mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Hongera sana.Nakupongeza kwa andiko zuri. Werevu tu Ndio watakuelewa wengine watakushambulia maana ukweli huuma na maumivu yake hayaishi kwa haraka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana.Nakupongeza kwa andiko zuri. Werevu tu Ndio watakuelewa wengine watakushambulia maana ukweli huuma na maumivu yake hayaishi kwa haraka.
Binafsi nimepata wasaa wa kumsikiliza mheshimiwa mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo, kuna baadhi ya kauli na shutuma zake kwa mawazo yangu nadhani sio sahihi sana
Ukisoma sheria ya Taifa ya uchaguzi sura ya 343,pamoja na mabadiliko yake ya mwaka 2015 ( The National Election Act,Chapter 343, Revised Edition, 2015) kwenye kifungu cha 124A, kuhusu maadili ya uchaguzi (The election code of conduct)
Sheria hiyo, inataka kila chama kitakachoshiriki uchaguzi mkuu wa October 2020, kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi, ambapo kwa Chadema kilisaini makubaliano hayo tarehe 27/05/2020 kupitia katibu mkuu wake
Katika kanuni hizo ( Maadili ya uchaguzi wa Rais, wabunge na madiwani ya mwaka, 2020), kwenye sehemu ya pili, kifungu cha 2, kinaongelea maadili ya vyama vya siasa na wagombea katika kuendesha shughuli za siasa wakati wa kampeni
Ukiendelea kwenye kifungo hicho 2.2 ( h), kanuni inaelekeza wazi kabisa kuwa, kukosoana kati ya vyama na wagombea kunapofanyika, inabidi kujikita katika sera, programu na kazi zao walizofanya, ukosoaji wa vyama vingine au wagombea wengine kwa tuhuma zisizothibitishwa ni lazima uepukwe
Lakini mara kadhaa, mheshimiwa mgombea wa CHADEMA, amekuwa akitoa tuhuma kwa mgombea wa chama kingine, bila hata ya kuwa na uthibitisho wa tuhuma hizo
Binafsi kama mzalendo, napenda kutoa wito kwa wagombea wote kufanya kampeni kwa kutumia lugha ya staha huku wakijikita zaidi kwenye kueleza ilani ya vyama vyao kwa wananchi
Ngamanya Kitangalala Mwaswala
kngamanya@yahoo.com
Eti "binafsi kama mzalendo" una uzalendo gani? Kusifia sifia jiwe lenu na serikali yake ya kidhalimu ndo uzalendo?
We ni "liccm" pure tuondolee utopolo wako hapa.
UPUUZI MTUPU! Umeandika pumba chungu nzima ila kutumia kisukuma na uvunjifu mwingine wa taratibu za uchaguzi zinazofanywa na maccm wakishirikiana na tume FAKE huzioni!!! 😳
1. Mkichagua wapinzani hakuna maendeleo.Binafsi nimepata wasaa wa kumsikiliza mheshimiwa mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo, kuna baadhi ya kauli na shutuma zake kwa mawazo yangu nadhani sio sahihi sana
Ukisoma sheria ya Taifa ya uchaguzi sura ya 343,pamoja na mabadiliko yake ya mwaka 2015 ( The National Election Act,Chapter 343, Revised Edition, 2015) kwenye kifungu cha 124A, kuhusu maadili ya uchaguzi (The election code of conduct)
Sheria hiyo, inataka kila chama kitakachoshiriki uchaguzi mkuu wa October 2020, kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi, ambapo kwa Chadema kilisaini makubaliano hayo tarehe 27/05/2020 kupitia katibu mkuu wake
Katika kanuni hizo ( Maadili ya uchaguzi wa Rais, wabunge na madiwani ya mwaka, 2020), kwenye sehemu ya pili, kifungu cha 2, kinaongelea maadili ya vyama vya siasa na wagombea katika kuendesha shughuli za siasa wakati wa kampeni
Ukiendelea kwenye kifungo hicho 2.2 ( h), kanuni inaelekeza wazi kabisa kuwa, kukosoana kati ya vyama na wagombea kunapofanyika, inabidi kujikita katika sera, programu na kazi zao walizofanya, ukosoaji wa vyama vingine au wagombea wengine kwa tuhuma zisizothibitishwa ni lazima uepukwe
Lakini mara kadhaa, mheshimiwa mgombea wa CHADEMA, amekuwa akitoa tuhuma kwa mgombea wa chama kingine, bila hata ya kuwa na uthibitisho wa tuhuma hizo
Binafsi kama mzalendo, napenda kutoa wito kwa wagombea wote kufanya kampeni kwa kutumia lugha ya staha huku wakijikita zaidi kwenye kueleza ilani ya vyama vyao kwa wananchi
Ngamanya Kitangalala Mwaswala
kngamanya@yahoo.com
Hayo maadili yanaruhusu mgombea kutishia wapiga kura kuwanyima maendeleo?
