Lissu: Mabadiliko hayatatokana na Steven Wasira, Wasira ni debe tupu.

Ccm tunaomba watu wajibizane kwa hoja, kama una kichwa kilicho jaa makamasi tunaomba usubiri kidogo mpaka wakati mwingine. Kipindi hiki wabaki watu wenye ubongo tu.
 
Hapa kachokonolewa lucas mwashamba .........atakuja mbioo huyoooo
 
WATU AWAMJUI WASIRA .....😁😁😁😁 WASIRA NDIYO FISADI WA KWANZA MKUBWA TANZANIA ALIWAI KUFICHA MAFEDHA YA WIZI KWENYE ENEO AMBALO KWA SASA LIMEJENGWA KANISA KATOLOKI KULE STAKISHARI POLISI ALIKUWA ANAISHI HAPO
 
Ebu let us define your terms:
1. Kutaka unamaanisha nini? anakwenda na kusema nataka katiba, nataka tume huru, nataka bensaanane apatikane...... sasa hivvi toa usipotoa......huko ndiko kutaka πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Mkuu Retired hasemi nataka bali waajiri (wananchi) wanataka katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
Akikataa, basi atalirudisha kwa waliomtuma kuwa kakataa anataka tukae tunywe Chai kama siku zilizopita.
 
Mkuu Retired hasemi nataka bali waajiri (wananchi) wanataka katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
Akikataa, basi atalirudisha kwa waliomtuma kuwa kakataa anataka tukae tunywe Chai kama siku zilizopita.
Hakuna aliyekunywa chai, hakuna. Mbowe was very serious with these issues! Alitumia approach ya political diplomacy/dialogue, ikashindwa, akajaribu ya Nguvu ya UMMA, wewe na mimi na yule hatukutokea. Akatokea yeye na mwanae. Lisu yuko belgium. yeye afanyeje? If it were you, what would you have done!

Fine, ngoja Lisu afanye tuone mbadiliko. Kila la heri kwake,

Labda kwenda kwenye press conferences, hizo anazimudu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…