Lissu Mwanasiasa Maarufu zaidi Tanzania, Akifuatiwa na Kikwete then Samia

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Posts
1,364
Reaction score
2,396
Ni kweli Ili Uwe Rais Nchi hii lazima ufahamike vizuri miongoni mwa wananchi wa Tanzania.

Hapo awali tulipata wanasiasa maarufu na wenye nguvu kweli kweli mifano kama Magufuli, Edward Lowasa, Nyerere etc.

Ila Kwa Sasa Hali imebadilika na Mimi nimeshangaa sana, ninavyoona na mambo yalivyo ni wazi kuwa umaarufu wa watu muhimu wa CCM umepungua sana, na CCM imebaki na watu wachache sana wenye influence Kwa Raia baada ya Magufuli Kufariki.

Nadiriki Kusema Katika Nchi hii watu wenye ushawishi mkubwa wa kisiasa ndani na nje ya TZ yaani Africa mashariki na duniani nasema Namba Moja ni Tundu Lissu, namba mbili Ni Chawa Kikwete Ex Prez na tatu ni Samia.

Watu Hawa yoyote akigombea urais ni dhahiri atashinda, mfano huwezi kumuweka January makamba au Nchimbi asimame na Lissu atapigwa vibaya

Ila tunajua Kikwete hawezi kugombea, na kama taratibu zinaruhusu basi agombee, mi namfananisha kikwete na the likes ya kina thabo mbeki japo kikwete yeye ni chawa tofauti na thabo mbeki anayesimamia misimamo ya Haki.

Watanzania ninyi wote mnajua, Tupendane nchi ni yetu sote, hasa watanganyika ndo tupendane zaidi, mana ni dhahiri huko mbeleni muungano hautokuwepo, na sisi hatutokuwepo Bali batoto zetu. Tusimamie lililo sahihi
 
Umevimbiwa maharage unajipangia list siyo? Sajili hiyo taasisi yako iliyofanya ranking pamoja na vigezo viwe wazi
 
Napinga vibaya sana! Samia hayumo kwenye 10 bora. Umemuweka namba 3 ili iweje?
 
Ni kweli Ili Uwe Rais Nchi hii lazima ufahamike vizuri miongoni mwa wananchi wa Tanzania.

Hapo awali tulipata wanasiasa maarufu na wenye nguvu kweli kweli mifano kama Magufuli, Edward Lowasa, Nyerere etc.

Ila Kwa Sasa Hali imebadilika na Mimi nimeshangaa sana, ninavyoona na mambo yalivyo ni wazi kuwa umaarufu wa watu muhimu wa CCM umepungua sana, na CCM imebaki na watu wachache sana wenye influence Kwa Raia baada ya Magufuli Kufariki.

Nadiriki Kusema Katika Nchi hii watu wenye ushawishi mkubwa wa kisiasa ndani na nje ya TZ yaani Africa mashariki na duniani nasema Namba Moja ni Tundu Lissu, namba mbili Ni Chawa Kikwete Ex Prez na tatu ni Samia.

Watu Hawa yoyote akigombea urais ni dhahiri atashinda, mfano huwezi kumuweka January makamba au Nchimbi asimame na Lissu atapigwa vibaya

Ila tunajua Kikwete hawezi kugombea, na kama taratibu zinaruhusu basi agombee, mi namfananisha kikwete na the likes ya kina thabo mbeki japo kikwete yeye ni chawa tofauti na thabo mbeki anayesimamia misimamo ya Haki.

Watanzania ninyi wote mnajua, Tupendane nchi ni yetu sote, hasa watanganyika ndo tupendane zaidi, mana ni dhahiri huko mbeleni muungano hautokuwepo, na sisi hatutokuwepo Bali batoto zetu. Tusimamie lililo sahihi
List yako batili 😁
 
Baada ya Nyerere ni Tundu Lissu
 
Tofautisha neno,

FAMOUS vs NOTORIOUS!

Usichanganye mambo
 
Anyway, umaarufu from what angle? Idd Amin alikuwa na umaarufu.. ukijitangaza shoga utakuwa maarufu....nadhani uenielewa
 
Back
Top Bottom