Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Mwenyekiti ndo aliyeanza kutoa siri za ivyo vikao jamaa kamaliziaAnasema ana mdomo mpana,
Wanaomshabikia kuna siku atawarudia..
Kama hata vikao vya sir anaropoka mpaka eneo walilofanyia.. imagine ni top boss wa CDM.....
Siasa za upinzani kuendesha chama sio kazi rahisi .
Kuendesha chama kwa kusema tu?
Tupo
Mzee wa Posta Club anakabwa kila konaDah mwaka huu mtoto wa mjini (Mbowe) anavuliwa nguo mchana kweupe na mshamba (Lisu)
Mbowe ana agenda gani lakini?Lissu ni muwazi.
Lissu mzungu sanaHizi ni aibu gani Mbowe? Ona sasa unadhalilika mchana kweupe.
Hapa ndipo ninapomkubali Lissu, hajui kutafuna maneno.
Akigombea ataiuzaje sasa?Kama ni hivyo, kwa nini Mbowe hataki kugombea?
Amandla...
kuna tofauti ya muwazi na mropokaji,Lissu ni muwazi.
Mm nakubali mbowe anamakundi ya kihalifu amwyatengeneza😂😂😂😂😂😂😂
Ila Lissu jamani huwa ananifurahisha anavyoongea
No wonder hata zile risasi alipigwa na chadema wenzake
Ila wakamtupia zigo baba wa watu.
Mbona amesema ni chama chakeHivi kwanini Mbowe anang'ang'ania pale? Kwani kuna nini hasa?
Nini maana ya "kuropoka"?kuna tofauti ya muwazi na mropokaji,
umechanganya!
Na mkweliLissu ni muwazi.
Kwanini Lissu anangania uongozi?Hivi kwanini Mbowe anang'ang'ania pale? Kwani kuna nini hasa?
Kwa hiyo mara ya mwisho alimuuzia hiyo nafasi Lissu?Akigombea ataiuzaje sasa?
2015 ulikuwa na KADI ya Hapo Ufipa tayari au bado ulikuwa St Kayumba? 😂😂😂