mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 1,364
- 2,396
Toa maoni mjumbe, so mzanzibari ndo maarufu Tanganyika si ndio??Umevimbiwa maharage unajipangia list siyo? Sajili hiyo taasisi yako iliyofanya ranking pamoja na vigezo viwe wazi
Ngoja nikisaidie K u mnajizuia kuandika lugha kali.........
List yako batili 😁Ni kweli Ili Uwe Rais Nchi hii lazima ufahamike vizuri miongoni mwa wananchi wa Tanzania.
Hapo awali tulipata wanasiasa maarufu na wenye nguvu kweli kweli mifano kama Magufuli, Edward Lowasa, Nyerere etc.
Ila Kwa Sasa Hali imebadilika na Mimi nimeshangaa sana, ninavyoona na mambo yalivyo ni wazi kuwa umaarufu wa watu muhimu wa CCM umepungua sana, na CCM imebaki na watu wachache sana wenye influence Kwa Raia baada ya Magufuli Kufariki.
Nadiriki Kusema Katika Nchi hii watu wenye ushawishi mkubwa wa kisiasa ndani na nje ya TZ yaani Africa mashariki na duniani nasema Namba Moja ni Tundu Lissu, namba mbili Ni Chawa Kikwete Ex Prez na tatu ni Samia.
Watu Hawa yoyote akigombea urais ni dhahiri atashinda, mfano huwezi kumuweka January makamba au Nchimbi asimame na Lissu atapigwa vibaya
Ila tunajua Kikwete hawezi kugombea, na kama taratibu zinaruhusu basi agombee, mi namfananisha kikwete na the likes ya kina thabo mbeki japo kikwete yeye ni chawa tofauti na thabo mbeki anayesimamia misimamo ya Haki.
Watanzania ninyi wote mnajua, Tupendane nchi ni yetu sote, hasa watanganyika ndo tupendane zaidi, mana ni dhahiri huko mbeleni muungano hautokuwepo, na sisi hatutokuwepo Bali batoto zetu. Tusimamie lililo sahihi
WEwe ni jingalao aliyechangamkaUmevimbiwa maharage unajipangia list siyo? Sajili hiyo taasisi yako iliyofanya ranking pamoja na vigezo viwe wazi
Naunga mkono hojaNapinga vibaya sana! Samia hayumo kwenye 10 bora. Umemuweka namba 3 ili iweje?
Baada ya Nyerere ni Tundu LissuNi kweli Ili Uwe Rais Nchi hii lazima ufahamike vizuri miongoni mwa wananchi wa Tanzania.
Hapo awali tulipata wanasiasa maarufu na wenye nguvu kweli kweli mifano kama Magufuli, Edward Lowasa, Nyerere etc.
Ila Kwa Sasa Hali imebadilika na Mimi nimeshangaa sana, ninavyoona na mambo yalivyo ni wazi kuwa umaarufu wa watu muhimu wa CCM umepungua sana, na CCM imebaki na watu wachache sana wenye influence Kwa Raia baada ya Magufuli Kufariki.
Nadiriki Kusema Katika Nchi hii watu wenye ushawishi mkubwa wa kisiasa ndani na nje ya TZ yaani Africa mashariki na duniani nasema Namba Moja ni Tundu Lissu, namba mbili Ni Chawa Kikwete Ex Prez na tatu ni Samia.
Watu Hawa yoyote akigombea urais ni dhahiri atashinda, mfano huwezi kumuweka January makamba au Nchimbi asimame na Lissu atapigwa vibaya
Ila tunajua Kikwete hawezi kugombea, na kama taratibu zinaruhusu basi agombee, mi namfananisha kikwete na the likes ya kina thabo mbeki japo kikwete yeye ni chawa tofauti na thabo mbeki anayesimamia misimamo ya Haki.
Watanzania ninyi wote mnajua, Tupendane nchi ni yetu sote, hasa watanganyika ndo tupendane zaidi, mana ni dhahiri huko mbeleni muungano hautokuwepo, na sisi hatutokuwepo Bali batoto zetu. Tusimamie lililo sahihi
Kabisa, nadhani Lissu ndio hasa Mungu ametupa, Hadi Wanajeshi kambini, mapolisi waamkubali sana Lissu shida ccm inawafanya wanafikiBaada ya Nyerere ni Tundu Lissu
Na maisha ni magumu sababu Samia, na usipokuwa mnafiki na maisha yalivyo magumu aisee shidaKabisa, nadhani Lissu ndio hasa Mungu ametupa, Hadi Wanajeshi kambini, mapolisi waamkubali sana Lissu shida ccm inawafanya wanafiki
Nyakati zitatoa hukumuKabisa, nadhani Lissu ndio hasa Mungu ametupa, Hadi Wanajeshi kambini, mapolisi waamkubali sana Lissu shida ccm inawafanya wanafiki
Siku nyingine uwe unasafisha hiyo mbunye baada ya kumaliza kuliwa. Unaleta harufu humuUmevimbiwa maharage unajipangia list siyo? Sajili hiyo taasisi yako iliyofanya ranking pamoja na vigezo viwe wazi
Umevimbiwa maharage unajipangia list siyo? Sajili hiyo taasisi yako iliyofanya ranking pamoja na vigezo viwe wazi
Anyway, umaarufu from what angle? Idd Amin alikuwa na umaarufu.. ukijitangaza shoga utakuwa maarufu....nadhani uenielewaNi kweli Ili Uwe Rais Nchi hii lazima ufahamike vizuri miongoni mwa wananchi wa Tanzania.