Uchaguzi 2020 Lissu na maadili ya Uchaguzi Mkuu

UPUUZI MTUPU! Umeandika pumba chungu nzima ila kutumia kisukuma na uvunjifu mwingine wa taratibu za uchaguzi zinazofanywa na maccm wakishirikiana na tume FAKE huzioni!!! 😳

 
UPUUZI MTUPU! Umeandika pumba chungu nzima ila kutumia kisukuma na uvunjifu mwingine wa taratibu za uchaguzi zinazofanywa na maccm wakishirikiana na tume FAKE huzioni!!! 😳

Ataziona wapi mburula huyo anayechekechea teuzi?
 
Reactions: BAK
1. Mkichagua wapinzani hakuna maendeleo.

2. Ametumwa na mabeberu.

3. Sera ya majimbo italeta vita

4. Serikali yake haitakusanya kodi

5. Wanaedit picha.

6. Lete biluoni tano za barabara.

7..........
 
Si umwambie huyo aliyetuhumiwa ajitokeze kukanusha tuone?mbona unatumia nguvu nyingi
 
Umekwishatoa hilo angalizo kwa mgombea wa CCM?

Yeye anakiuka maadili ya uchaguzi kila siku:

1) kauli za ubaguzi wa kikabila na kikanda, kuwa wamchague yeye kwa sababu yeye ni msukuma mwenzao na anatoka kwao

2) Rushwa ya kuwapa vyeo wapiga kura kwa kueleza kwenye hadhara kuwa Tibaijuka na Masele atawapa vyeo kwenye serikali

3) kuwatisha wapiga kura kuwa wasipochagua wagom ea wa CCM, watajuta kama alivyowatisha wale wananchi wa Magu

4) kuwaagiza watendaji kwenye mikutano ya kampeni, watengeneze barabara

5) kutumia lugha za kabila la wasukuma ili kuwadanganya wasukuma waone ni wa kabila lao


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Umesahau kuandika namba yako ya simu,na unapopatikana ili upate shavu mkuu.
 
Hujasoma hizo sheria wewe .weka hapa anza kuzipitia ukiwa na bandiko lako kisha fuatilia mikutano ya lissu .Utakuja na jibu
Mimi nimezisoma sheria zote za uchaguzi toka 1995, na ninazitazama kwa makini video zote za kujinadi za wagombea maarufu. Mojawapo ya ukiukwaji mkubwa wa wazi ni mgombea aliye madarakani kutoa amri stendi ya Bweri Musoma ijengwe sasa kwa kutumia pesa zilizokatazwa na Wilaya ya Musoma, na amri ya kujenga barabara ya lami kwa sh B 10 Itigi kuanzia jana. Nami nakusihi uisome Sheria ya Maadili ya Uchaguzi uyaone hayo nisemayo.
 
Hapa utaambulia matusi tu ndugu. swala la kanuni wala sheria kwenye upinzani hawataki kusikia hilo
 
Hizo za ununzi wa ndege ujenzi wa bwawa, uwanja wa ndege, isijekuwa kama ya Sigwa aliyeomba msamaha kwa Kinana.
Ndege na ujenzi wa Chato Airport Bunge gani lilipitisha hiyo Bajeti?
 
Eeeh Mungu Mapenzi yako yatimie duniani Kama mbinguni
Your browser is not able to display this video.


Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 

Unataka uthibitisho gani kuhusu ufisadi wa pesa za umma kwenye ujenzi wa uwanja wa chato kwani uthibitisho si uwanja uko pale umekamilika na hakuna Ndege inayotua hapo. Unataka uthibitisho gani wa wizi was pesa kwa njia ya vitambulisho vya wamachinga hivi TRA wanafahamu ni vitambulisho vingapi vimeuzwa na kwanini vimeuzwa na Rais Kwani kazi ya kurasimisha makundi ya wafanya biashara siyo ya TRA.

Na je kuhusu hizo ahadi zinazotolewa kwenye kampeni na mgombea wa CCM zinaruhusiwa mbona hujasoma hizo kanuni ukaandikia uzi. Na vile vitisho kwamba wananchi wasipo chagua wagombea wa CCM watakiona ndivo kanuni zina sema Na je kuwaambia wananchi hawa kujengewa barabara sababu walichagua upinzani ndo maadili hayo na kusema wakichagua mpinzani hata peleka maendeleo

Hadi anapiga simu kwenye kampeni kuagiza ujenzi wa barabara mbona hayo yanakatazwa umeona ya Lissu kusema ujenzi wa uwanja ni ufisadi.
 
Ukiona hivyo ujue kaishiwa propaganda Sasa umshauri aache kampeni mbona mwenzie Membe alizidiwa akatundika daluga? Kwan ni lazima kupiga kampeni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…