Uchaguzi 2020 Lissu majibu umeanza kuyapata, unaonaje mahudhurio hapa Kanda ya Kaskazini?

Nikwambie tu yale mapokezi uliyopata siku unafika nyumbani toka ughaibuni ni kwamba wengi walikuja kwa ajili ya kukuona na kushangaaa jinsi ulivyookoka kifo.

Ulichaguliwa na chama chako kupeperusha bendera ya chama chako katika kuwania urais wa Jamuhuri ya Muuungano wa Tanzania .

Ulipoenda Dodoma kuchukua form ofisi za tume uliona jinsi mapokezi yalivyokua hafifu. Ulitegemea bodaboda zijaze msafara lakini ilishindikana.

Kadhalika Mwanza, na sasa Arusha umejionea mwenendo halisi wewe mwenyewe.

Hiki ni kiashiria tosha umechokwa kwa maneno yako ya hovyohovyo ya kila mara .

Jielekeze kwenye utatuzi wa kero za wananchi kwa ujumla utakapopewa ridhaa maana umekwisha anza kampeni kabla ya muda, na si personal attacks kwa Magufuli, hazitakusaidia hata kidogo kupata angalau ya asilimia 10% ya kura zote za urais nchini .

Mpaka sasa unaasilimia ndogo sana ya kura za huruma tu. Leo Arusha jibu umelipata, viti havina watu, kazi kwako!
Mtakuwa mmeua na kuumiza wangapi mpaka siku ya uchaguzi?
Je nini kitafuata? Kwa faida ya nani?
 
Nikwambie tu yale mapokezi uliyopata siku unafika nyumbani toka ughaibuni ni kwamba wengi walikuja kwa ajili ya kukuona na kushangaaa jinsi ulivyookoka kifo.

Ulichaguliwa na chama chako kupeperusha bendera ya chama chako katika kuwania urais wa Jamuhuri ya Muuungano wa Tanzania .

Ulipoenda Dodoma kuchukua form ofisi za tume uliona jinsi mapokezi yalivyokua hafifu. Ulitegemea bodaboda zijaze msafara lakini ilishindikana.

Kadhalika Mwanza, na sasa Arusha umejionea mwenendo halisi wewe mwenyewe.

Hiki ni kiashiria tosha umechokwa kwa maneno yako ya hovyohovyo ya kila mara .

Jielekeze kwenye utatuzi wa kero za wananchi kwa ujumla utakapopewa ridhaa maana umekwisha anza kampeni kabla ya muda, na si personal attacks kwa Magufuli, hazitakusaidia hata kidogo kupata angalau ya asilimia 10% ya kura zote za urais nchini .

Mpaka sasa unaasilimia ndogo sana ya kura za huruma tu. Leo Arusha jibu umelipata, viti havina watu, kazi kwako!
Mwanza alipata aibu sijui hakupita kabisa, hawana muda naye. Tatizo ni maneno yake ya kumshambulia jpm
 
Kama Arusha iko hivi basi hii ni aibu kwa Lisu..
Hebu ona Slaa nyanda za juu kusini enzi zake
[emoji116][emoji116]
20200814_164235.jpg
20200814_164215.jpg
20200814_164156.jpg
20200814_164132.jpg
20200814_164053.jpg
 
Leo rais mtarajiwa anapopokelewa na raia wachache kuliko walioipokea treni ya mizigo inakupa picha moja tu, TLS ni taasisi sahihi inayoweza kuwa headed na Mkenya Lissu sio nchi.
 
Mwanza alipata aibu sijui hakupita kabisa, hawana muda naye. Tatizo ni maneno yake ya kumshambulia jpm
Hivi Mwanza alipita pia! Sikusikia wala kuona. Ila nikajiuliza huyu mtu katokaje Shinyanga hadi Bunda bila kupita Mwanza? Kumbe alipita na hakuna aliekuwa na muda nae😀😀
 
Hivi Mwanza alipita pia! Sikusikia wala kuona. Ila nikajiuliza huyu mtu katokaje Shinyanga hadi Bunda bila kupita Mwanza? Kumbe alipita na hakuna aliekuwa na muda nae[emoji3][emoji3]
Baby Kwe Kwe Kwe!
Aah, come nikupake wese, I nese nese, aah
Nizame ndani na rungu kwa komredi
 
watu wasome coment huko istagram kwa post za kumbusho za Lissu ndio utajua watu wameshanza kumchoka

Mkuu sio kwa kumbusho tu ni kwa page zote za wana chadema kila video wanayopost Lissu ana beza alichokifanya Jiwe, hua wachangiaji wana mdhihaki na kumtukana sana Lissu
 
Back
Top Bottom