Uchaguzi 2020 Lissu majibu umeanza kuyapata, unaonaje mahudhurio hapa Kanda ya Kaskazini?

Kumbusho ndio mumeo au baba watoto wako?? Hacha kusifia mwanaume mwenzio we .shoga
watu wasome coment huko istagram kwa post za kumbusho za Lissu ndio utajua watu wameshanza kumchoka
 
Uza ubongo huo maana unakaa nao kwa hasara. Unadhani hatuna macho nini? Hongera kwa kwenda Arusha kuchoma ofisi yao.

lissu hakua na msafara mkubwa infact wamepigwa mawe leo na ni yale yale nliokua nakwambia juzi juzi, mbowe alipigwa mawe pia! kwa kifupi hakuna mtu ana ham na nyie
 
Nadhani amekuelewa kwa hiki mlichokifanya kuchoma Ofisi za cdma Arusha atawalekeza wanachama wajikite katika kufanya mnayoyafanya...
 
Subirini siku yenu inakuja, cdm ikiingia madarakani wahamiaji haramu wote mnarudishwa kwenu Burundi

laiti ungejua saaahv unatakiwa kushkuru Mungu mgombea wenu kachezea mawe leo, bahati nzuri hana alieumia ila magari yameiva kwa mawe, yale yale ya mbowe alichezea mawe kabla!
 
Akili za kushikizwa ni ovyo sana
 
Lisu hana hoja hoja zake personal ugomvi wake na magu hauwez kutatu ma kero za bibi yako wa misungwi
Sawa vipaumbele vyake ndio vina bifu na JPW au siyo?

-Kushusha paye kuwa single digit
-Kushusha VAT hadi 10%
-Kurudisha fao la kujitoa.
-Kulipa arrears za wafanyakazi wa umma kwa miaka mi5
-Elimu bure hadi form iv
-Mikopo ya chuo ni 3% na unaanza kulipa mpaka upate kazi na unalipa kwa miaka 25
-Katiba mpya

AH VITU NI VINGI.
 
laiti ungejua saaahv unatakiwa kushkuru Mungu mgombea wenu kachezea mawe leo, bahati nzuri hana alieumia ila magari yameiva kwa mawe, yale yale ya mbowe alichezea mawe kabla!
Usisahau na kibaka mwenzenu mmoja nasikia yupo icu baada ya kupata kibano kutoka kwa wananchi wenye hasira kali
 
Mkuu huyo uliye mujibu hawezi kukuelewa kwa jinsi ulivyo andika kwa akili kubwa
 

mkuu, izi achana na hawa chadema queens! apa kila sku wanafungua thread mpya wanaongea wenyewe thread nzima, taarifa ya uhakika ni kwamba! alikuja na watu walikua wa kawaida sana msafara ulikua wa kitoto, na hivo nnavoongea na wewe wamepigwa mawe, hakuna alieumia ila gari kama 3 zmeisha hazifai, na tulikuja apa tukaawaambia wananchi hawana ham nao wakaja juu, mbowe alienda jimbon kwake mawe yakamhusu saaahv uyo mgonjwa wao kaponea mawe
 
lissu hakua na msafara mkubwa infact wamepigwa mawe leo na ni yale yale nliokua nakwambia juzi juzi, mbowe alipigwa mawe pia! kwa kifupi hakuna mtu ana ham na nyie

Kama watu hawana hamu na sisi hiyo ndiyo ya kutukataa? Box la kura lipo na ndio njia halali. Huu upuuzi wa kurusha mawe unapangwa na DC Sabaya, na hakuanza jana wala juzi. Kwa bahati mbaya huo uhalifu unaleta hapa na kuona ni njia sahihi ya kumkataa mtu hata kama ni kweli hatakiwi. Huu ulevi wa madaraka huwa una mwisho , japo unadhani ndio siasa. Nilikuambia acha utoto, lakini umerudia utoto ule ule ukidhani umeleta proof ya cdm kukataliwa, badala ya kujua kuwa huo ni uhalifu.
 

mm niache utoto kwan nko kwenye hilo saccos lenu? kila mda mnalalamika sabaya utadhan sabaya ndo hai nzima, jiandaeni kisaikolojia
 

 
Hao hao waliokuja kumshangaa jinsi alivyopona kuuawa ndio watakaompigia kura!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…