Uvccm wanatesekaAisee kuanzia njiro, unga ltd, mianzini, kwa mromboo, east africa road, msongamano hatari, magari hayaendi ni nyomo ya kufa mtu chali wangu. Jamaa hapa nimafuriko haya zuiliwi kwa viganja chaliwangu hapa ngarenalo ni balaaa
Huoni kama yeye amekwisha anza kampeni?
Mkuu huoni Kama hapo ni barabarani au wewe macho yako yameona hadi mwisho wa huo msururu wa watu?Hawa watu ni wachache sana kutoka kitovu cha upinzani
thetallest,
Ndio maana TV hazionyeshi au siyo? Mafuriko ya jana ya Lipumba si umeona TV zote wameonyesha?
Hiyo ni portion tu ya msafara. Ulisema hilo ukisoma picha ya kule wanakoishiaKama chugah ndo hvyo basi nidalili mbaya kwa makamanda
Najua ni barabarani, hata Lowassa alikuwa analakiwa barabarani wala si uwanjani. Waliodeki walideki barabara wala si uwanja. Hata hivo muda bado upo sana, nangoja kusikia sera zao.Mkuu huoni Kama hapo ni barabarani au wewe macho yako yameona hadi mwisho wa huo msururu wa watu?
Nikwambie tu yale mapokezi uliyopata siku unafika nyumbani toka ughaibuni ni kwamba wengi walikuja kwa ajili ya kukuona na kushangaaa jinsi ulivyookoka kifo.
Ulichaguliwa na chama chako kupeperusha bendera ya chama chako katika kuwania urais wa Jamuhuri ya Muuungano wa Tanzania .
Ulipoenda Dodoma kuchukua form ofisi za tume uliona jinsi mapokezi yalivyokua hafifu. Ulitegemea bodaboda zijaze msafara lakini ilishindikana.
Kadhalika Mwanza, na sasa Arusha umejionea mwenendo halisi wewe mwenyewe.
Hiki ni kiashiria tosha umechokwa kwa maneno yako ya hovyohovyo ya kila mara .
Jielekeze kwenye utatuzi wa kero za wananchi kwa ujumla utakapopewa ridhaa maana umekwisha anza kampeni kabla ya muda, na si personal attacks kwa Magufuli, hazitakusaidia hata kidogo kupata angalau ya asilimia 10% ya kura zote za urais nchini .
Mpaka sasa unaasilimia ndogo sana ya kura za huruma tu. Leo Arusha jibu umelipata, viti havina watu, kazi kwako!
Mpe nafasiLisu hana hoja hoja zake personal ugomvi wake na magu hauwez kutatu ma kero za bibi yako wa misungwi
Lowasa ni ccm Lisu sio wa namwachia MunguNajua ni barabarani, hata Lowassa alikuwa analakiwa barabarani wala si uwanjani. Waliodeki walideki barabara wala si uwanja. Hata hivo muda bado upo sana, nangoja kusikia sera zao.
Lipumba ni ukawa ya ccmthetallest,
Ndio maana TV hazionyeshi au siyo? Mafuriko ya jana ya Lipumba si umeona TV zote wameonyesha?
Mmoja alianza 5 yrs back kampeniHawa majahiri, Mungu anawaona.
Wanaiharibu nchi. Muda wa kuwaambia basi kwa vitendo unajongea na kwa kasi sana.
Mwambie picha ni hizo tumeanza kuziweka hapa jfMkuu huoni Kama hapo ni barabarani au wewe macho yako yameona hadi mwisho wa huo msururu wa watu?
nzilakende ni lzm azimie naona keshaanza muita mahakamani,Mwambie picha ni hizo tumeanza kuziweka hapa jfView attachment 1537143View attachment 1537144View attachment 1537145View attachment 1537146
Tulieni dawa iwangieni vizuri dadeeeki cheki nyomi hiyo leo lazima mtapike nyongoNajua ni barabarani, hata Lowassa alikuwa analakiwa barabarani wala si uwanjani. Waliodeki walideki barabara wala si uwanja. Hata hivo muda bado upo sana, nangoja kusikia sera zao.