Binafsi nimepata wasaa wa kumsikiliza mheshimiwa mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo, kuna baadhi ya kauli na shutuma zake kwa mawazo yangu nadhani sio sahihi sana
Ukisoma sheria ya Taifa ya uchaguzi sura ya 343,pamoja na mabadiliko yake ya mwaka 2015 ( The National Election Act,Chapter 343, Revised Edition, 2015) kwenye kifungu cha 124A, kuhusu maadili ya uchaguzi (The election code of conduct)
Sheria hiyo, inataka kila chama kitakachoshiriki uchaguzi mkuu wa October 2020, kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi, ambapo kwa Chadema kilisaini makubaliano hayo tarehe 27/05/2020 kupitia katibu mkuu wake
Katika kanuni hizo ( Maadili ya uchaguzi wa Rais, wabunge na madiwani ya mwaka, 2020), kwenye sehemu ya pili, kifungu cha 2, kinaongelea maadili ya vyama vya siasa na wagombea katika kuendesha shughuli za siasa wakati wa kampeni
Ukiendelea kwenye kifungo hicho 2.2 ( h), kanuni inaelekeza wazi kabisa kuwa, kukosoana kati ya vyama na wagombea kunapofanyika, inabidi kujikita katika sera, programu na kazi zao walizofanya, ukosoaji wa vyama vingine au wagombea wengine kwa tuhuma zisizothibitishwa ni lazima uepukwe
Lakini mara kadhaa, mheshimiwa mgombea wa CHADEMA, amekuwa akitoa tuhuma kwa mgombea wa chama kingine, bila hata ya kuwa na uthibitisho wa tuhuma hizo
Binafsi kama mzalendo, napenda kutoa wito kwa wagombea wote kufanya kampeni kwa kutumia lugha ya staha huku wakijikita zaidi kwenye kueleza ilani ya vyama vyao kwa wananchi
Ngamanya Kitangalala Mwaswala
kngamanya@yahoo.com
Mimi nimezisoma sheria zote za uchaguzi toka 1995, na ninazitazama kwa makini video zote za kujinadi za wagombea maarufu. Mojawapo ya ukiukwaji mkubwa wa wazi ni mgombea aliye madarakani kutoa amri stendi ya Bweri Musoma ijengwe sasa kwa kutumia pesa zilizokatazwa na Wilaya ya Musoma, na amri ya kujenga barabara ya lami kwa sh B 10 Itigi kuanzia jana. Nami nakusihi uisome Sheria ya Maadili ya Uchaguzi uyaone hayo nisemayo.Hujasoma hizo sheria wewe .weka hapa anza kuzipitia ukiwa na bandiko lako kisha fuatilia mikutano ya lissu .Utakuja na jibu
Hapa utaambulia matusi tu ndugu. swala la kanuni wala sheria kwenye upinzani hawataki kusikia hiloBinafsi nimepata wasaa wa kumsikiliza mheshimiwa mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo, kuna baadhi ya kauli na shutuma zake kwa mawazo yangu nadhani sio sahihi sana
Ukisoma sheria ya Taifa ya uchaguzi sura ya 343,pamoja na mabadiliko yake ya mwaka 2015 ( The National Election Act,Chapter 343, Revised Edition, 2015) kwenye kifungu cha 124A, kuhusu maadili ya uchaguzi (The election code of conduct)
Sheria hiyo, inataka kila chama kitakachoshiriki uchaguzi mkuu wa October 2020, kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi, ambapo kwa Chadema kilisaini makubaliano hayo tarehe 27/05/2020 kupitia katibu mkuu wake
