Uchaguzi 2020 Lissu majibu umeanza kuyapata, unaonaje mahudhurio hapa Kanda ya Kaskazini?

Uchaguzi 2020 Lissu majibu umeanza kuyapata, unaonaje mahudhurio hapa Kanda ya Kaskazini?

Aisee kuanzia njiro, unga ltd, mianzini, kwa mromboo, east africa road, msongamano hatari, magari hayaendi ni nyomo ya kufa mtu chali wangu. Jamaa hapa nimafuriko haya zuiliwi kwa viganja chaliwangu hapa ngarenalo ni balaaa
Uvccm wanateseka
 
Mkuu huoni Kama hapo ni barabarani au wewe macho yako yameona hadi mwisho wa huo msururu wa watu?
Najua ni barabarani, hata Lowassa alikuwa analakiwa barabarani wala si uwanjani. Waliodeki walideki barabara wala si uwanja. Hata hivo muda bado upo sana, nangoja kusikia sera zao.
 
Nikwambie tu yale mapokezi uliyopata siku unafika nyumbani toka ughaibuni ni kwamba wengi walikuja kwa ajili ya kukuona na kushangaaa jinsi ulivyookoka kifo.

Ulichaguliwa na chama chako kupeperusha bendera ya chama chako katika kuwania urais wa Jamuhuri ya Muuungano wa Tanzania .

Ulipoenda Dodoma kuchukua form ofisi za tume uliona jinsi mapokezi yalivyokua hafifu. Ulitegemea bodaboda zijaze msafara lakini ilishindikana.

Kadhalika Mwanza, na sasa Arusha umejionea mwenendo halisi wewe mwenyewe.

Hiki ni kiashiria tosha umechokwa kwa maneno yako ya hovyohovyo ya kila mara .

Jielekeze kwenye utatuzi wa kero za wananchi kwa ujumla utakapopewa ridhaa maana umekwisha anza kampeni kabla ya muda, na si personal attacks kwa Magufuli, hazitakusaidia hata kidogo kupata angalau ya asilimia 10% ya kura zote za urais nchini .

Mpaka sasa unaasilimia ndogo sana ya kura za huruma tu. Leo Arusha jibu umelipata, viti havina watu, kazi kwako!

Sio kwa uongo huo hata Kama mmezuia media
 
Najua ni barabarani, hata Lowassa alikuwa analakiwa barabarani wala si uwanjani. Waliodeki walideki barabara wala si uwanja. Hata hivo muda bado upo sana, nangoja kusikia sera zao.
Lowasa ni ccm Lisu sio wa namwachia Mungu
 
Bila picha huo ni unafiki...

Acha unafiki otherwise tuonyeshe picha
 
Wananchi tushajua njama zenu. Watu hawatokei kwenye mafuriko ila siku ya uchaguzi wanatimba na hawamchagui mkabila ngoo
 
CCM njia pekee waliyobakiwa Nayo ili washinde uchaguzi mkuu ni kutuma vijana walete vurugu kwenye mikutano ya Lissu. Ikifeli mbinu hiyo hawatoboi na wao wameshajua
 
Mkuu huoni Kama hapo ni barabarani au wewe macho yako yameona hadi mwisho wa huo msururu wa watu?
Mwambie picha ni hizo tumeanza kuziweka hapa jf
Screenshot_20200814-183312.jpg
Screenshot_20200814-183041.jpg
Screenshot_20200814-183026.jpg
Screenshot_20200814-183017.jpg
 
Najua ni barabarani, hata Lowassa alikuwa analakiwa barabarani wala si uwanjani. Waliodeki walideki barabara wala si uwanja. Hata hivo muda bado upo sana, nangoja kusikia sera zao.
Tulieni dawa iwangieni vizuri dadeeeki cheki nyomi hiyo leo lazima mtapike nyongo
Screenshot_20200814-183312.jpg
Screenshot_20200814-183119.jpg
Screenshot_20200814-183041.jpg
Screenshot_20200814-183026.jpg
Screenshot_20200814-183017.jpg
Screenshot_20200814-183004.jpg
 
Back
Top Bottom