Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona unaleta habari za mwaka jana? Acha kuchanganya mada wee mgonjwa wa malaria!MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Tundu Lissu ametangaza nia kuwania nafasi ya urais mwakani na kwamba chama chake kinajiandaa kupata ushindi wa kutosha dhidi ya Rais Samia Suluhu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye anatarajiwa kugombea kupitia chama hicho.
Akiongea na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam leo baada ya kurejea kutoka nje ya nchi alipokuwa kwa mapumziko mafupi baada ya ziara ya chama chake Kanda ya Kaskazini aliyoifanya sambamba na Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, Lissu alisema kwa sasa chama chake kinaandaa wagombea katika nafasi mbalimbali kwa ajili ya kushinda uchaguzi ujao.
“Nia yangu ya kugombea mwaka 2025 iko palepale nitaitikia wito Watanzania na nitaitikia wito wa chama changu” amesema Lissu.
Alipoulizwa kuhusu kugombea nafasi ya uenyekiti wa chama chake amesema hana mpango huo na kukanusha uvumi wakuwepo mgogoro kati yake na Mwenyekiti wake Freeman Mbowe kuhusu kuwania nafasi hiyo.
“Nimesema mara mia kwamba sigombei uenyekiti wa chama sasa huo mvutano unatoka wapi ni wa kutengenezwa tu na vyombo vya habari” amesema Lissu.
Source: nipashe Jue 2024
Kwa Bahari motors 😂😂😂Nia yake kukimbilia CHAUMA
Sidhani kama Mbowe anataka kugombea urais. Na inawezekana kuwa ni kweli alikuwa hajaamua kugombea uenyekiti. Mimi nahisi alifanya uamuzi wa kugombea baada ya lugha za kebehi dhidi yake kusheheni mitandaoni. Naamini alikuwa chini ya presha kubwa kutoka kwa ndugu na jamaa za kumtaka asigombee. Ni zile alizoita character assassinations ndio zilimsukuma afanye huo uamuzi.Wakuu
Kimeumana CHADEMA, Tundu Lissu amvaa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe baada ya kurejea Tanzania kutoka nchini Ubeligiji.
Akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya kuulizwa kuhusu alichokisema Mbowe kuwa walishauriana asigombee Uenyekiti CHADEMA, pengine baadae angegombea Urais
Soma, Pia: Mbowe: Ilikuwa ghafla sana Lissu kutangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa
"Kwanza hili niliseme kwa masikitiko, kwasababu si jambo nzuri kusema Mwenyekiti (Freeman Mbowe) amesema uongo, kwenye hili amesema uongo. Tulikutana kwa siku tatu hapa Msimbazi, Kanisani tukipatanishwa, tukizungumza juu ya hiki kinyang’anyiro na kwa siku tatu zote Mwenyekiti alisema yeye hajaamua kugombea nafasi yoyote [kwa siku tatu], Katibu Mkuu John Mnyika ni shahidi."
View attachment 3194110
Kama kadanganya kwenye hili basi Mwamba kakubuhu Kwa urongo 😂😂😂Wandugu aliyekaribu na Mbowe amshauri amuachie Lisu. Hizi aibu za reja reja si sawa kabisa
Ukiniuliza unapenda jambo gani kwa Lissu nitakwambia kuwa napenda uwazi wake na kutomuonea mtu aibu katika kusema ukweliHizi ni aibu gani Mbowe? Ona sasa unadhalilika mchana kweupe.
Hapa ndipo ninapomkubali Lissu, hajui kutafuna maneno.
😂😂😂😂😂😂😂Wakuu
Kimeumana CHADEMA, Tundu Lissu amvaa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe baada ya kurejea Tanzania kutoka nchini Ubeligiji.
Akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya kuulizwa kuhusu alichokisema Mbowe kuwa walishauriana asigombee Uenyekiti CHADEMA, pengine baadae angegombea Urais
Soma, Pia: Mbowe: Ilikuwa ghafla sana Lissu kutangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa
"Kwanza hili niliseme kwa masikitiko, kwasababu si jambo nzuri kusema Mwenyekiti (Freeman Mbowe) amesema uongo, kwenye hili amesema uongo. Tulikutana kwa siku tatu hapa Msimbazi, Kanisani tukipatanishwa, tukizungumza juu ya hiki kinyang’anyiro na kwa siku tatu zote Mwenyekiti alisema yeye hajaamua kugombea nafasi yoyote [kwa siku tatu], Katibu Mkuu John Mnyika ni shahidi…."
View attachment 3194110
Nafasi ya mgombea uRais pale Chadema ni biasharaSidhani kama Mbowe anataka kugombea urais. Na inawezekana kuwa ni kweli alikuwa hajaamua kugombea uenyekiti. Mimi nahisi alifanya uamuzi wa kugombea baada ya lugha za kebehi dhidi yake kusheheni mitandaoni. Naamini alikuwa chini ya presha kubwa kutoka kwa ndugu na jamaa za kumtaka asigombee. Ni zile alizoita character assassinations ndio zilimsukuma afanye huo uamuzi.
Kazi sasa ni kwa wapiga kura. Ukweli haya mambo ya vijembe yanasikitisha na yanachosha.
Amandla...
Umeongea pweinti 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ila Lissu jamani huwa ananifurahisha anavyoongea
No wonder hata zile risasi alipigwa na chadema wenzake
Ila wakamtupia zigo baba wa watu.
Aisee...Wakuu
Kimeumana CHADEMA, Tundu Lissu amvaa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe baada ya kurejea Tanzania kutoka nchini Ubeligiji.
Akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya kuulizwa kuhusu alichokisema Mbowe kuwa walishauriana asigombee Uenyekiti CHADEMA, pengine baadae angegombea Urais
Soma, Pia: Mbowe: Ilikuwa ghafla sana Lissu kutangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa
"Kwanza hili niliseme kwa masikitiko, kwasababu si jambo nzuri kusema Mwenyekiti (Freeman Mbowe) amesema uongo, kwenye hili amesema uongo. Tulikutana kwa siku tatu hapa Msimbazi, Kanisani tukipatanishwa, tukizungumza juu ya hiki kinyang’anyiro na kwa siku tatu zote Mwenyekiti alisema yeye hajaamua kugombea nafasi yoyote [kwa siku tatu], Katibu Mkuu John Mnyika ni shahidi…."
View attachment 3194110
Mbowe kakutana na kisu cha ngariba😅Wakuu

😂😂Mbowe kakutana na kisu cha ngariba😅
Dah mwaka huu mtoto wa mjini (Mbowe) anavuliwa nguo mchana kweupe na mshamba (Lisu)Kimbiza Mwizi 😂😂
Anasema ana mdomo mpana,Huyu Mzee anapenda vita sana vya maneno.
Achenu kumchokoza sasaHuyu Mzee anapenda vita sana vya maneno.
Ubure wake ni kitu gani?Ila Freeman hovyo sana.....ujuaji mwingi kumbe bure kabisa....ila za mwizi ni arobaini tu....
Kama ni hivyo, kwa nini Mbowe hataki kugombea?Nafasi ya mgombea uRais pale Chadema ni biashara
Kwa Sasa wanawavizia February na Dr Naniliu PhD 😂😂😂