Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,662
- 6,888
Nimehudhuria mafunzo ya JKT kwa kipindi cha mwaka mmoja kabla ya kuanza kuwa miezi sita sita, na cheti ninacho. Kama na wewe umepitia huko, kumbukia kwata ya bunduki, range, guard na mafunzo ya vita porini ambako kuna ku-charge, commanding post.Wewe sidhani hata kama ulishashika bunduki.