Kwa hiyo kwa akili yako, hata waziriwa sheria, Prof. Kabudi, aliyethibitisha nilichokisema kwenye post yangu jana kuwa, "maneno yaliyoandikwa kwenya mtandao wa JamiiForums | The Home of Great Thinkers kuwa sheria itakayotokana na miswada mipya haitahusu mikataba iliyokwisha sainiwa na marais waliotangulia ni ya uongo, uzushi na uzandiki" naye hajui lugha iliyotumika kwenye miswada husika?Yawezekana unajua hizo. Ila 'uelewa' wako wa kinachowasilishwa kwa hiyo lugha ni mdogo sana.
Sijamzungumzia Kabudi. Hata hivyo, je ameonyesha hicho kipengele kama ni cha uongo au kaongea tu?Kwa hiyo kwa akili yako, hata waziriwa sheria, Prof. Kabudi, aliyethibitisha nilichokisema kwenye post yangu jana kuwa, "maneno yaliyoandikwa kwenya mtandao wa JamiiForums | The Home of Great Thinkers kuwa sheria itakayotokana na miswada mipya haitahusu mikataba iliyokwisha sainiwa na marais waliotangulia ni ya uongo, uzushi na uzandiki" naye hajui lugha iliyotumika kwenye miswada husika?
Acacia in this issue only bears the risk of tainted brand, whereas Barrick Gold bears the real risk of 73.9% shares. To that end, other than facts in the information herein provided, this Acacia's statement is relatively ineffectual.
Anamsubiri MpolempoleToa maoni yako tuyapime acha porojo
Una vielelezo? Kabidhi Polisilissu haeleweki yupo upande gani kutwa nzima anaongea na CEO wa acacia alafu anajifanya kuishauri serikali,lissu ni kibaraka wa acacia!sioni mashiko yoyote kwenye andiko lake,
Itarekebishwa kwa sheria IPI??Kwa hiyo mnamuamini sana Lissu kuwa mikataba iliyopo haitarekebishwa? Duu! watanzania tumerogwa sana
Ahsante kwa masahihisho. It was just a typo error, sure it is 63.9 pc. Actually awali it was a Barrick wholly owned property until 2011 when Barrick changed the name to African Barrick Gold (ABG) before once again (2013) changed the name to Acacia that was never registered under BRELA in Tanzania. So as you said, Barrick and Acacia is one and the same.Barrick anamiliki 63.9%, sio 73.9%. Na hiyo ni controlling stake tosha sana.
Acacia na Barrick ndio hao hao. Mwizi akibadili shati, bado ni mwizi tu. Acacia majina wanabadili kila mara, wasikuchanganye.
Kipengele sio cha uongo. Ila Lissu na wewe ndio waongo na wapotoshaji, tena kasema ni wazandiki. taarifa husika ipo humu JF, tatuta uisome.Sijamzungumzia Kabudi. Hata hivyo, je ameonyesha hicho kipengele kama ni cha uongo au kaongea tu?
Kumbe kipengele ni kilekile. Sasa wewe kweli unaelewa hiyo lugha unayojua sarufi na fasihi zake? Huyo waziri anatetea tu ugali wake kama tu yule mwingine wa viwanda alivyofunguka.Kipengele sio cha uongo. Ila Lissu na wewe ndio waongo na wapotoshaji, tena kasema ni wazandiki. taarifa husika ipo humu JF, tatuta uisome.
Wakati tunajadili na kuchukua maoni ya wadau hakuwepo leo hii anatujia na porojo!!
HII NI HABARI NJEMA KWA WAZUNGUSHA MIKONO...LISSU KESHAJUA VILAZA WANARAKA NINI...NA ATAWAPA NA KUENDELEA KUWAPA HIKO MNACHOKITAKA. ..
Namkubali Rugemeleza
JINGALAO (KUBWA LA WAJINGA) Andiko hili sio size yako nafuu ungesoma na kupita kimya kuliko hivi unavyojivua UBONGO wako na kuuacha wazi.Tulimwambia aje kutoa maoni akakimbia sasa hivi anakuja kujivua nguo na porojo zake za MIGA
BogusKumbe kipengele ni kilekile. Sasa wewe kweli unaelewa hiyo lugha unayojua sarufi na fasihi zake? Huyo waziri anatetea tu ugali wake kama tu yule mwingine wa viwanda alivyofunguka.
Kipengele sio cha uongo. Ila Lissu na wewe ndio waongo na wapotoshaji, tena kasema ni wazandiki. taarifa husika ipo humu JF, tatuta uisome.
Wewe ndiye hukumuelewa mhe Tundu Lissu. Kifupi amekupa "snap shot" ya msimamo wa kisheria kuwa acacia na wote waliohusika na uingiaji mikataba wako "right".Lissu sijui hakumuelewa Magu au ndo muendelezo wake wa kuponda kila kitu? Rais alisema Acacia na timu ya wataalam wa TZ watakaa warekebishe mkataba ili kuwe na win-win situation, hajasema bunge ndo litafanya kazi hiyo
Kazi ya kampeni ya uraisi 2020!!!Tumuache Raisi wetu afanye Kazi
Na sasa wamemute!Na mmoja wao nilimjibu Lissu akiongea/akijibu watatafutatana.