako ndiyo kapitwa na wakati, Wasira ni all weather
Kikongwe wasira yeye anatumia service road njia za mkato ikiwemo ndumba kama alivyookota cheo kienyeji kimaajabu ajabu..Mzee Wassira naye akaongee na serikali.