mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 1,364
- 2,396
Ni kweli Ili Uwe Rais Nchi hii lazima ufahamike vizuri miongoni mwa wananchi wa Tanzania.
Hapo awali tulipata wanasiasa maarufu na wenye nguvu kweli kweli mifano kama Magufuli, Edward Lowasa, Nyerere etc.
Ila Kwa Sasa Hali imebadilika na Mimi nimeshangaa sana, ninavyoona na mambo yalivyo ni wazi kuwa umaarufu wa watu muhimu wa CCM umepungua sana, na CCM imebaki na watu wachache sana wenye influence Kwa Raia baada ya Magufuli Kufariki.
Nadiriki Kusema Katika Nchi hii watu wenye ushawishi mkubwa wa kisiasa ndani na nje ya TZ yaani Africa mashariki na duniani nasema Namba Moja ni Tundu Lissu, namba mbili Ni Chawa Kikwete Ex Prez na tatu ni Samia.
Watu Hawa yoyote akigombea urais ni dhahiri atashinda, mfano huwezi kumuweka January makamba au Nchimbi asimame na Lissu atapigwa vibaya
Ila tunajua Kikwete hawezi kugombea, na kama taratibu zinaruhusu basi agombee, mi namfananisha kikwete na the likes ya kina thabo mbeki japo kikwete yeye ni chawa tofauti na thabo mbeki anayesimamia misimamo ya Haki.
Watanzania ninyi wote mnajua, Tupendane nchi ni yetu sote, hasa watanganyika ndo tupendane zaidi, mana ni dhahiri huko mbeleni muungano hautokuwepo, na sisi hatutokuwepo Bali batoto zetu. Tusimamie lililo sahihi