Uchaguzi 2020 Lissu mgombea Urais wa Mijini anayezunguka town to town kampeni akiacha asilimia 80 ya wapiga kura waishio Vijijini

Keep on dreaming young man
 
Kambarage alianzia kupihgania uhuru Buutiama?Interlectuals wako wapi?

Sent from my E6653 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hizi takwimu umezitia Wapi....vijijini Kuna wapiga kura 80%🤭🤭🤭
 
Na aliyejichokea chamwino anasubiri wikend tuu?
 
kwa kumbukumbu zilizopo tangu kampeni zianze hadi kufikia leo, Tundu Lissu ametembelea vijiji vingi zaidi kuliko Magufuli.

labda kama unamaanisha vijiji vya kule Zanzibar!
 
Kijijini ndo ccm wanakopora kura za wajinga....bado najiuliza kwa nn ccm iliagiza tume iengue wagombea wa upinzani ilihali wanakubalika kijijini kwenye kura nyingi?
 
Njaa ya miaka hii five ni kampeni tosha Hadi vijijini
 
Option pekee waliyobaki nayo ccm Ni kuhairisha uchaguzi, la wizi haliwezekani, la kutumia polisi haliwezekani sababu nao Wana hasira mbaya ya five years awajaongezewa mishahara. So Wana utii wa kwenye uniforms tu na si wa ndani
 
Hawa nao wako vijijini
Your browser is not able to display this video.
 
Ni kweli kabisa, mtoa mada. CDM wengi wakiona watu wanaokwenda kwenye kampeni za mgombea huko mijini wanadhani ndo wameshinda. La hasha, nimekuwa nikitoa mfano mdogo tu wa matokeo ya Uchaguzi wa mwaka 2025 katika vituo 3 vya kijijini nilivyoshuhudia. Ilikuwa kama ifuatavyo:-
Kituo A: CCM kura 312, CDM 21.
Kituo B: CCM kura 279, CDM 12.
Kituo C: CCM kura 327, CDM 18.
Wakati huo kura za vituo 3 vya mijini ilikuwa kama ifuatavyo:-
Kituo A: CCM kura 310, CDM 322.
Kituo B: CCM kura 293, CDM 311.
Kituo C: CCM kura 332, CDM 287.
Kwa mchanganuo huo, ukitaka kujua chama gani kitashinda Urais, jumlisha kura za kila chama za mijini na vijijini ndipo utagundua ni nani kapata jumla ya kura nyingi zaidi.
Kwa hiyo, hivi ndivyo itakavyokuwa hata uchaguzi huu wa mwaka 2020.
Advantage ya JPM ni kwamba, yeye hahitaji kwenda vijijini kuomba kura kwa sababu tayari yeye anafahamika na CCM inafahamika na inakubalika kwa asilimia kubwa huko vijijini.
 
kwa kumbukumbu zilizopo tangu kampeni zianze hadi kufikia leo, Tundu Lissu ametembelea vijiji vingi zaidi kuliko Magufuli.

labda kama unamaanisha vijiji vya kule Zanzibar!
Kutembea sio kufanya kampeni
 
Uko sahihi kujua mshindi wa uraisi lazima ujumlishe kura zake za mjini na za vijijini Lisu hadi sasa kura za vijijini ana zero kibao
 
Kwenye Ukweli lazima tuseme mwaka huu mgombea Wangu hashindi ila 2025 Njia nyeupe kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…