Uchaguzi 2020 Lissu majibu umeanza kuyapata, unaonaje mahudhurio hapa Kanda ya Kaskazini?

mm niache utoto kwan nko kwenye hilo saccos lenu? kila mda mnalalamika sabaya utadhan sabaya ndo hai nzima, jiandaeni kisaikolojia

Hatulalamiki bali tunaweka rekodi sawa. Huyo Sabaya ndio anayeagiza hayo, wilaya ziko nyingi nchi hii, kwanini huo mchezo wa mawe uwe Hai tu? Halafu unaleta hapa kwa sifa, bila kujua hiyo siasa siasa bali unajivunia uhalifu.
 
Watanzania walio wengi washamchoka hata kabla kipenga hakijalia.
 
Naona Shetani anatamani chuki baina yetu Watanzania izidi kushika kasi. Historia haijawahi kuwadanganya wanadamu. Ni mkweli sana. Hata sisi tunaojibainisha kuwa "kisiwa cha amani" kwa miongo taktibani sita sasa tangu uhuru, tutaja shangaa, tukikataa kujifunza ukweli wa historia. Wakati mwingine nimesikia watu wakisema "Julius Kambarage Nyerere alikuwa nabii." Hapana! Hakuwa nabii, bali alijifunza barabara somo la Historia, na kuwa mwalimu mahiri wa somo la Historia.

Sulemani anayetajwa katika Biblia kuwa na hekima nyingi kuliko wanadamu wote waliowahi kuishi alisema: "Moto hufa kwa kukosa kuni; Na bila mchongezi fitina hukoma. Kama makaa juu ya makaa yanavyowaka, Na kama kuni juu ya moto; ndivyo mtu mgomvi achocheavyo uadui" Mithali 26:20-21).
 
Hatulalamiki bali tunaweka rekodi sawa. Huyo Sabaya ndio anayeagiza hayo, wilaya ziko nyingi nchi hii, kwanini huo mchezo wa mawe uwe Hai tu? Halafu unaleta hapa kwa sifa, bila kujua hiyo siasa siasa bali unajivunia uhalifu.


hata ingekua in sense kwamba watu wametumwa haiwezi kua hai nzima, ulikuepo eneo la tukio? kama hukuepo uliza yoyote aliekuepo atakwambia , infact sio mara ya kwanza! mbowe yalishamkuta na wananchi wakahojiwa wakasema wamechoka siasa za cdm! kwanza mnasifia msafara wakati ulikua wa kitoto kabisa, yaani ukiachana na hao boda mliowapa 5000 ya mafuta hakuna msafara pale, infact hata boda walikua hawana vibe ni basi tu nan hataki ela
 
Back up your story by images. Propaganda
 
Ungeweka Picha tuone, otherwise ni uzushi tu kama uzushi mwengine wowote ule
 
Uko sahihi wengi walikuja kushangaa vyuma mwilini Lakini si kusikiliza sera kwa Kuwa Ni kichaa
 
Aisee nayachukia haya magamba!!!
Wewe chukia tu, ukitaka upasuke kabisa Mkuu!!Mtu badala ujikite kwenye sera zinazolenga watu unaishia kusema Mara kwà kifungu na ibara kadhaa Rais anatoa rushwa hayo yanatuhusu nini Sisi!!!

Jamaa anapotea mnamuangalia tu mbaya zaidi hata hamumstui kuwa anapotea kabisa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…