Uchaguzi 2020 Lissu: Magufuli usidanganye, kitambulisho cha biashara ndogo huwezi kutumia kukopa benki

Wewe sidhani hata kama ulishashika bunduki.
Nimehudhuria mafunzo ya JKT kwa kipindi cha mwaka mmoja kabla ya kuanza kuwa miezi sita sita, na cheti ninacho. Kama na wewe umepitia huko, kumbukia kwata ya bunduki, range, guard na mafunzo ya vita porini ambako kuna ku-charge, commanding post.
 
Kuna mtu humu alitoa onyo kuwa siku 60 ni nyingi sana kumpa mtu kama Lissu ila hawakumsikiliza.
Kwa kipi sasa? Hiyo kusimama jukwani na kumtukana Magu kwamba ni mshamba?

Huyo Lisu wenu akipata 20% akatambike
 
Kuongoza nchi kiulaghailaghai tu imekuwa kawaida tokea 2015.
Watu wakafungwa midomo wasiseme kwa kutungwa sheria kandamizi. Sasa acha watu wasikie kila kitu.

Alidhani ile meli Bagamoyo, kuipeleka jeshi ndio mwisho wa kuhoji madudu mengi anayofanya.
 
Mpumbavu ni yule anayedanganya wapumbavu wenzie kuwa kitambulisho kisicho na jina kinaweza kutumika kuombea mkopo benki.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
na wewe na Lisu wote akili hamna
hicho kitambulisho kiko kama namba ya simu kwani namba yako ya simu ina picha ?mbona unaweza kukopa MPESA,tigo pesa ,AIRTEL MONEY nk hadi mamilioni?

hizo namba ziko tied na information zilizoko kwenye kitambulisho cha taifa kama ambavyo namba za simu ziko tied kule

ukiita hiyo namba ya ktambulisho cha machinga unapata particulars zote za mwenye nacho kutoka kitambulisho cha taifa hadi picha

Lisu hayuko vizuri kwenye mambo mengi mno ndio maana tunasema he is not a presidential material

Na nyie wasomi koko wa chadema hovyo kabisa.Ndio maana msomi anayejielewa hawezi jiunnga na chadema is a hopeless party
 
Jibu hoja ya Lissu kuhusu kitambulisho kisichokuwa na Jina Picha wala Sahihi unaweza kwenda kukikopea Benki ?..mwacheni Lissu amkimbize mwizi wake
Na wewe na Lisu wote akili hamna
Hicho kitambulisho kiko kama namba ya simu kwani namba yako ya simu ina picha ?mbona unaweza kukopa MPESA,tigo pesa ,AIRTEL MONEY nk hadi mamilioni?

hizo namba ziko tied na information zilizoko kwenye kitambulisho cha taifa kama ambavyo namba za simu ziko tiede kule

ukiita hiyo namba ya ktambulisho cha machinga unapata particulars zote za mwenye nacho kutoka kitambulisho cha taifa hadi picha

Lisu hayuko vizuri kwenye mambo mengi mno ndio maana tunasema he is not a presidential material

Na nyie wasomi koko wa chadema hovyo kabisa.Ndio maana msomi anayejielewa hawezi jiunnga na chadema is a hopeless party
 
Lisu anachekesha kwa kweli
SI KUCHEKESHA TU
akili hana hajui ile namba unapewa baada ya kuonyesha kitambulisho cha taifa na information kuchukuliwa hivyo kinajulikana mwenye kitambulisho hiki ni mwenye kitambulisho cha taifa namba fulani

Mtu wa benki aweza kopesha sababu ikiitwa ile namba kwenye system ya computer inaleta taarifa zote za mwenye nacho hadi picha yake

YUKO ENZI ZA MAWE HAELEWI HATA TEKNOLOGIA INAVYOFANYA KAZI

Ndio maana kutwa anaongea ujinga.Tunapomshauri anadi sera ni pamoja na kunsaidia walau kuficha ujinga wake akikurupukia mambo mengine

Magufuli ni mwanasayansi anayaelewa hayo ndio maana akasema mabenki yaweza kopesha
 
Mgombea urais chama cha demokrasia na maendeleo Tundu Lissu leo akiwa Singida amesema Magufuli aache kudanganya sisi siyo washamba kama yeye, kitambulisho cha biashara ndogo huwezi kutumia kukopa benki.