Katika kanuni hizo ( Maadili ya uchaguzi wa Rais, wabunge na madiwani ya mwaka, 2020), kwenye sehemu ya pili, kifungu cha 2, kinaongelea maadili ya vyama vya siasa na wagombea katika kuendesha shughuli za siasa wakati wa kampeni
Ukiendelea kwenye kifungo hicho 2.2 ( h), kanuni inaelekeza wazi kabisa kuwa, kukosoana kati ya vyama na wagombea kunapofanyika, inabidi kujikita katika sera, programu na kazi zao walizofanya, ukosoaji wa vyama vingine au wagombea wengine kwa tuhuma zisizothibitishwa ni lazima uepukwe
Lakini mara kadhaa, mheshimiwa mgombea wa CHADEMA, amekuwa akitoa tuhuma kwa mgombea wa chama kingine, bila hata ya kuwa na uthibitisho wa tuhuma hizo
Binafsi kama mzalendo, napenda kutoa wito kwa wagombea wote kufanya kampeni kwa kutumia lugha ya staha huku wakijikita zaidi kwenye kueleza ilani ya vyama vyao kwa wananchi
Ngamanya Kitangalala Mwaswala
kngamanya@yahoo.com
Ndege na ujenzi wa Chato Airport Bunge gani lilipitisha hiyo Bajeti?Hizo za ununzi wa ndege ujenzi wa bwawa, uwanja wa ndege, isijekuwa kama ya Sigwa aliyeomba msamaha kwa Kinana.
Binafsi nimepata wasaa wa kumsikiliza mheshimiwa mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo, kuna baadhi ya kauli na shutuma zake kwa mawazo yangu nadhani sio sahihi sana
Ukisoma sheria ya Taifa ya uchaguzi sura ya 343,pamoja na mabadiliko yake ya mwaka 2015 ( The National Election Act,Chapter 343, Revised Edition, 2015) kwenye kifungu cha 124A, kuhusu maadili ya uchaguzi (The election code of conduct)
Sheria hiyo, inataka kila chama kitakachoshiriki uchaguzi mkuu wa October 2020, kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi, ambapo kwa Chadema kilisaini makubaliano hayo tarehe 27/05/2020 kupitia katibu mkuu wake
Katika kanuni hizo ( Maadili ya uchaguzi wa Rais, wabunge na madiwani ya mwaka, 2020), kwenye sehemu ya pili, kifungu cha 2, kinaongelea maadili ya vyama vya siasa na wagombea katika kuendesha shughuli za siasa wakati wa kampeni
Ukiendelea kwenye kifungo hicho 2.2 ( h), kanuni inaelekeza wazi kabisa kuwa, kukosoana kati ya vyama na wagombea kunapofanyika, inabidi kujikita katika sera, programu na kazi zao walizofanya, ukosoaji wa vyama vingine au wagombea wengine kwa tuhuma zisizothibitishwa ni lazima uepukwe
Lakini mara kadhaa, mheshimiwa mgombea wa CHADEMA, amekuwa akitoa tuhuma kwa mgombea wa chama kingine, bila hata ya kuwa na uthibitisho wa tuhuma hizo
Binafsi kama mzalendo, napenda kutoa wito kwa wagombea wote kufanya kampeni kwa kutumia lugha ya staha huku wakijikita zaidi kwenye kueleza ilani ya vyama vyao kwa wananchi
Ngamanya Kitangalala Mwaswala
kngamanya@yahoo.com
Ukiona hivyo ujue kaishiwa propaganda Sasa umshauri aache kampeni mbona mwenzie Membe alizidiwa akatundika daluga? Kwan ni lazima kupiga kampeni?Binafsi nimepata wasaa wa kumsikiliza mheshimiwa mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo, kuna baadhi ya kauli na shutuma zake kwa mawazo yangu nadhani sio sahihi sana