Lissu: Makampuni yaliyotunyonya tangu 90's hayapo kwenye sheria ya madini

Magazeti wanaogopa KUFUNGIWA baada ya KUTISHWA MAJUKWAANI NA KWENYE HOTUBA KALI.
KUJIDANGANYA NI KUENDELEA KUFICHA MOTO HUKU WAKIZIMA MOSHI!
 
Imekuingia kisawasawa, mzalendo asiyetumia mikakati sahihi ni mtu anayepoteza muda. Tunao wazalendo wengi nchi hii ila shida ni pale tunapotaka mzalendo na kiongozi. Poor magu! Alitakiwa aongoze familia yake pekee lakin sasa ni rais
Hata familia yake imemshinda kuiongoza kwa weledi, badala yake anawatandika makofi na mateke.
 
Nimeona tu jinsi unavyomchukia lissu, unataman umfyatue risasi hadharan, labda maisha yako yatakuwa ya furaha.
Jibu hoja tu inatosha, vijembe havikusaidii,
umejifariji kwa kusema huo ni mwanzo na kuwa mwisho kutakuwa na kujadiliwa kwa terms of business kwa hao barrick, uliona wapi hii, lisipotokea utaendelea kuunga mkono serikali au ndo utagungua rasmi kuwa hayo yalikuwa maigizo. Maana wengi ni slow learners!
 
Tundu Lissu kuonyesha yuko vizuri angewapa ushauri wa bure na technicalities ya vipi tutanasuka katika hili
Tundu Lisu hatakiwi kuonekanika hata anazungumza maana Ngosha wa Chato atashindwa kula hela zake kilaini....
Kwa ufupi angalia kilichomkuta mkuu wa mkoa wa Mwanza sahiv kisa kufatilia miradi ya wakubwa kupitia Bashite
 
Wakati tunajadili na kuchukua maoni ya wadau hakuwepo leo hii anatujia na porojo!!

HII NI HABARI NJEMA KWA WAZUNGUSHA MIKONO...LISSU KESHAJUA VILAZA WANARAKA NINI...NA ATAWAPA NA KUENDELEA KUWAPA HIKO MNACHOKITAKA. ..

Namkubali Rugemeleza
Kumbe ulikuwa DOM, we mtu wa serikali ndio maana unaungua matako kama pasi (kushabikia kwa hali ya juu sana)
 
Lissu sijui hakumuelewa Magu au ndo muendelezo wake wa kuponda kila kitu? Rais alisema Acacia na timu ya wataalam wa TZ watakaa warekebishe mkataba ili kuwe na win-win situation, hajasema bunge ndo litafanya kazi hiyo

Rais alisema mikataba yote itarudishwa bungeni kujadiliwa upya na hoja ya Lissu ni kuhusu sheria za madini kama alivyoahidi mkuu. Hichi unachosema wewe ni kipya.
 
Naunga mkono hoja
 
Tundu Lisu hatakiwi kuonekanika hata anazungumza maana Ngosha wa Chato atashindwa kula hela zake kilaini....
Kwa ufupi angalia kilichomkuta mkuu wa mkoa wa Mwanza sahiv kisa kufatilia miradi ya wakubwa kupitia Bashite
Kawaje aisee?
 
Tundu Lissu kuonyesha yuko vizuri angewapa ushauri wa bure na technicalities ya vipi tutanasuka katika hili
Atawapaje ushauri wakati kila mtu anayesema tofauti na wao anaambiwa kuwa amehongwa pesa!! Na sio mzalendo wa nchi.
 
Bora Lissu anatumia muda wake wa ziada kutufunulia yale tusiyoyajua na kuyaona.

Inashangaza wakata mauno wa Lumumba wao kazi yao kubwa ni kusikiliza kipenga kisha waanza kukata shanga..
Mkuu umenifurahisha sana.

 
Wakati tunajadili na kuchukua maoni ya wadau hakuwepo leo hii anatujia na porojo!!

HII NI HABARI NJEMA KWA WAZUNGUSHA MIKONO...LISSU KESHAJUA VILAZA WANARAKA NINI...NA ATAWAPA NA KUENDELEA KUWAPA HIKO MNACHOKITAKA. ..

Namkubali Rugemeleza
Jinga kweli kweli jingalao
 
ben Saanane aliuliza hivi Magufuli ni kweli amesoma na ana PHD matokeo wakampoteza lakini tukiangalia unajuwa upeo wake ni wa chini sana wala sio wa msomi wa PHD kwa kweli hata msukuma mbunge wa Geita ana reason kuliko huyo mkulu eti watu wanamwambia ukweli anasema wamehongwa visenti halafu chini ya masaa 24 bunge linasema makanikia ni yao na migodi ni yao na serikali itabaki hivyo hivyo bila kitu ana uzalendo huyo kweli
 
Lissu sijui hakumuelewa Magu au ndo muendelezo wake wa kuponda kila kitu? Rais alisema Acacia na timu ya wataalam wa TZ watakaa warekebishe mkataba ili kuwe na win-win situation, hajasema bunge ndo litafanya kazi hiyo
Chombo/Mhimili upi unaotunga sheria, pamoja na hizo za mikataba?
 
lissu yuko sahihi sana. habari ya makinikia na matrilioni imeishia hapa. rais ameishia kutishia wanaomkosoa kana kwamba kukosoa serikali ni kosa la jinai.
 
Tuma picha tukuunge mkono. Kweli simpendi Lisu ila kama huna ushaidi usiwe kama Sh..o ..ga. Maana hiyo ni Tabia mbaya sana
matusi ya nini? unatabia kama za lissu kutukana wenzie,sikushangai mkawekwa sero mnaanza kulia lia
 

Haiwezakani kuvunja hiyo mikataba kwa kutumia sababu za "mistake" "illegality" and "mispresentation" ? Waliosoma sheria, wananielewa nina maana gani ninapotumia hayo maneno matatu, among others. Kama hatuwezi, hakuna haja ya kufundisha masomo ya sheria hapa tanzania. Yafutwe tu. Kuna case moja kule Uingereza inaitwa Anisminic. Ulishawahi kuisikia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…