"Kitambulisho hakina jina, anwani na unaponunua haina hata risiti halafu anasema unaweza kutumia kukopa, mwambieni sisi siyo washamba kama yeye."
Kitambulisho cha NIDA chenyewe huwezi kopa sembuse hii stiker
 
Na wewe na Lisu wote akili hamna
Hicho kitambulisho kiko kama namba ya simu kwani namba yako ya simu ina picha ?mbona unaweza kukopa MPESA,tigo pesa ,AIRTEL MONEY nk hadi mamilioni?

hizo namba ziko tied na information zilizoko kwenye kitambulisho cha taifa kama ambavyo namba za simu ziko tiede kule

ukiita hiyo namba ya ktambulisho cha machinga unapata particulars zote za mwenye nacho kutoka kitambulisho cha taifa hadi picha

Lisu hayuko vizuri kwenye mambo mengi mno ndio maana tunasema he is not a presidential material

Na nyie wasomi koko wa chadema hovyo kabisa.Ndio maana msomi anayejielewa hawezi jiunnga na chadema is a hopeless party
Acheni kutapeli wananchi, kama leseni yenyewe ina details zote na huwezi kukopa hiyo takataka utakopa nini?
 
na wewe na Lisu wote akili hamna
hicho kitambulisho kiko kama namba ya simu kwani namba yako ya simu ina picha ?mbona unaweza kukopa MPESA,tigo pesa ,AIRTEL MONEY nk hadi mamilioni?

hizo namba ziko tied na information zilizoko kwenye kitambulisho cha taifa kama ambavyo namba za simu ziko tied kule

ukiita hiyo namba ya ktambulisho cha machinga unapata particulars zote za mwenye nacho kutoka kitambulisho cha taifa hadi picha

Lisu hayuko vizuri kwenye mambo mengi mno ndio maana tunasema he is not a presidential material

Na nyie wasomi koko wa chadema hovyo kabisa.Ndio maana msomi anayejielewa hawezi jiunnga na chadema is a hopeless party
Hivi unaamini utatumia uongo huu kwa watu wa JF?

Mna matatizo vichwani nyinyi

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
na wewe na Lisu wote akili hamna
hicho kitambulisho kiko kama namba ya simu kwani namba yako ya simu ina picha ?mbona unaweza kukopa MPESA,tigo pesa ,AIRTEL MONEY nk hadi mamilioni?

hizo namba ziko tied na information zilizoko kwenye kitambulisho cha taifa kama ambavyo namba za simu ziko tied kule

ukiita hiyo namba ya ktambulisho cha machinga unapata particulars zote za mwenye nacho kutoka kitambulisho cha taifa hadi picha

Lisu hayuko vizuri kwenye mambo mengi mno ndio maana tunasema he is not a presidential material

Na nyie wasomi koko wa chadema hovyo kabisa.Ndio maana msomi anayejielewa hawezi jiunnga na chadema is a hopeless party
Ona huyu naye alivyokuwa mjinga...jinga lingine hili. Mshamba kama boss wake.

Hivi kweli unataka kuwashawishi watu werevu na huu ukurutu ulio andika.

Unaelewa vigezo vya kupata mkopo benki au unaongea kwasababu bwana mkubwa wako kapigwa nyundo na Mh.Lissu!
 
Kitambulisho cha NIDA chenyewe huwezi kopa sembuse hii stiker
Uongo tena wa hali juu
Ukisajili hata simu tu kwa kitambulisho cha NIDA unakopesheka sana tu uliza watu kibao tena uswahilini wasiokanyaga hata shule wanakopa.MIMI nakopesheka hadi milioni tano sihitaji dhamana wala mdhamini kwenye simu

Muulize yeyeo hata kwenye daladala tu au stendi ya basiu kuwa je mtu aweza kopa kwa tigopesa,Mpesa,AIRTEL money nk akapata pesa taslimu bila dhamana wala mdhamini

CHADEMA tuwe wakweli ufahamu wenu wa mambo nyie wenyewe na huyo mgombea wenu ni mdogo mno kuliko hata wa mwananchi wa kawaida kabisa wa uswahilini na vijijini

hebu fikiria mfano wewe mwenyewe angalia upumbavu ulioandika huo .SIKUSHANGAI NDIO MAANA UKO CHADEMA SABABU kule ni mkusanyiko wa wapumbavu kama wewe
 
Hakuna hoja yoyote hapo.Jamaa hana sera,kazi kumpakazia Magu.

Nimejaribu kuwaza kwa nini huyu lazima amtaje uncle na kugunduwa kwamba ni muhimu huyu ambae hajakamata dola aseme mapungufu ya mwenye dola anayoenda kuyasaisha. Pengine lakini mjomba analaumiwa zaidi kwa kuwa yeye huwa anajinadi kwamba maamuzi hayo mengi ni ya kwake yeye kana yeye.

Ni kama vile mwenzake anavyojenga barabara akiwa jukwwaan japo haruhusiwi.
 
Wao wanatumia Risasi yeye anatumia HOJA.

Tarehe 28.10.2020 inasubiriwa kwa hamu sana. Maana Mobutu wa chato hafikishi hata 40%.
 
Back
Top Bottom