Uchaguzi 2020 Lissu majibu umeanza kuyapata, unaonaje mahudhurio hapa Kanda ya Kaskazini?

Tatizo lako hutumii akili kwenye jambo linalo hitaji kutumia akili.
Hapo ni Arusha sijui utasema nini tena lumumba wahedi
 
Hawa watu ni wachache sana kutoka kitovu cha upinzani
Hio ni ishara mbaya sana kwa lema...... Arusha kuna mradi hatawa maji mkubwa sana unajenga ... Barabara za lami nyingi zimejengwa... Wafanyabiashara wadogo walokuwa wanamsampoti sana lema leo wanafanya biashara bila buguza...
Mfano kuna mama mmoja anauza matunda kwa beseni nje ya makao makuu ya ttcl....
Tuna hospital mpya ya wilaya sasa..
Na zahanati na vituo vya afya vipya vingi tuu..
 
mkuu hili ndo tatizo kubwa la wana ccm ,kusifia ,na kulaghai uongonzi wa juu thats mnampa wakati mgum mgomea wenu japo alijitahidi kukibeba chama , mnasifia mpaka mnapita maelezo but mh maghu wasikudanganye uchaguzi huu ni mgum na ni kwa sababau wanaokusifia sio kwamba lipo lolote wamekifanyia chama ya msingi wao walisha lala wanategemea kwamba ccm ni chama dola so ushindi kama kawa but hawajui hata ukishindwa bado kama taifa tutendelea kukulinda ,kukutunza na kuhakikisha upo salama kwa mjibu wa katiba yetu iliopo , na niseme hawa ndo adui no 1 kwako, kutoka moyoni binafsi sitokupigia kura mwaka huu,na hii sio kwamba hakuna mambo mazuri ambayo umefanya ,yapo mengi tu kama w atangulizi wako walivyo fanya but hawa wapambe njaa wako wanachefua sana , chama hawajengi but wmebaki kupiga kelele ili mladi mkono waingia kinywani.
NILIWAI SEMA
WENDA MAGHU rais mzuri but chama alicho ni tatizo na niliwai pendekeza MAGHU angombee pitia chama pinzanzani may be watu walichukulia mzaa , but ieleweke wanachama wa ccm hawajengi chama hata kidogo ,wapo wamerelax tofauti na chadema watu wamejitoa wenyewe katika ujenzi wa chama kwa nguvu zao ,kwa pesa zao n.k .
mapendekezo
ccm inabidi ishindwe ili wanachama wao wapate fikra mpya ya kukijenga chama upya bila kutomuachia majukum mazito mwenyekiti wao maana imekua tabia ya karne na karne
 
Umepata msosi wa mchana mkuu?
 
Subiri matusi hapa. Wenzio wanaishi kwa sharia kukutukana tu haiko kwenye sheria so wanatakutukana hadi ukome. Teheheheh
 
Serikali ya CCM imesheheni WAHUNI na WAHALIFU lukuki, kuanzia JPM hadi wasaidizi wake. Ma Dikteta ni WASHENZI na WENDAWAZIMU hasa wanaposhindwa kwa hoja, tutarajie viroja vingi sana mwaka huu.
 
Ushauri mzuri sana mkuu
 
Watu wanaenda sababu kuna show za bure za wasanii (Fiestaccm)

Kama unataka kuamini CCM haina mvuto waende na TOT band kwenye mikutano yao utanipa mrejesho.
 
umekwisha anza kampeni kabla ya muda,

Habari ya siasa kabla ya wakati hayo ni maazimio ya ccm, hilo jambo halipo kikatiba kwa hivyo mambo ya ccm yasiwe mambo ya katiba ya nchi.

Na pia kumbuka mwenyekiti wako wakati anafungua jengi ka Tume ya Uchaguzi alisema sasa siasa ruxa (anyway as if kwamba yeye ndiye mtunga sheria)
 
Mpaka sasa unaasilimia ndogo sana ya kura za huruma tu. Leo Arusha jibu umelipata, viti havina watu, kazi kwako!

Weka picha kama kweli upo arusha eneo la tukio vinginevyo ......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…